Wanaopona CoronaVurus wanapona kwa dawa ipi?

Wanaopona CoronaVurus wanapona kwa dawa ipi?

kidadari

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
8,646
Reaction score
9,623
Mpaka sasa imeripotiwa vifo takriban 1,803 huku maambukizi yakifikia 73,000.
Katika hali ya kushangaza kuna wagonjwa 9,000+ wamepona na kuruhusiwa kurudi nyumbani.
Cha kushangaza dunia haizungumzii hao waliopona na dawa gani imetumika ili kunusuru hali ya taharuki duniani Tofauti na hapo habari zinazovuma no maambukizi mapya na idadi ya vifo.

Kuna nini ndani ya #coronaVirus?
 
Wengine hawana kinga za kuazima! Wakipewa na ARV wanapeta tu
 
Wanapona kwa Kinga zao za mwili sio dawa..

Be aware that, hata HIV wapo wanaokuwa exposed na wakati wa window period Kinga ya miili yao inafanikiwa kuzuia virus kusambaa na hatimae kuangamiza kabisa virusi.

So hapo huwezi sema mtu kutibiwa na dawa Bali Ni kawa exposed na Kinga yake ya mwili imefanikiwa kumponya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom