Falsafa ni mawazo ya watu yaliyo mili katika ujinga. Hilo kwanza weka akilini. Nimesoma sana Falsafa, nikaachana nayo.Huelewi hata falsafa za uthibitisho.
Asiyepo, hathibitishiki kwamba hayupo.
Hata hakuna kwa sababu hayupo. Ukiulizwa fulani hayupo ? Ukajibu hayupo, ukiulizwa umejuaje kama hayupo, utajibu tena "Kwasababu hayupo ?". Utakuwa na matatizo ya akili, majibu huwa aidha utoe sababu au useme "Sijui kwanini hayupo".Kwa sababu hayupo na uthibitisho unakwenda sana kuonesha vilivyopo.
Proof by Contradiction haiwezi kuthibitisha hilo kwa sababu zifuatazo.Ila, naweza kukuthibitishia Allah hayupo kwa "proof by contradiction".
Jifunze kutoa mifano na kuiweka mahala pake. Kwanini umeweza kufanya hivyo, kwa sababu unaijua Pembe tatu ni ipi na duara ni nini ? Huu mfano hauwezi kuakisi uhalisia wa uwepo wa Allah, sababu humjui Allah ni nani.Kama vile ninavyoweza kukuthibitishia kwamba hakuna pembetatu ambayo hapo hapo ni duara katika Euclidean geometry.
Dunia kwa dhati yake hairuhusu mabaya bali Allah anaruhusu mabaya yatokee kwa hekima zake, na hapo katikati kuna mengi ambayo nyinyi hamtaki kuyajua. Kwa kutokujua kwenu hili ni muhali kwenu.Mungu wako, mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote anakuwa contradicted na dunia tu
Hi ni dhana ambayo haina uhakika sababu, tutarudi katika swali la msingi umejuaje hilo ?Mungu huyo angekuwepo, logically kusingewezekana kuwepo na
Hujathibitisha bado hapa kama unarap tu, yaani akili yako imeishia hapo, swali la msingi umejuaje hayupo ?Hilo linathibitisha Mungu wako hayupo.
Thibitisha ya kuwa ni hadithi za watu. Sababu hadithi tunazijua sisi.Ni hadithi za watu tu.
Si sawa kama nilivyo kuonyesha hapo juu.Kukubali uwepo wa Mungu huyu, ni sawa na kukubali kwamba kuna pembetatu ambayo hapo hapo ni duara katika planes za Euclidean geometry
Nikikwambia kuna pembetatu ambayo hapo hapo ni duara katika Euclidean geometry planes, utakubali?Falsafa ni mawazo ya watu yaliyo mili katika ujinga. Hilo kwanza weka akilini. Nimesoma sana Falsafa, nikaachana nayo.
Swali la msingi, umejuaje ya kuwa hayupo ? Hili ndiyo swali la msingi, yaani kwa ufupi halikwepeki swali hili.
Hata hakuna kwa sababu hayupo. Ukiulizwa fulani hayupo ? Ukajibu hayupo, ukiulizwa umejuaje kama hayupo, utajibu tena "Kwasababu hayupo ?". Utakuwa na matatizo ya akili, majibu huwa aidha utoe sababu au useme "Sijui kwanini hayupo".
Falsafa ni kama fani ni elimu ya wasio fikiri kwa usahihi.
Proof by Contradiction haiwezi kuthibitisha hilo kwa sababu zifuatazo.
1. Suala la uwepo wa Allah ni hakika.
2. Maarifa yenu ni machache juu ya elimu kuhusu Allah.
3. Proof by Contradiction inakosa sharti kuu la sababu.
Jifunze kutoa mifano na kuiweka mahala pake. Kwanini umeweza kufanya hivyo, kwa sababu unaijua Pembe tatu ni ipi na duara ni nini ? Huu mfano hauwezi kuakisi uhalisia wa uwepo wa Allah, sababu humjui Allah ni nani.
Dunia kwa dhati yake hairuhusu mabaya bali Allah anaruhusu mabaya yatokee kwa hekima zake, na hapo katikati kuna mengi ambayo nyinyi hamtaki kuyajua. Kwa kutokujua kwenu hili ni muhali kwenu.
Hi ni dhana ambayo haina uhakika sababu, tutarudi katika swali la msingi umejuaje hilo ?
Kingine msingi wa Logic ni nini ? Jibu ni akili. Akili ina ukomo au haina ukomo ? Jibu ina ukomo ? Vipi akili iwe marejeo yako pekee ya kufikia hitimisho juu ya jambo ambalo wa akili pekee haiwezi kufanya hivyo ?
Swali langu, ni kuwa unaweza kutithibitishia hiki unachokisema ? Jibu huwezi.
