Weka ushahidi mwana sayansi gani duniani aliyewwza kutengeneza mbegu za kiume na mayai ya mwanamke ili apatikane binaadamKutengenezwa pia inawezekana. Sheria haziruhusu bado duniani kote. Hakujakuwa na hitaji la kutengeza. Dunia haina uhaba wa watu, tena unaweza sema tumezidi kuliko fursa za maisha zilizopo. Watu wanazaa zaidi kuliko kuzalisha mali!
Kuna taaluma nyingi za kuunda viumbe hai kwa kukuza chembe za dna. Cloning. Hakuna serikali iliyokubali kwa sababu za kutohitaji hiyo tech. Mifumo inayotumika ni kama ile ya mabadiliko asili ya viumbe hai. Unaweza kufatilia kwa muda wako. Kasome. Utaelewa. Mjadala uendelee.Weka ushahidi mwana sayansi gani duniani aliyewwza kutengeneza mbegu za kiume na mayai ya mwanamke ili apatikane binaadam
Mpaka sasa hakuna mwanasayansi yoyoye anayeweza
1)kutengeneza shahawa na mayai ya mwanamke ili azaliwe binaadam
2) Kumfanya binaadam asizeeke na aishi milele
3) kumfufua mtu aliyekufa
Kama yupo mwanasayansi anayeweza kufanya mojawapo au yote hayo 3 weka ushahidi hapa tuone
Suala la kutozeeka, kutibu magonjwa sugu na yanayoathiri wengi kama kansa linakwamishwa na mambo mengi. Kuna tafiti nyingi kama zike za human stem cell zinapingwa kwa sababu za kijinga. Chanzo cha sababu ni hizo imani zenu. Ukifatilia kutoka hapa utaelewa naongelea nn.... mfano kukuza cells, tissue au organs kwenye maabara kusiaidia watu na shida za uzee kunategemea sana hii tafiti. Tatizo ni imani za wanasiasz walio wengi wanapinga kutokana na ujinga wa iman zao kwamba sayansi hii inaingilia uumbaji wa mungu!Weka ushahidi mwana sayansi gani duniani aliyewwza kutengeneza mbegu za kiume na mayai ya mwanamke ili apatikane binaadam
Mpaka sasa hakuna mwanasayansi yoyoye anayeweza
1)kutengeneza shahawa na mayai ya mwanamke ili azaliwe binaadam
2) Kumfanya binaadam asizeeke na aishi milele
3) kumfufua mtu aliyekufa
Kama yupo mwanasayansi anayeweza kufanya mojawapo au yote hayo 3 weka ushahidi hapa tuone
Unajuaje Mungu ni alfa na omega kweli na hiyo si story uliyokaririshwa tu?yan unamaanisha kila kilichoumbwa kwa uwezo wa kipekee bas kina muumba wake!kwahyo hapo unakubali kabisa kuwa sisi viumbe wa dunian tunamuumba wetu ! Lakin hakuna formula ya kuwa kila kinachoumba kitu complex bas nae lazma aumbwe na mwingne coz hata sisi binadamu mbona tunashindwa kuumba viumbe vingne? Kwahyo sio lazma Mungu awe ameumbwa ila yeye ni alfa na omega,alikuwepo na atakuwepo daima
Ndio nimekuthibitishia kutoka maelezo yangu ya hapo juu,lakini pia mi nimesoma theories mbali mbali za wanasayansi wasioamin Mungu,ni theories za 'Origin of life' lakin bado kuna critics nying sana,,,Ndugu yangu amin tu mwenyez Mungu yupoUnajuaje Mungu ni alfa na omega kweli na hiyo si story uliyokaririshwa tu?
Unaweza ku prove Mungu yupo?
We uniambie nini cha kujadili, hiyo sio kazi yakoKijana huwa nakwambia hivi, usijibu hoja zangu kama hujazielewa. Unakumbuka nilikwambia nini ile siku ? Nilikwambia unatakiwa ukijue unachokijadili.
