Wanaosafiri kwenda South Africa

Wanaosafiri kwenda South Africa

Nimekuwa nikijiuliza, Vijana wengi huwa wanasafiri kwenda Jozzy kwa kutumia usafiri wa kuunganisha Mabasi. Hivi nauli huwa ni rahisi kiasi gani ukilinganisha na Ndege maana bajeti huwa kama Laki 2 na unasafiri kwa siku3-5 wakati nauli ya Ndege haivuki laki3 na nusu Unakaa Angani Masaa 5 tu.

Na isitoshe ukiingia Jozzy iwe kwa Ndege au kwa miguu lazima uwe na Ganda(Passport).......Tatizo ni Uoga,Uelewa mdogo au nini Wakuu?

Wengi wanaongia sa kwa njia za kuunga hawana documents halali za kwenda huko
 
Habari wadau alafu nilikua naomba nisaidiwe kuhusu bei nafuu za single room cape town kwa mwezi ni shiling ngapi?
yan hapa nazungumzia pembezoni mwa city center kama bellville.
 
Bellville room Ni kuanzia 2500 kwenda juu.ila ukisogea nje kidogo tunapaita Location maeneo ya Delf,Belhar,Philippi,Lowa,Nyanga Bei Ni poa kuanzia 800 mpaka 1500 with lights and electricity.pia transport ipo ya uhakika Muda wote.taxi inakuacha Mbele ya mlango wako.but beware Delft Wanakabana sana
 
Write your reply...wana jf me nataka kuelekea botswana je kuna masharti sana ya kupata pasport?
 
Mkifika huko mpeni gwala K.O,Emtee,A.K.A na kale kademu kale sijui wanamwita Nandi....Mpumalanga. .Cash time 4 Lyf
 
Back
Top Bottom