Hujathibitisha bado hapa kama unarap tu, yaani akili yako imeishia hapo, swali la msingi umejuaje hayupo ?
Thibitisha ya kuwa ni hadithi za watu. Sababu hadithi tunazijua sisi.
Si sawa kama nilivyo kuonyesha hapo juu.
Hili nimelielezea, ukiwa hujalewa jambo bora uulize kulingana na munasaba.Nikikwambia kuna pembetatu ambayo hapo hapo ni duara katika Euclidean geometry planes, utakubali?
Nikikuuliza kwa nini hakuna pembetatu ambayo hapo hapo ni duara? Ipo tu, ila wewe akili yako ndogo huijui.Hili nimelielezea, ukiwa hujalewa jambo bora uulize kulingana na munasaba.
Kingine uhusiano wa Pembe tatu na duara kwenye uwepo wa Mola uko wapi ?
Jibu hakuna Pembetatu ambayo hapo hapo ni duara, na hii inaingia katika sifa anuai za kitu kwazo zinatofautisha kitu kimoja na kingine.
Naam, hoja yako iko wapi hapo ?
Nitakuambia haipo kwa sababu pembe tatu ina sifa anuai ambazo zinaitofautisha na Duara. Pembe tatu ina pande tatu zilizo katika mlalo fulani (angle) na duara ni mzunguko sawia wenye kulingana kutokea katikakati yake.Nikikuuliza kwa nini hakuna pembetatu ambayo hapo hapo ni duara? Ipo tu, ila wewe akili yako ndogo huijui.
Utasemaje?
Nikuoneshe kivipi? Pembetatu hiyo iliyo duara haionekani, kama Mungu wako.Nitakuomba unionyeshe hilo, ili nipate kujua.
Nitarudi hapo hapo, kwamba kwanini ulisema hilo wakati huna ushahidi au huwezi kuonyesha ?Nikuoneshe kivipi? Pembetatu hiyo iliyo duara haionekani, kama Mungu wako.
Ukikataa uwepo wa pembetatu hiyo iliyo duara, kitu
Sijaona ishara inayo onyesha hilo. Kwahiyo kama wewe umeiona hiyo ishara tuonyeshe hapa.Ukikataa uwepo wa pembetatu hiyo iliyo duara, kitu gani kinakufanya ukatae uwepo wake?
Unapata shida bure kuwaelimisha vichaaWeka ushahidi mwana sayansi gani duniani aliyewwza kutengeneza mbegu za kiume na mayai ya mwanamke ili apatikane binaadam
Mpaka sasa hakuna mwanasayansi yoyoye anayeweza
1)kutengeneza shahawa na mayai ya mwanamke ili azaliwe binaadam
2) Kumfanya binaadam asizeeke na aishi milele
3) kumfufua mtu aliyekufa
Niliweka hizo hoja kwa sababu hizo hoja 3 hapo zinabeba uwezo wa Mungu
Kwa bahati mbaya hujajibu hata moja nilijua utaweka link za makala mbalimbali kuthibitisha hao banadamu wenzako wenye uwezo wa kuumba binadamu wengine kama wewe
Katika Qurani Mungu ametumbia hakuna yoyote anaeweza kuumba hata Inzi zaidi yake yeye Mwenyezi Mungu
Unaongea vitu kana kwamba tunaishi dunia totauti wakati wote tunaishi dunia moja na dunia ni kama Kijiji
Hao wanasansi wako ambao ndio unataka wakutanyie prove kuwa hakuna Mungu sio tu kuumba binaadam hata uwezo wa kuumba organs za binaadam hawana
Hawezi kuumba FIGO
Hawawezi kuumba Moyo
Hawawezi kuumba Ini
Juzi kati kuna mtu walimuwekea organ ya Nguruwe kama sio ini basi ni moyo au figo na wamefeli jamaa ameshindwa kuishi amefariki
Mtabaki tu kudanganyana na kujazana ujinga
Nahata kama ungekuwepo huyo mwanasansi anayetengeneza viumbe hai
Watu kama sisi tungemuliza hayo material aliyoyatumia amepata wapi maana inabidi atoke nje ya universe akatafute hayo material kwa sababu material yaliopo hapa duniani yote ni Mungu hivyo angekuwa hajafanya kitu
Unaelewa kwamba "pembetatu iliyo duara = Mungu "?Nitarudi hapo hapo, kwamba kwanini ulisema hilo wakati huna ushahidi au huwezi kuonyesha ?
Mopa wetu haonekani kwa macho hapa duniani, ila siku ya malipo ataonekana. Kadhalika ameweka ishara za kuonyesha uwepo wake. Hapa nitakuuliza, nionyeshe ishara inayo onyesha kuwa kuna duara katika hiyo pembe tatu japo kuwa sisi hatuioni.
