Msonjo
JF-Expert Member
- Oct 13, 2019
- 1,378
- 2,394
- Thread starter
- #21
Wanaosema Mungu yupo ndio wakaidi.
1. Wanalazimisha Mungu yupo. Bila uthibitisho. Huo ni ukaidi.
2. Wanalazimisha wengine waamini Mungu wao. Huo ni ukaidi.
3. Wanasema Mungu wao ana majibu yote, wakidharau vyanzo vingine. Huo ninl ukaidi.
4. Wanajiona wana hatimiliki ya mbingu kwa kupitia Mungu wao. Huo ni ukaidi.
5.Wanawanyanyapaa wasiomuamini Mungu wao. Huo ni ukaidi.
Hebu jikite kwenye mada, acha kuongeza pekeyako.
Hapa tunaangazia udhaifu wa hii hoja kuwa ulimwengu umetokana na nature.
Au wewe unahoja tofauti na hiyo?
Halafu wapi nimekulazimisha kuamini mungu yupo?
Mtu halazimishwi kuami ila anabainishiwa haki, Kisha achague mwenyewe kuamini au kukadhibisha(kupinga).
Hapa ninakuonyesha ukaidi wako kwa sababu ulishapinga, na wala sikulazimishi kuamini.
