Wanaopinga uwepo wa Mungu ni wakaidi - 2

Wanaopinga uwepo wa Mungu ni wakaidi - 2

Watakwambia Hana mwanzo Wala mwisho na hapo hapo ukiwaambia Hata Ulimwengu haukuumbwa na Hauna mwanzo Wala mwisho wanapinga wanasema haiwezekani
(Contradiction)
Ahsante kwa jibu, japo yaonyesha hamna unachojua kuhusu nadharia za ORIGIN OF UNIVERSE ~ ORIGIN OF LIFE na CAUSE & EFFECT LAW
 
Watakwambia Hana mwanzo Wala mwisho na hapo hapo ukiwaambia Hata Ulimwengu haukuumbwa na Hauna mwanzo Wala mwisho wanapinga wanasema haiwezekani
(Contradiction)
Ulipojenga hii nadharia ulijaribu kufikiri kwamba hoja yako ni sawa na kusema jengo la UBUNGO PLAZA halina mwanzo wala mwisho au TARAKILISHI hazina mwanzo wala mwisho, je hii ni sawa? ni wanasayansi wachache sana waliowahi kuja na maoni ya aina hii na yalitupiliwa mbali
 
Ulipojenga hii nadharia ulijaribu kufikiri kwamba hoja yako ni sawa na kusema jengo la UBUNGO PLAZA halina mwanzo wala mwisho au TAKAKILISHI hazina mwanzo wala mwisho, je hii ni sawa? ni wanasayansi wachache sana waliowahi kuja na maoni ya aina hii na yalitupiliwa mbali
Tahadhari: usije ukafanya kama ulichofanya awali, yaani kwa maelezo niliyotoa hapo 'quote' ukatumia analogical analysis kumuelezea THE ALMIGHTY, utakuwa umedhihirisha kutokuwa na ufahamu wa haya mambo kwa 100%, so don't
 
Ulipojenga hii nadharia ulijaribu kufikiri kwamba hoja yako ni sawa na kusema jengo la UBUNGO PLAZA halina mwanzo wala mwisho au TARAKILISHI hazina mwanzo wala mwisho, je hii ni sawa? ni wanasayansi wachache sana waliowahi kuja na maoni ya aina hii na yalitupiliwa mbali
Nataka uprove Hapa kama jengo la ubungo Plaza Lina muundaji inashindikana vipi muundaji wa Hilo jengo akawa na muundaji wake ambaye nae aliundwa na muundaji aliyeundwa na muundaji ambaye naye aliundwa?

Huoni dhana Yako Itakua infinity?
 
Unaifahamu concept ya design na designer?
 
unataka kunambia designer Hana designer wake?
Unachojadili huna ufahamu nacho, ungetafiti kwanza ndugu, chaining ya aina hiyo ni lazima itafika point itakuwa finite tu, haiwezi kuwa na continuation ambayo ni endeless sababu vinadhibitika kwa muda na sifa nyinginezo, sifa hizo hufanya kitu halisi kuwa na origin na end, ungekuwa na uelewa wa nadharia za chimbuko la cosmos usingeuliza hilo swali, au ungefikiri tu maana ya neno chimbuko ingejitosheleza
 
Unajuaje kwamba ni lazima iwe finite?

Unaelewa mambo yote ya ulimwengu?

Unaelewa Einstein's relativity?

Unaelewa Dirac's equations za quantum physics? Unaelewa hesabu za kureconcile quantum physics na relativity?

Unaelewa Schrodinger's Cats experiment na implication yake?

Unaelewa double slit experiment na implications zake?

Unaelewa spooky action at a distance na implications zake?

Unaelewa time dilation na implications zake?

Halafu, hata kama kweli process ni finite, hilo halithibitishi chanzo ni Mungu.

Hilo linathibitisha process ni finite.

Process kuwa finite si lazima maana yake inaanzia kwa Mungu.
 
Na kama kila lenye complex order linahitaji muumbaji basi akili complex kama ya mungu yenye uwezo wa ku design ulimwengu na yenyewe itahitaji muumbaji hivyo atalazimika kueleza aliemuumba mungu ni nani
Huu mtiririko mwisho wake ni wapi ? Naomba unipe sababu tano zinazo onyesha yule ambaye ameuumba akalazimika kuwa na aliye muumba ?

Unakubali kwamba kuna "Infinity Series" ? Kama una kubali unaweza kuithibitisha au kuonyesha ?

Kila kitu kina chanzo ila Mola pekee hana chanzo, yeye ni wa mwanzo asiye na chanzo kabla yake na yeye ni wa mwisho na hakuna wa mwisho baada yake. Hajazaa wala hakuzaliwa wala hakuna chochote kinachofanana na yeye.
 
Unajuaje kwamba ni lazima iwe finite?
Unakubali kuna "Infinity Series" kwa akili yako tu ya kawaida ? Kama ipo naomba ututhibitishie.

Uhalisia unaonyesha wazi kabisa lazima kuwe na chanzo na ukomo.
 
Back
Top Bottom