Sijaona ishara inayo onyesha hilo. Kwahiyo kama wewe umeiona hiyo ishara tuonyeshe hapa.
Onyesha hilo ? Unazijua sifa za Duara na sifa za Mola ?Unaelewa kwamba "pembetatu iliyo duara = Mungu "?
Hapa hakuna uhusiano. Sababu duara na pembe tatu ni zao la akili uliyo pewa na Mola. Unakubali hilo ?Na kwamba, ukipinga uwepo wa pembetatu iliyo duara, kama unataka kuwa logically consistent, ni lazima upinge uwepo wa Mungu?
Unaweza kuthibitisha Mola yupo kweli na habari zake si hadithi tu?Onyesha hilo ? Unazijua sifa za Duara na sifa za Mola ?
Hapa hakuna uhusiano. Sababu duara na pembe tatu ni zao la akili uliyo pewa na Mola. Unakubali hilo ?
Siyo lazima upinge sababu kila kimoja kinasimama kwa sifa zake. Unakubali hilo ?
Tumeanza vizuri sana aisee,naona unaharibu utaratibu, nimejitahidi sana kujibu maswali yako, ila naona wewe unakimbia maswali yangu.Unaweza kuthibitisha Mola yupo kweli na habari zake si hadithi tu?
Kusema tu "Mola yupo" hakumfanyi awepo, kama mimi kusema "pembetatu iliyo duara" hakufanyi iwepo.
Unaweza kuthibitisha Mola yupo?
Maswali gani? Mbona na mimi nakuuliza uthibitishe Mola yupo hutaki kunipa uthibitisho?Tumeanza vizuri sana aisee,naona unaharibu utaratibu, nimejitahidi sana kujibu maswali yako, ila naona wewe unakimbia maswali yangu.
Kwa heshima na taadhima, naomba ujibu maswali yangu kisha tuendelee.
Post namba 291.Maswali gani? Mbona na mimi nakuuliza uthibitishe Mola yupo hutaki kunipa uthibitisho?
Hili naomba nikujibu baada ya wewe kujibu maswali yangu kwenye post namba 291.Mtu akikwambia habari za kuwepo Mola ni hadithi tu kama "pembetatu iliyo duara", utamthibitishiaje Mola yupo kweli na si hadithi tu?
Kwanza kabisa, katika kujenga msingi wa kukujibu swali na kukuonesha unapotaka kuoneshwa, unafahamu "logical inconsistency" ni nini?Post namba 291.
Umeona tulipo anzia lakini ? Ulijaribu kuonyesha kutokuwepo kwa Mola kwa niia uliyo itaja ambayo ni dhaifu sana kuzidi nyumba ya bui bui. Kisha tukafikia hapa tulipo.
Suala la kuwepo kwa Allah, nimelithibitisha zaidi ya mara tano na hili naliweza muda wowote. Ila itifaki lazima zizingatiwe
Hili naomba nikujibu baada ya wewe kujibu maswali yangu kwenye post namba 291.
Shukrani.
Sifahamu nieleweshe kisha urudi katika hoja ya msingi.Kwanza kabisa, katika kujenga msingi wa kukujibu swali na kukuonesha unapotaka kuoneshwa, unafahamu "logical inconsistency" ni nini?
Unafahamu "contradiction" ni nini?
Sawa.Sifahamu nieleweshe kisha urudi katika hoja ya msingi.
Shukrani.
Nimekuelewa, naam tuendelee. Turudi kwenye maswali niliyo kuuliza.Sawa.
Logical inconsistency ni mkanganyiko wa kimantiki, mambo hayako sawa. Mushkeli katika mambo kimantiki.
Contradiction ni mambo kujipinga.
Contradiction ina tabia ya kuonesha uongo wa jambo.
Kwa mfano, mtu akisema kwamba, kuna pembetatu ambayo ni duara, wakati tunajua kwamba pembetatu ina nyuzi 180 na duara lina nyuzi 360, hapo tutajua hizi habari ni za uongo. Haiwezekani pembetatu ikawa duara hapo hapo.
Kwa sababu hiyo ni contradiction. Contradiction hiyo inatuonesha hii habari si kweli, hakuna pembetatu ambayo ni duara hapo hapo.
Mpaka hapo tumeelewana na kukubaliana kwamba contradiction imetuonesha pembetatu iliyo duara hapo hapo haiwezekani kuwepo katika Euclidean plane geometry?
Najenga msingi wa kuelewana vizuri upate kunifahamu mantiki yangu.
Mungu wako, mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, ambaye hapo hapo kaumba dunia ambayo inaruhusu maovu yaweze kutokea, hayupo.Nimekuelewa, naam tuendelee. Turudi kwenye maswali niliyo kuuliza.