Wanaotaka kuanza kusoma CPA, karibuni tushauriane

kamwendo

JF-Expert Member
Apr 19, 2012
680
1,000
Dada financial services Kwanza niseme nakupenda. Nakuona humu ndani ni muda sasa.
Napenda tu the way ulivyo.

Tukirudi kwenye mada CPA (T) naweza kusema kwasasa ina soko. Sasa hivi huwezi kuwa muhasibi kama hauna CPA.

Hata kama una Degree ya uhasibu bado huwezi kuwa muhasibu,ukiajiliwa serikalini utatambulika kama afisa hesabu sio muhasibu.

Mimi nilianza kuisotea tangu 2016 bahati mbaya bado sijaipata ila nipo hatua za mwishoni kuhitimu.

Session huwa mbili kwa mwaka, Ni May na November. Pia kuna mid session ukitaka March na August Ada za Mid Session zimechangamka Pepa moja unalipia hadi laki 3. Kama upo Dar ni vizuri mm nimesoma CPA kwa muda wote huo nikiwa mkoa wa Rukwa. Mitihani nilikuwa nafanyia Mbeya Pale Sokomatola Mkapa Hall.

Nilishawishika kusoma hii kitu baada ya boss wangu aliyenipokea mwanzo alikuwa Muhasibu Mkuu now baada ya waraka ni Afisa hesabu.

Faida za kuwa na CPA ni nyingi sana, Mosi ukiwa nayo mshahara wa kuanzia kazi TGS F then unakuwa certified in Public Muajiri ansearch jina NBAA anapata data zako kiusahihi no longolongo.

Wahasibu ni kama wanasheria now huwezi kuwa mwanasheria bila kupitia Law School.

Mungu anisaidie nipate na ACCA
 
financial services

JF-Expert Member
May 17, 2017
11,799
2,000

Hi Kamwendo!
Kwanza nakushukuru sana kwa response yako kwenye huu uzi, hakika umenizidishia/umetuzidishia ari zaidi kuhusu kusoma hiyo CPA, haijalishi itachukua muda gani ila ukiwa na nia inawezekana👏, hongera kwa hatua uliyofikia si haba how we wish too.

Kubwa zaidi nafurahi kusikia napendwa japo hata hatufahamiani, niseme tu nakupenda pia sana tu na ulivo "kamwendo" flani ka speed sijui😂. Uzidi kubarikiwa😍
 
kamwendo

JF-Expert Member
Apr 19, 2012
680
1,000
Uzi mtamu sana huu
Je hiyo CPA ukianza kuisoma mfululizo kuanzia foundation, intermidiate mpaka final, itakuchukua mda gan hadi kumaliza
Pia, cost zake, kuanzia kuanza kuisoma from scratch mpaka final yaweza kuwa kiasi gan
Bodi wameweka maximum limit ya kila level ni miaka 3 yaani kama upo foundation level utapambana apo upite kwenda intrmediate level isizidi miaka mitatu. Kwa level ya foundation mitihani ni 6 na kila mtihani unalipia si chini ya laki moja.

Kwaiyo unaweza kufanya mtihani mmoja mmoja kutegemea muda na uwezo wako kitaaluma.

Kimsingi hakuna specific costs za kuanza hadi kumaliza. Costs inategemea mazingira ulipo,unataka kusoma review classes ama? So ni kujiongeza tu ndugu yangu.
 
MATONYA new

Member
Jan 21, 2021
29
75

Asante KWA darasa lako mkuu
 
Mlenge

R I P
Oct 31, 2006
2,131
2,000
I did not mean it as an offense mkuu. Kuna mtu aliwahi kunipotosha kuwa hilo linawezekana.
Wala sijamaanisha kudharau fani za watu mkuu.
Sikukupotosha. Hilo linawezekana. Au linatakiwa liwezekane kwa kutumia NQF (ikihuishwa).

Mojawapo ya mahitaji ya kufanya ATEC 1 ni:

Such other certificates as may be recognized by the Board from time to time. Kwa kigezo hiki mtu anaweza kuanza CPA.

Au mtu wa darasa la saba anaweza kufanya ACCA kwa kuanzia hapa: Foundation Level structure and requirements

Hivi CPA(T) na ACCA zinalinganishwaje?
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
125,012
2,000
Inategemea NTU na NTU Mkuu. Wengine shule imewafungulia milango mingi sana na leo ukiwauliza tena kama kuhusu elimu wako tayari kupita walipopita watakwambia in a HEART BEAT!
Ningejua kuwa Maisha ni hivi, either nilivyomaliza lasaba ningeingia kitaa au walau ile form 4 tu yaani.
Huku kwingine I wasted my time kwa kweli.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom