Wanaosoma Aircraft Maintenance Engineering wanapata mikopo?

Wanaosoma Aircraft Maintenance Engineering wanapata mikopo?

machibya1999

New Member
Joined
Nov 1, 2019
Posts
3
Reaction score
0
Hivi wanachuo wanaosoma Aircraft Maintenance Engineering NIT huwa wanapata mkopo kutoka Bodi ya Mikopo HESLB?
 
Kama umemaliza degree basi pambana ila kama ndio unajiandaa kwenda chuo... Hamia moja ya field hizi... Civil, mechanical au electrical!

NB: Kuna uwezekano ukapata mchance ukapiga pesa ila Ogopa kozi zinazoanzishwa kwa mihemko ya kisiasa hasa hapa Tz.
Hapana ndo naenda mwaka huu kuanza degree NIT
 
Back
Top Bottom