Wanaotafuna Pesa za Jimbo la Kawe ni hawa hapa...

Pamoja na kutetea msagaji, yatosha sasa aendelee na shughuli nyingine. Kawe imetwaliwa mikononi mwake na kupewa Jirani yake bishop Gwajima.
 
Chato ni altenative airport ya Mwanza airport.

Kwenye masuala ya anga unapokuwa na Hub kwa maana ya uwanja mkubwa wa kimataifa ni lazima karibu yake uwepo uwanja wa akiba.

Dar ikiwa hub uwanja wa msaada ni Unguja.

KIA ikiwa ni hub Arusha ni alternative airport.

Mwanza unakwenda kuwa hub kwa maana ya uwanja mkubwa wa afrika mashariki hivyo Chato kiutalaam ni uwanja wa msaada kwani ni dakika kumi tu kutoka Mwanza Airport mpaka Chato Airport.

Kingine ni kwamba kule kuna mbuga za wanyama hivyo umuhimu wa uwanja ule upo kwenye utalii.

Nchi yetu imebarikiwa sana kulinganisha na tabia zetu za kulalamika hovyo mitandaoni. Miaka michache ijayo utaelewa maana ya hub ya Mwanza na Chato kuwa ni uwanja wa msaada.
Wacha wee... kutoka kwenye kuwa strategic airport na faida za utalii kutoonekana ndani ya muda mfupi, hadi kuwa alternative airport ya Mwanza?!

Ni international aiport ipi ambayo ni alternative ya KIA? Usitaje Arusha, kwa sababu uwanja wa Arusha ni mdogo tu!!!

International airport ipi ambayo ni alternative ya Songwe?!

Ni international airport ipi ambayo ni back up ya Mtwara hasa ukizingatia kugundulika kwa gas nyingi huko South basi bila shaka mikoa ya Lindi na Mtwara ita-attract wageni wengi sana pengine kuliko hiyo Mwanza unayoitaja!!!

Kwamba eti kuna mbuga za wanyama, hata Morogoro nako kuna Mikumi!! Pia kuna Selous ambayo, ingawaje yenyewe ni hifadhi lakini hatujaona international aiport Morogoro au Lindi ili kuhudumia wageni wanaoenda Selous!

Na wakati unataja hoja ya mbuga za wanyama, usisahau nimekuuliza mbona Musoma hakuna International Airport kwa ajili ya Serengeti ambayo sio tu ni mbuga kubwa kabisa lakini pia ni mbuga inayopokea wageni wengi sana kila mwaka!!!

Kwamba eti miaka michache nitaelewa maana ya Uwanja wa Chato kuwa hub ya Mwanza, ndugu yangu hicho ni kiroja!!! Ni kiroja kwa sababu Uwanja wa Mwanza hauna u-busy huo wa kuhitaji uwanja wa msaada! Na ikiwa hata baada ya miaka 60 ya uhuru hata huo uwanja wa Dar haujahitaji huo msaada unaotaka kutuaminisha hapa, seuze uwanja wa Mwanza!!!

In short hoja yako haina mashiko, sasa badala ya kusema tunalalamika, jibu swali langu la awali!!!! Manake hata hizo habari kwamba eti ZNZ ni alternative za Dar, hizo habari unazoleta wewe ili kuhalalisha ujenzi wa Chato International Airport!
 
Natakiwa na Nani kujibu mada hiyo?! Kauli yako ni ya kidikteta...hapa JF hakuna kulazimishana...naweza nikaamua kucheka tu..naweza nikajibu ok..naweza nisijibu chochote...ambacho siruhusiwi ni matusi tu...
Basi ngoja nikupuuze manake sina muda wa kujadili viroja!
 
Halima umejitahidi sana kujitetea. Lakini umechelewa.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Dadangu kama una stress za kuletewa nyumba ndogo na mumeo, basi hizo stress zako tafuta kwa kuzipeleka, au kama vipi kamshitaki dawati la jinsia badala ya kuhangaika kurukia kila mwanaume utakayemuona!
 
Back
Top Bottom