Pili, sijawahi kukimbia hoja, sababu unapokosoa hoja ina maana unajua unachokisimamia. Sasa nakuuliza swali ambalo ni lazima ujibu unaniuliza tena mimi ? Sasa kwanini unajenga hoja kwa jambo usilo lijua ? Maana yake unajadili ili kupotezea watu muda, ndiyo maana unauliza maswali ya kijinga ambayo laiti kama ungesoma nilichokiandika usinge uliza maswali hayo. Haya huwa nakwambia mara chungu mbovu.
Sasa usilete lawama za uongo na kijinga baada ya wewe kushindwa hoja, unachotakiwa ni ujibu hoja siyo unakimbia hoja.
Unajua katika maswali yote niliyo kuuliza ni swali moja tu ndiyo umejaribu kujibu ? Sasa huu utoto ndiyo huwa naukataa kila siku.
Unani point kwenye post yako #139 kuwa kuna swali uliniuliza sijakujibu wakati jukumu la post yako hiyo ilikuwa ni kujibu hoja zangu za post #125?Rejea kuanzia post namba 139 kisha uniambie pale ulitakiwa kujibu swali nililo kuuliza au kuuliza swali ? Muda huo ambao jibu kwa swali halijakidhi vigezo ?
Kisha ufike kwenye post namba 155. Post ile ilikuwa inajibu swali kwa kile ulichokiandika. Nilikuuliza unaijua hatima yako ? Kabla yake niliuliza tena kwanini ufanye mabaya ? Unakumbuka hili ? Kama hauko makini katika mjadala au unakumbukumbi ndogo achana na mijadala hii
Mambo yaliyo nje na uwezo wetu ni yapi?Mimi nipo kijana, sababu nina kijua nachokijadili. Jibu maswali ninayo kuuliza kisha tuendelee.
Nipo, huna hoja ya kunifanya nikimbie, na kwanini nikimbie ?
Niamini tu au nikubali kwa sababu umethibitisha?Ndio nimekuthibitishia kutoka maelezo yangu ya hapo juu,lakini pia mi nimesoma theories mbali mbali za wanasayansi wasioamin Mungu,ni theories za 'Origin of life' lakin bado kuna critics nying sana,,,Ndugu yangu amin tu mwenyez Mungu yupo
Soma hivyo vitabu ndugu vina majibu ya maswali yako, ni vema wakati unavisoma ungepata ufafanuzi kutoka kwa watu wenye maarifa zaidi ya dini ya UISLAMU yaliyo sambamba na huo ufahamu mfano: ABU RASLAAN MUSSA KILONGOZI, ABU FADHIL QASSIM MAFUTA, ABU ABDI-SALAAM MUJAAHID, ABU UMAYR ADAM MANDHUMATUL na wengine wengi, visome hali ya kuwa moyo wako upo huru - ruhusu kupokea haki ijapokuwa ladha yake si tamuBado unatoa majibu ya kihuni
Uhuru wa huyo mtu uko wapi kama amezuliwa kufanya jambo fulani?
Mtoto namba 1 anafungiwa ndani na mzazi wake kwa kuzuiwa kwenda kucheza na wenzake.
Na pia kuna mtoto namba 2 ambaye wazazi wake wammpa uhuru wa kwenda kucheza na wenzake pale atapojiskia
Ni mtoto namba ngapi mwenye uhuru wa kuchagua leo nikacheze na wezangu au nisiende na ikawezekana?
Hujaonyesha baada ya hapo nilijibu nini.We uniambie nini cha kujadili, hiyo sio kazi yako
Kama hujawahi kukimbia hoja nambie hapa ulifanya nini
View attachment 2170237
Nina sababu nyingi za kuonesha kwanini umekuwa ukikimbia mjadala kwa mbinu tofautitofauti halafu unakuwa wakwanza kulaumu
Leo sikupi mwanya huo tena kama ilivyo kwa siku ile, ni eidha ukubali hujui au utoe majibu ya kile ulichokileta ili tuendelee na mjadala vinginevyo hatuwezi kuendelea zaidi
Kwani unaandika uongo. Anzia hapo kwenye post 139 kwenda mbele.Unani point kwenye post yako #139 kuwa kuna swali uliniuliza sijakujibu wakati jukumu la post yako hiyo ilikuwa ni kujibu hoja zangu za post #125?
Shida nyingine unasahau sana kijana, swali gani katika post yangu namba 121 ulijibu ? Ndiyo maana nikasema hujibugi maswali yangu.Unani point kwenye post yako #139 kuwa kuna swali uliniuliza sijakujibu wakati jukumu la post yako hiyo ilikuwa ni kujibu hoja zangu za post #125?
Weka ushahidi mwana sayansi gani duniani aliyewwza kutengeneza mbegu za kiume na mayai ya mwanamke ili apatikane binaadamKuna taaluma nyingi za kuunda viumbe hai kwa kukuza chembe za dna. Cloning. Hakuna serikali iliyokubali kwa sababu za kutohitaji hiyo tech. Mifumo inayotumika ni kama ile ya mabadiliko asili ya viumbe hai. Unaweza kufatilia kwa muda wako. Kasome. Utaelewa. Mjadala uendelee.
Kwahyo kwa hoja ya vile hakuna anayeweza kuzalisha binadamu maabara( inawezekana) inahusiana vipi na imani za uwepo wa miungu?
Bado sio ushahidi. Huwezi kutoka kwenye uwepo wa kushindikana kurudia jambo fulani ukahitimisha kuwa jambo hilo limetokana na kitu kingine usichokijua. Unaunganisha vipi?
Yaani unaanza tu, "hakuna anayeweza kuumba uhai. Hii ni ishara mungu yupo". Uko tayari kubadili mtazamo utakapogundua inawezekana kuunda viumbe hai? Maana kusema mungu yupo kwa sababu kuna vitu haviwezekani unajiweka katika nafasi ya kuhamisha hoja kila jambo linapofikiwa na maendeleo ya uelewa wa vitu duniani.
Wewe hapo ulipo ni kama mungu hajakuumba. Umezaliwa. Wewe hapo ni kopi. Narudia tena. Kama uwepo wako wewe, nakala ya vizazi vya nyuma, ni hoja ya uwepo wa mungu basi wote wanaoweza kufyatua kopi za binadamu(cloning), na wapo sana tu, nao ni miungu pia. Mungu wako bana upekee unaompa. Tunaishi miongoni mwa miungu. Hoja dhaifu sana.
Jibu hoja yangu kabla, inakuwaje unajadili mambo usigo yajua na kujidai unajua ? Hili swali ulitakiwa uulize pale tu nilipo anza na jambo hili. Lakini hauko makini kijana, jambo hili nililiashiria.Mambo yaliyo nje na uwezo wetu ni yapi?
Mungu ameumba free wills kwa Mwanadamu!!,,,lkn akampa Sheria zake kuwa aishi ivi, hutaki atakuadhibu! nakuwa mwanadamu amuabudu tu baasi!! ndo alivo taka! hakuna kuhoji!.... Mfano Mama/Baba yako lazima umuheshimu!!...ufanye anayo taka!!Je naye Mungu ana wish binadamu wafanye mazuri ya kumpendeza ili asiwachome moto lakini hana option ya kuwafanya wawe hivyo anavyotaka?
Mkuu kwa ulivyosema tu kuwa haya mambo hayatakiwi kutumia akili kwa mtazamo wako, hiyo ni hoja yenye ushawishi?Soma hivyo vitabu ndugu vina majibu ya maswali yako, ni vema wakati unavisoma ungepata ufafanuzi kutoka kwa watu wenye maarifa zaidi ya dini ya UISLAMU yaliyo sambamba na huo ufahamu mfano: ABU RASLAAN MUSSA KILONGOZI, ABU FADHIL QASSIM MAFUTA, ABU ABDI-SALAAM MUJAAHID, ABU UMAYR ADAM MANDHUMATUL na wengine wengi, visome hali ya kuwa moyo wako upo huru - ruhusu kupokea haki ijapokuwa ladha yake ni chungu, hivyo ndivyo mambo yalivyo
Hii ni moja ya mada ngumu sana kuwahi kuwepo kwenye ulimwengu wa imani na wanazuoni wakubwa wa UISLAMU wanakiri juu ya hilo hadi kufikia kuonya waumini kufikiri sana na kuhoji sana juu ya masuala yanayohusiana na haya kwa kuchelea wengi ni wenye maarifa madogo wanaweza wakatatizika na wakatoka kwenye mstari, masaili mengi ya kidini hayapimwi kwa hoja za kiakili, mantiki wala falsafa, ulimwengu wa imani ni ulimwengu wa yakini, hivyo kwenye ulimwengu huu baadhi ya mambo yamewekewa mipaka na tahadhari, baadhi ya mambo yanahitaji mapokeo na kuyaitakidi tu kama yalivyokuja - si kila jambo ni la kutafakari kwa 100% au kuhoji sana mfano: MWENYEZI MUNGU asili yake ni nini? ametokana na nini? yeye ni wa kwanza na mwisho, wa kwanza kwa maana gani? chanzo chake ni nini? haya ni baadhi tu ya maswali ambayo si salama kujiuliza kwa waumini wa imani mbalimbali, hivyo inashauriwa watu wayapokee kwa uchache wake na yanawakinaishe
Sisi ambao ni waumini wa imani mbalimbali, tunafahamu na tunaheshimu nafasi za wasiosadikisha uwepo wa MUNGU kwa hoja mbalimbali, kila mtu ana uhuru wa kuamini anachoamini na haifai kuwalazimisha wala kuwashurutisha waamini vile tunavyoamini, wanadamu hatufanani kwa hali zote - si kifikra tu na uwezo wa kupambanua mambo, na kamwe hamna jambo ambalo wanadamu wote tutakuja kuwa na ufahamu mmoja, haitakuja kutokea na haijawahi kutokea, kwa hali hii ni vema kila mmoja aheshimu msimamo wa mwenzake pasina kubezana, bali kueleweshana tu kwa nia njema na kwa lugha nzuri
Suala jingine: waumini wa imani mbalimbali mfano: WAYAHUDI, WAKRISTO, WAISLAMU, WABAHAI, WAHINDU na wengine mnatakiwa mfahamu kwamba, unapojadiliana na wapagani au watu wasioamini uwepo wa MUNGU mara nyingi hatuhitaji kutumia maandiko ya vitabu vitakatifu au vyanzo vingine vya maandiko ya kiroho kama marejeo yetu, wao hawaviamini - si rahisi andiko likawakinaisha hata liwe na tija kwenye imani zetu isipokuwa mara chache sana - hususani wanapofanya mifananisho au wanapokuwa wameuliza swali linalohitajia jibu la kiakili kutoka kwenye vitabu, wao sanasana wanatumia ELIMU ZA MANTIKI, SAYANSI, FALSAFA na HISTORIA, hivyo unapojadiliana nao hakikisha nawe upo njema kwenye mambo hayo na unajua kujenga hoja mfano: anaweza akawa anapinga uwepo wa MUNGU kwa hoja ya kutokuonekana kwake, kwa hoja yake hiyohiyo waweza kumuuliza: mbona hapingi uwepo na maumivu na hali hayaonekani? hivyo ndivyo mijadala yetu dhidi yao inavyoendeshwa, na baadhi ya nyakati ni kwa kumpatia marejeo au andiko linalofafanua mada inayomtatiza kwa lengo la kuongeza maarifa yatakayomsaidia kumuondoa kwenye mabanoView attachment 2170227View attachment 2170226
Baada ya hapo ulikimbia kwa mbinu yako ya kusema "poa"Hujaonyesha baada ya hapo nilijibu nini.
Kwani post #125 iko mbele au nyuma?Kwani unaandika uongo. Anzia hapo kwenye post 139 kwenda mbele.
Hiyo #121 si ulikuwa ume quote post yangu ya #119?Shida nyingine unasahau sana kijana, swali gani katika post yangu namba 121 ulijibu ? Ndiyo maana nikasema hujibugi maswali yangu.