Wanaopinga Ushoga, Wanapinga nini Haswa?


Si utuambie tu kama na wewe ni mmoja wao maana wewe unachotaka watu wakae kimya uhalifu unapofanyika
 
Hunajipya , haki ni haki tu

Hahahahahaaaa...!!!!! unapigania haki yako ya kuingizwa dudu nyuma..! dah.. hakyanani lazima mzazi wako ailaani siku aliyoingia labor na kushukuru Mungu amepata mtoto mume only to learn a bitter truth today that her son is crying hard to get people f....cking him from the behind.
 
Last edited by a moderator:
Mimi sio shoga ni mpigania haki na mtetezi , mpaka kufaaa

Usijidanganye na usiudanganye umma kuwa wewe sio shoga, utatetea vipi kitu usichoamini kwacho. Indeed you have a problem son, a big problem. Na kama ulivyosema utatetea mpaka kufa, you'll surely die. I pray that you get unchained from what is in control of you.
 

You're trying to divert the reality, am not a Gay(bottom or top) am straight
 

Sunctify ur self , and pray for u r soul,sake, am holly and submitted to my GOD,
 
kwa tanzania hii ushoga usipohalalishwa watajinyonga wengi mm huku mtaani kuna mashiga kibao tunawaona wanajitupa wazi wazi
 
You're trying to divert the reality, am not a Gay(bottom or top) am straight

I quit.. I won't argue with you anymore but I'm praying for you to get out of that possession, Kuna wakati mtu unaweza ukajua uko sahihi na unafanya kitu sahihi kumbe umeshikwa na kuna na nguvu iliyokuzidi na imekuaminisha kuwa uko sahihi na wote wanaokupinga wamepotoka na hawauoni ukweli unaouona wewe. At that point is where divine intervention becomes the only and only solution.
 

Jililieni nyinyi na watoto wenu
 
Jililieni nyinyi na watoto wenu

Naamini mzazi wako atalia na kujilaani sana atakapogundua kitu ambacho mwanae anakipenda, anakiamini na yuko tayari kukipigania hadi kufa. being a parent, namhurumia sana.
 
Naamini mzazi wako atalia na kujilaani sana atakapogundua kitu ambacho mwanae anakipenda, anakiamini na yuko tayari kukipigania hadi kufa. being a parent, namhurumia sana.

Kwa hiyo kuwachoma moto, kuwapiga , na kuwafunga , unataka niunge mkono ujinga, sipo tayari
 
Ok ,,, who gave u that authority of judging others, yesu alitetea hata changu doa , poleeeee yako

Hahahaaa.. nimeipokea pole yako mkuu sana Bhanunu. loli imbombo jhilipo.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…