Ni namna fulani ya kiashiria ca serikali kuishiwa na mipangoVeta ni level 1,2,3.
Ukitoka hapo unakuja level 4,5,6 ambapo ni diploma.
Ukimaliza hapo ni level 7 and 8 ambayo degree.
Sasa utoke uje chini?
Kwahiyo wenye degree za ualimu ni wataalamu wa Veta wako level 7,8, au sio? Uelewi wanaongelea ujuzi sio vyeti mkuu.Veta ni level 1,2,3.
Ukitoka hapo unakuja level 4,5,6 ambapo ni diploma.
Ukimaliza hapo ni level 7 and 8 ambayo degree.
Sasa utoke uje chini?
Mpango wa upigaji kuokota Ada za wanyonge wameona hakuna soko sasa wanafanyaje ndio plan ni hio kizuri chajiuzaNi namna fulani ya kiashiria ca serikali kuishiwa na mipango
Tatizo hili la kua na viongozi wasiojua mlango wa kutokea wanachojua ni mlango wa kuingilia tuViongozi wetu hawana maarifa ya kukabiliana na matatizo tuliyonayo, haya matamko yao ni blah blah tu
ww mwenyewe huelewi ,Veta ni skill based education, hauko pale ku acquire degree wala diplomaVeta ni level 1,2,3.
Ukitoka hapo unakuja level 4,5,6 ambapo ni diploma.
Ukimaliza hapo ni level 7 and 8 ambayo degree.
Sasa utoke uje chini?
Hapo ndiyo umemaliza kujenga hoja! Mkiambiwa muende VETA mnalalamika!Ukimaliza hapo ni level 7 and 8 ambayo degree
Nenda veta ukachukue ujuzi usiokua nao,vyuoni wa kawaida hakuna practical mpk lecturers wenyewe hawana huo ujuziVeta ni level 1,2,3.
Ukitoka hapo unakuja level 4,5,6 ambapo ni diploma.
Ukimaliza hapo ni level 7 and 8 ambayo degree.
Sasa utoke uje chini?
Badala ya kureview mitaala wao wanakuja na soln za leo leoMpango wa upigaji kuokota Ada za wanyonge wameona hakuna soko sasa wanafanyaje ndio plan ni hio kizuri chajiuza
Uelewe mfumo wa elimu ya juubhapa nchini, degree ni NTA Level 8, kama ilivoelezwa hapo. Zaidi sana, Ualimu ni ujuzi pia.Kwahiyo wenye degree za ualimu ni wataalamu wa Veta wako level 7,8, au sio? Uelewi wanaongelea ujuzi sio vyeti mkuu.
Ukisoma kiwango cha Shahada ya Kwanza, Umahiri (Masters), Uzamivu (PhD) na kuendelea haikufungi kusomea ujuzi walau ngazi ya cheti au chini ya hapo. Ni kwa sababu tulishakaririshwa elimu ni vyeti Tena kuanzia chini kwenda juu na kiasi kwamba huruhusiwi kurudi chini (e.g mwenye shahada kusomea certificate flani)Veta ni level 1,2,3.
Ukitoka hapo unakuja level 4,5,6 ambapo ni diploma.
Ukimaliza hapo ni level 7 and 8 ambayo degree.
Sasa utoke uje chini?
Ujuzi wa Veta umegawanyika,Veta hupati ujuzi bila cheti..labda iwe Veta ya vichochoroni...Kwahiyo wenye degree za ualimu ni wataalamu wa Veta wako level 7,8, au sio? Uelewi wanaongelea ujuzi sio vyeti mkuu.
CC Pascal MayallaVeta ni level 1,2,3.
Ukitoka hapo unakuja level 4,5,6 ambapo ni diploma.
Ukimaliza hapo ni level 7 and 8 ambayo degree.
Sasa utoke uje chini?
Ualimu ni profession sio skills, tofautisha skilled manpower en professional man Power.Uelewe mfumo wa elimu ya juubhapa nchini, degree ni NTA Level 8, kama ilivoelezwa hapo. Zaidi sana, Ualimu ni ujuzi pia.
Watoto wadogo wanao Veta ni kisehemu tu.Uelewe mfumo wa elimu ya juubhapa nchini, degree ni NTA Level 8, kama ilivoelezwa hapo. Zaidi sana, Ualimu ni ujuzi pia.
Mimi nimeshasema sina muda wakwenda VETA kama nikupoteza muda nimeshapotezewa vyakutosha ,nitaendelea kusota mtaani until the end of my lifee ,kwa muda niliopotezewa kuanzia Primary miaka 7 , O-Level miaka 4 , A-Level miaka 2 ,Jkt miezi 3 na chuo kikuu miaka 3 ,JUMLA YA MIAKA 16 nimesema IMETOSHA , sipo tayari kuendelea kupotezewa muda wangu, nimeamua kuoa nakuanza familia huku nikijiwekeza kwenye kilimo ,hizo million wanazonidai wajipange ,labda wanipe kazi ndo walipwe.Veta ni level 1,2,3.
Ukitoka hapo unakuja level 4,5,6 ambapo ni diploma.
Ukimaliza hapo ni level 7 and 8 ambayo degree.
Sasa utoke uje chini?
Ualimu ni profession, teaching ni skills.Ualimu ni profession sio skills, tofautisha skilled manpower en professional man Power.
Wao wanachojali ni kurudisha pesa zao walizojengea yale majengo wameona asilimia kubwa vijana wapo tu mtaani ajira hawataki kuwapa basi solution ni kuwasukumia Veta ili waendelee kuwakomba Ada zao na wakishamaliza mitaji hawawapi wanabakia tena mtaani km sio uzuzu ni nini? Au wao wanafikiri wakijiunga Veta wakimaliza kusoma hizo pesa za kujiajiri wanatoa wapi?Badala ya kureview mitaala wao wanakuja na soln za leo leo