Kama tuna mapengo mengi katika ujuzi wetu, hatutakiwi kuwa na kauli za ku conclude kwamba ulimwengu ni lazima uwe na chanzo finite au infinite bila hata kuweka hedge ya framework gani tunayozungumzia.
Mathalani, wanafizikia wanaongelea kuhusu model ya big bang, na kwa mujibubm wao, wameshindwa kujua kilichotokea katika singularity ya big bang ni nini, wanahitaji hesabu mpya kwa model hiyo.
Wengine wanasema kila kitu kilianza katika big bang.
Wengine wanasema big bang yetu ni moja tu katika series za big bang na big crunch zisizo na mwisho.
Wengine wanasema big bang yetu ni moja tu kati ya big bangs nyingi zilizozaa universes nyingi katika multiverse.
Hatujui mengi, tuchunguze tujue. Hizi habari za kukaa na kufikiri na ku deduce tu ndiyo zilimfanya Aristotle aipotoshe dunia kwa karibu miaka 2000, mpaka Galileo alivyotufumbua macho.
Kama unajua chochote kuhusu quantum physics, utajua kwamba kuna mengi sana kuhusu reality hatuyajui. Inatubidi tujifunze sana kuyajua.
Kauli yako ya kwamba ni lazima ulimwengu uwe una chanzo finite, kwa kutumia uzoefu wako wa maisha ya kila siku, ni sawa na mtu kusema ni lazima dunia ni bapa na si tufe, kwa sababu akikaa kibarazani kwake anaona dunia ni bapa na si tufe.
Hizo concepts zote za physics ninekupa kwa sababu zina challenge conventional thinking.
Kuanzia kitu kuwa sehemu moja kwa wakati mmoja, mpaka concept nzima ya cause and effect na nature of time.
In quantum physics, the effect can happen before the cause in an infinite quantum loop.
So, if you don't know all about quantum physics - don't feel bad, no one does- how do you know that the universe/ multiverse has no finite beginning and it exist in a bounded but infinite quantum loop?
Kuhusu "The Almighty", thibitisha kwamba yupo kweli na habari zake si hadithi za watu tu.
www.universetoday.com
Umetengeneza hiyo nadharia tete “foreword” kwa sababu unajua fika kwamba linapokuja suala la kuelezea chimbuko la ulimwengu hoja zenu huwa zinafyata. Unaonekana kufahamu hivyo ndo maana umeeleza kwa kupita kando kando na kana kwamba wewe juu ya concept ya origin of universe hujafikia hitimisho licha ya kuwepo nadharia zenye sense. Weka janja janja kwenye dustbin, ungeeleza wazi unachokifahamu kuhusu nadharia ulizotaja mfano; big bang theory of cosmology, singularity na nyingine, kisha ungebainisha wazi unachoamini chenye mashiko zaidi kama ambavyo huwa unafanya kwenye mada nyingine. Unahitaji models gani? inayoendana na ufahamu wako au inayosound, wanafizikia wengine wanaaamini BIG BANG ‘universe arise from a single point – stretching & explosion’, wengine wanaamini SINGULARITY ‘universe arise from nothing', hayo yanafahamika, je wewe unaamini nini?
Wanafizikia wa(li/me/na/ta)ongelea na wataendelea kuongelea hili suala na mengine, hivyo ndiyo ilivyo kwa tasnia zote za kielimu zinazojinasibisha zaidi na ‘discovery, invention, creativity na …’. Huongelewa na hufanyiwa tafiti kwa lengo la kuongeza, kukuza, kuimarisha kuibua laws, principles, theories, ideas, concepts, arguments na hyphothesis mpya au zilizowekwa na si kwa sababu walioweka foundation hawakufika hitimisho – “knowledge gaps ni inevitable” kwenye kila subjects, hivyo acha kujifanya kwamba origin of universe ndo mada pekee ambayo wanafizikia/wanafalsafa/wanathiolojia/wanahistoria hawakufikia hitimisho. Sijajua ndo unaonyesha unaamini sana katika fizikia tu au ni nini? concepts za origin of universe hazipo kwenye fizikia peke yake – uwanja ni mpana, acha kuishi na idea za field moja tu
Unajitekenya na kucheka mwenyewe, ungekuwa unajua hivyo “kwamba kila jambo wanadamu hatulijui kwa undani wake” usingekuwa unashadadia kinagaubaga baadhi ya mambo kana kwamba wewe ndo una hati miliki ya kusadikisha na kuyayakinisha mambo mbalimbali na hususani masuala ya imani. Wanaofahamu hilo na kulizingatia huwa wanakuwa moderate kwenye mambo wasiyoyafahamu na si kupinga tu hata nukuu ambazo zina nguvu
ARISTOTLE alikosea na GALILEO alirekebisha, mbona ndivyo mambo yalivyo kwenye tafiti, hata GALILEO naye kuna ideas amembwela na waliokuja walimrekebisha. Hiyo siyo excuse - kujificha kwenye kivuli cha makosa ya watu, nadharia zipo; na zipo ambazo ni dubious na zipo ambazo ni acceptable, ungebainisha ambayo unaona ina sound zaidi kwa upeo wako, jambo la kufurahisha zaidi huyohuyo ARISTOTLE uliyemkosoa kwa kuupotosha ulimwengu kwa takribani miaka 2000+ ndo huyohuyo aliyeanzisha "laws of logic" ambazo unaziamini kwa 100%, na ndo nyenzo yako kuu na pekee ya kufikia hitimisho ya kila kitu au essense, kama alikosea na kwenye hilo je?
Hoja ya universe kuwa finite sijaianzisha mimi na wala mimi si wa kwanza kuisadikisha, haohao wanafizikia waliotuletea theories mbalimbali ikiwemo quantum mechanics ndo hao hao waliokuja na theories of cosmology origin zinazoeleza kwamba ulimwengu ni finite na siyo infinite. Huo ufahamu unaotaka niwe nao kwenye mfano wako wa bapa na tufe wewe unao?. Unashangaza sana, unachowasilisha sicho ambacho unatambulika nacho “kinachokudhihirisha” – nimegundua haupo realistic
Suala la concepts za fizikia; umeeleza lengo la kuniandikia hizo concepts - sawa, lakini hata hivyo hizo siyo concepts pekee zinazo challenge ufikiri wa mtu kuelezea nadharia mbalimbali ikiwemo chimbuko la universe, galaxy, planets na vilivyomo, nyingi tu zina sifa hiyo ‘challenge – conventional thinking', kwenye hiyo orodha ya concepts za ‘fizikia’ na ‘+ field nyingine' ambazo zina challenge convential thinking ungeweka na nadharia ya UUNGU ingekuwa impartiality, concept hii pia ungekuwa unaishia hewani tu pasina kuwa na conclusion kama ulivyofanya kwa hizo nyingine, ungekuwa unaandika wengine wanaamini UUNGU wa CREATION “mfano miti”, wengine wanaamini UUNGU wa SPIRIT mfano: mizimu, Cha kushangaza kwenye hili peke yake ndo huwa unajifanya una-conclusion - ni hypocrisy, mfano: wewe ni hakimu – mwanao wa kumzaa na mtoto wa jirani wana kesi moja yenye sifa zote zinazoendana kila kitu, lakini kwenye kuhukumu uhitimishe kwa nyundo ‘kifungo’ kwa mtoto wa mwenzako ‘umuone yeye ndo mkosajj sana' wakati huohuo usimhukumu mtoto wako kwa hoja ya udhuru – excuses – umeshindwa kufika hitimisho, hii ni sawa? kawacheze shere wengine, mimi sina haja na pigo za aina hiyo, unanipotezea muda
Qantum physics hueleza mambo “nature” mfano ‘universe' katika misingi ya particles ndogondogo sana. Hii concepts ni “conundrum - mythical - fantasy – imaginativeness - messy - absurdity” na ndo maana mara nyingi nadharia zake zina conclusion ambazo hazina absolute certainty. Somo hili at some points lina application kwenye maisha yetu ya kila siku ikiwemo matumizi ya bar code scanner ‘scanning', simu janja na tarakilishi ‘computer'. Yaonyesha hili somo umekariri au hukulielewa kama ulivyoandika ‘no one' does ndo maana umeshindwa kuliwasilisha kwa lugha uliyoitumia kwenye maelezo yako ya juu – don't feel bad inafahamika ni moja ya somo gumu kuwahi kuwepo kwenye fizikia
Ulichoandika kuhusu nadharia ya causality kwenye quantum physics “models mpya” kwa nilivyokuelewa ni wazi unaiona ni challenge ya nadharia ya classical fundamental law of science au universe “cause and effect” – ni sahihi, je ni nadharia gani kati ya hizo ni useful na ina make sense?. Ugh, ngoja tujaribu kueleza kwa uchache hizi nadharia mbili. Classical law inasema “kila (ma)tokeo (ya/li)na vi(ki)sababishi amba(vyo/cho) tuna(vi/ki)fahamu au hatu(v/k)ifahamu” WHEREAS causality ya quantum physics inasema “consequences” au “results” au “effects” huweza kutokea kabla ya cause “kisababishi” kwenye tabaka la mzunguko ‘cyclic’ lisilo na mwanzo wala mwisho “infinite quantum loop”. Kujenga uelewa wa pamoja juu ya hizo nadharia mbili kuna haja ya kutoa mifano japo miwili kwa kila nadharia;
• CLASSICAL – mfano 1: mbegu za kiume ‘kisababishi’ zimerutubisha yai la kike mimba ikatunga ‘matokeo’
• CLASSICAL – mfano 2: kumtamkia maneno makali/matusi ‘kisababishi’ kumempandisha hasira akampiga ‘matokeo’
MAELEZO: Clasisical law of cause na effect ina mifano mingi sana ambayo ni hai; fikiria jambo lolote ambalo katika hali ya kawaida ukifanya lina matokeo + au –
• CAUSALITY IN QUANTUM – mfano 1: yai au/na kuku nani wa kwanza kuwepo – nani ni ‘kisababishi’ na nani ni ‘matokeo’ ya mwenzake?”
Unapotafsiri nadharia ya causality ya quantum physics kwa mujibu wa mfano 1 maana yake ni: yai ‘matokeo ya duniani” huweza kutokea kabla ya kuku ‘kisababishi cha duniani’ kwenye tabaka la mzunguko lisilo na mwanzo wala mwisho ‘infinite quantum loop’
• CAUSALITY IN QUANTUM – mfano 2: watoto au/na wazazi nani wa kwanza kuwepo nani ni ‘kisababishi’ na nani ni ‘matokeo’ ya mwenzake?
Unapotafsiri nadharia ya causality ya quantum physics kwa mujibu wa mfano 2 maana yake ni: watoto huweza kutokea/kuzaliwa/kuwepo kabla ya wazazi kwenye tabaka la mzunguko lisilo na mwanzo wala mwisho ‘infinite quantum loop’
MAELEZO: Causality ya quantum physics kile ambacho ni kisababishi duniani katika hali ya kawaida kwenye tabaka la anga kinakuwa kinyume chake na viseversa. Suala jingine la msingi: kuielewa vizuri hii nadharia kunahitaji ufahamu sifa za universe, space na infinite quantum loop, baada ya kuzifahamu ndo waweza kupata picha ya hii miujiza inayozungumziwa na isiyokuwa divinity ndani yake
Umeeleza nadharia ya quantum physics kwenye origin of universe kwa njia ya swali, umeshindwa kuthibitisha na kufikia conclusive ya nadharia uliyowasilisha na badala yake umetengeza notion isiyokupa majibu na inayokurudisha mwanzo. Jibu la swali lako ni jepesi sana; what are universe made of? nadharia za origin of universe ambazo zimeonekana kuwa na nguvu zaidi na zinazokubalika na wanasayansi wengi zinasemaje, au quantum physics yenyewe inasemaje – what are universe made of? haijalishi hiyo universe ni infinite au ni finite, jawabu ni maada, nafasi na muda, kwa components hizo3 zinazounda universe, je universe ni CREATION au CREATOR? bila shaka ni CREATION, na inafahamika wazi kwamba inapokuwa ni CREATION maana yake nyepesi ni kwamba ulimwengu umeundwa/umeumbwa na una mwanzo "finite beginning", wanafalsafa na wanathiolojia husema hamna kilichoumbwa kisichokuwa na mwanzo, je nani au nini kimesababisha au kilichoumba/kilichounda au kilicho nyuma ya uwepo wa universe? nadharia nyingi za origin of universe zinasense convincingly uwepo wa SUPERNATURAL, sifa za supernatural zinazoelezwa na wanasayansi na wanafalsafa kwa 100% nathubutu kusema kwamba ni DIVINE
Ahsante