Wanaotafuta Ndoa Tu – Uzi Rasmi wa Kuunganisha Wachumba

Wanaotafuta Ndoa Tu – Uzi Rasmi wa Kuunganisha Wachumba

Wabongo hamna dogo nyie kila uzi lazima masimango, kukosoa ndo kazi yenu, kupinga la mwenzenu ndo lenu nyie mnatakaje sasa. Hata mtu alete mchongo wa kazi au biashara lazima wapatikane wa kuleta fyongo. why? Kuna hata uzi wa afya mtu kajitolea kushare anachojua kusaidia wengne lakin sisi tunampiga majungu. Sijataja mtu ila wabongo jirekebisheni acha kila mtu awe na uhuru wa jambo lake na kama unaona halikufai au halitakusaidi pita kushoto kuliko kuharibia mtu uzi wake na ni watu mlio na akili za kutosha. Sasa leta mafyongo on this coment kama cjakutoboa macho na nikuvishe sketi saitan wewe. Sijataja mtu
Tusamehe mkuu 🤣 😂
 
mzee wangu umemaliza kabisa.
 
JINSIA: Me
UMRI: Miaka 33
WATOTO: Sina watoto
HALI YA NDOA: sijaoa
KAZI: Mtumishi wa Umma
ELIMU: Degree
MAKAZI: Morogoro Dodoma
UMBO: Mrefu wa wastani
DINI: Msabato

Natafuta Mke awe msabato au dini yeyote lakini awe tayari kufunga ndoa ya kisabato
Kabila lolote tofauti na mchagga na Mpare.
UMRI kuanzia miaka 18-25

NAMTAFUTA MKE:UMRI: Kuanzia miaka 40WATOTO: Awe na mtoto au asiwe naye (yote sawa)RANGI: MweupeKAZI: Kama hana kazi itapendeza zaidiELIMU: Awe na ufahamu wa kutosha
 
JINSIA KE
KABILA.MCHAGA
UMRI 30+
Single mama wa mschana wa miaka 10 niliwahi kuzaa
Kazi .ualimu usio rasmi
Dini mkatoliki
Rangi na umbo :mwembamba maji ya maharage kg 55

MWANAUME awe mchaga mwenzangu
Umri.anizidi
DINI ROMAN
AWE MKOMAVU WA AKILI NA KUMJUA MUNGU SANA
AWE MTAFUTAJI
KWA UPANDE WANGU NI MPOLE SANA NA SIJICHANGANYI NA WATU SANA NNAOKUTANA NAO NI HUKOHUKO NINAKOFUNDISHA WEEKEND NAKUWA NYUMBANI KWA WAZAZI NALALA..
SIONGEI SAANA

ASIJE KWA KUTIMIZA LENGO LAKE KWA SABABU YA UPOLE WANGU, MAANA NAKUNYAMAZIA NA INAKUWA IMEISHA HVYO
 
NATAFUTA MCHUMBA/MKE WANGU WA MAISHA

SIFA ZANGU:
1. UMRI: Miaka 38 (born 1988).
2. DINI: Muislam.
3. ELIMU: Master degree
4. KAZI: Muajiriwa Serikalini
5. MAKAZI: Mbeya mjini
6. MUONEKANO: Urefu - 170cm, sina kitambi, mweusi wa kawaida
7. AFYA: Nina afya njema

SIFA ZA MKE MTARAJIWA:

1. UMRI: Miaka 26 - 35.
2. DINI: Muislam/ MKRISTO sibagui DINI
3. ELIMU: Form IV au ZAIDI YA HAPO
4. ASIWE NA MTOTO (Single MAMA - NO)
5. Awe tayari KUOLEWA NA KUISHI MBEYA MJINI
6. Awe na AFYA njema.
 
JINSIA: Me
KABILA: Mrangj
UMBO: Mrefu (juu ya futi 5"9)
MWONEKANO: Maji ya kunde
MAKAZI: mbeya(mbeya/tukuyu)
KAZI: Mjasiriamali/mfanyabishara
UMRI: 29 looking for 30

NAMTAFUTA MWANAMKE:
KABILA:
Asiwe mnyakyusa
RANGI: Any
UMRI: Chini ya miaka 27
ELIMU: Any
TABIA: Huruma na upole(ongeza yako)
MAKAZI: anywhere Tanzania
DINI: favourite muslim(mkristu sio tatz)
Urijaribu kurudi nyumbani ukakosa mke wa Kuoa?? Rudi Kondoa uoe, mbona wanawake wapo wa Kutosha.

Nenda Vijijini Seria, Kolo, Mrijo, Bicha, Kwapakacha, Tura utapata mke. Mke wa Mtandaoni utapingwa na kitu kizito.
 
Mkuu acha teknlojia ifanye kazi usiwaze kama upo 90s Huko. mtandaoni unaandika sifa zote unazotaka unapata ila ukienda mtaani huwezzi kupata labda uwe na database ya mkoa mzima uipitie ujue huyu ndiye
 
Nahitaji mwanamke wa kuzaa naye.

Sifa zake.
Awe na akili timamu
Anayejipenda na kujijali.
Dini yoyote.
Umri kuanzia miaka 20 na kuendele.
Awe tayali KUFANYA vipimo vyote muhimu.

NB. Nachokihitaji ni kuzaa naye majukumu na mahitaji yote nitawajibika mimi.
asee
 
Duh
 
JINSIA KE
KABILA.MCHAGA
UMRI 30+
Single mama wa mschana wa miaka 10 niliwahi kuzaa
Kazi .ualimu usio rasmi
Dini mkatoliki
Rangi na umbo :mwembamba maji ya maharage kg 55

MWANAUME awe mchaga mwenzangu
Umri.anizidi
DINI ROMAN
AWE MKOMAVU WA AKILI NA KUMJUA MUNGU SANA
AWE MTAFUTAJI
KWA UPANDE WANGU NI MPOLE SANA NA SIJICHANGANYI NA WATU SANA NNAOKUTANA NAO NI HUKOHUKO NINAKOFUNDISHA WEEKEND NAKUWA NYUMBANI KWA WAZAZI NALALA..
SIONGEI SAANA

ASIJE KWA KUTIMIZA LENGO LAKE KWA SABABU YA UPOLE WANGU, MAANA NAKUNYAMAZIA NA INAKUWA IMEISHA HVYO
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom