Kwanza hiyo nyekundu, hapa hatuzungumzi kwa ajili ya nani ana hasirana nani bali mantiki ya hichi kinachozungumzwa.Assume wewe ni muislam na una wake watatu na watoto 5:4:3 yaani 12 jumla kwa wake watatu..umefariki
Kwa sheria za ndoa ya 1971; ugawaji wa urithi huo hauwezekani japo muislam huyu aliruhusiwa kuoa kiislam
Kwanini mali yake isigawanywe kiislam?? tunataka kadhi wawasaidie hao wanawake, watoto kuhusu mgawanyiko wa mali ya muumini huyu.. siyo voluntarily iwe sheria kabisa na hukumu itolewe na mahakama..ok
Ndio maana tunataka mahakama ya Kadhi..
NB: Naomba wale wenye hasira na uislam na waislamu watuache kwanza tuseme kwanini tunataka mahakama ya kadhi ili mtuelewe
Mgen
Sjacheka wiki nzima lol
Nimependa hizo sehemu nilizo bold.
Mungu ni Imani ya mtu.Wapo wanaoamini, wapo wasioamini.Serikali ya Tanzania haina dini.Kwa msingi huo, serikali isiyo na dini, haiwezi kuwasaidia watu kufuata "amri za Mungu wao, au dini zao".
Kiserikali, kila mtu anao uhuru kuabudu atakacho na atakavyo.Ukiamua kuabudu Ng'ombe kama wanavyofanya baadhi ya watu ruksa! Ukiamua kuabudu nature, ruksa! Ukiamua kumuabudu Mungu wako unayemuamini wewe, ni wewe na Mungu wako.Haiwezi kuwa ni wewe, Mungu wako na serikali! Na hapa ndipo tunaposhindania ( bone of contention).Ni jukumu la kila mwenye dini yake kuabudu humohumo kwenye dini yake bila kuhusisha serikali isiyo na dini.
Kwa wakristo wakatoliki kwa mfano, kwenye masuala ya ndoa - wao wana sheria ya mke mmoja, na hakuna talaka hadi kifo kiwatenganishe! Hapo hapo, sheria za nchi zinaruhusu talaka.Wapo wakatoliki chungu mzima ambao wameenda mahakamani kudai talaka na hii ni kinyume kabisa na sheria za kikatoliki za ndoa. Kinachofanyika kwa mtu kama huyu, ni kwamba kanisa halitambui hiyo, na pia hawezi tena kufunga ndoa kanisani. Hatujawahi kusikia hata mara moja, wakatoliki wakiidai serikali ianzishe mahakama za kanisa ndani ya mfumo wa serikali.Wenyewe wanao utaratibu wao wa kufuata katika maswala yao, na hata kesi kama hizi, wanafuata hizo taratibu kivyao bila kuingiza dini nyingine maana kwa kufanya hivyo itakuwa kuingilia uhuru wa imani za wengine na hii ni kinyume na uhuru wa mtu binafsi chini ya katiba.Mara ngapi tunasikia pingamizi kanisani kwa mtu anayetaka kufunga ndoa na huku pale ambapo ametenda kinyume na matakwa ya sheria za kikristo katoliki? Ndio utaratibu, na wasioridhika wamepeleka rufaa hadi Vatican - MAKAO MAKUU YA KANISA KATOLIKI..Hii yote ni nje ya mfumo wa utoaji haki wa Serikali. mfumo unaotegemezwa na walipa kodi wote - wakristo, waislam na hata wasio na dini..Pale mhusika anapokaidi/kukiuka, basi hutengwa na kanisa.
Najaribu kufuata majadiliano.Pamoja na mimi kuwa ndani ya imani inayodai mahakama ya Kadhi, mwenzenu sioni kama tuko wengi tunaoona faida yake kwa sababu hatufuati hata hizo sharia zenyewe zinavyotaka.Mi staki nikose uhuru wa kuchagua nataka kutumia utaratibu gani kuamua mambo yangu.Niliona ndugu yangu alivyonyanyaswa na hao hao viongozi wetu pale mumewe alipompa talaka 2 za kumkomoa kusudi tu asiolewe tena.Ilibidi tumwekee lawyer, akapeleka kesi mahakamani na huko akapata haki yake.Ndoa ikavunjwa kiserikali.Akawa huru kuishi maisha yake.Spati picha kama ndo Kadhi kaamua na uamuzi ukawa mwisho.Angeliaje?
Hapana, sicho ulichosema. Ulidai kwamba madhehebu mengine ya dini yanaweza ku enforce sheria zao bila kusaidiwa na serikali. Ukaulizwa, how?Ninachosema mimi ni kwamba mambo ya ibada inabidi yabaki kuwa ...!
Ni kwanini waislamu hawawezi ku enforce laws zao wenyewe za kiibada kwenye mahakama zao mpaka wasaidiwe na serikali lakini madhehebu mengine ya dini yanaweza?
Umekasirika na umeandika kwa hasira..sijaona unataka kusema nini?? please andika tena ukiwa umetulia ..just intellectual arguments..
Hapana, sicho ulichosema. Ulidai kwamba madhehebu mengine ya dini yanaweza ku enforce sheria zao bila kusaidiwa na serikali. Ukaulizwa, how?
Wataliki wa ndoa wakigombania mali, kwa mfano, mahakama ya kanisa au ya msikiti ikiamuru mali za ex-husband ziwe seized apewe ex-wife na watoto, kanisa lita enforce vipi hiyo amri? Unaweza kujibu hicho kitu au ulijitamkia tamkia tu?
Msome vizuri Woman of substance ...utaelewa!Hapana, sicho ulichosema. Ulidai kwamba madhehebu mengine ya dini yanaweza ku enforce sheria zao bila kusaidiwa na serikali. Ukaulizwa, how?
Wataliki wa ndoa wakigombania mali, kwa mfano, mahakama ya kanisa au ya msikiti ikiamuru mali za ex-husband ziwe seized apewe ex-wife na watoto, kanisa lita enforce vipi hiyo amri? Unaweza kujibu hicho kitu au ulijitamkia tamkia tu?
Mkuu hawa jamaa sijui wanaelewa ila hawataki tu kukubali au sijui ni nini...! Tanzania bado tuna kazi kubwa sana!Enforcement ya jambo la imani ni kwa misingi ya imani. Unajua shida yenu ni kwamba kuna tabaka la wanaume wasiopenda kufanya kazi ambao wanatafuta namna ya kudhulumu wajane (wake za kaka zao) na ndio mnachopigia kelele hapa.
Mimi naamini kwamba, kama ni jambo la ibada basi na muongeze mahubiri ktk hilo ili waumini waielewe vyema concept ya kugawana mali. Ikiwa ibada zenu ni kulazimishana, kuna haja gani ya kuorodhesha mawili tu ya ndoa na mirathi?
Semeni hivi: Tunataka mahakama ya Kadhi ili tuweze kutoa hukumu kwa:-
1. Wanaokwepa kulipa dhaka
2. Wasiochangia watoto yatima
3. Wanaolewa ilhali wao ni waislamu
4. Wanaotafuna kitimoto wkt wanajua allah kakataza
5. Wanaogawa mirathi bila kufuata uislamu na kadhalika.
Yawezekana usinielewe hapa sbb ya hasira, lkn nachojaribu kukwambia ni kuwa, kama mirathi na ndoa ni ibada basi fanyeni kama ibada nyingine hakuna haja haja ya kupelekana mahakamani. Mwenye kuamini uislamu na atagawa mali kiislamu, period. Kwani mja akigoma kufunga ramadhani huwa mnamshitaki kwenye mahakama gani?
Hapana, sicho ulichosema. Ulidai kwamba madhehebu mengine ya dini yanaweza ku enforce sheria zao bila kusaidiwa na serikali. Ukaulizwa, how?
Wataliki wa ndoa wakigombania mali, kwa mfano, mahakama ya kanisa au ya msikiti ikiamuru mali za ex-husband ziwe seized apewe ex-wife na watoto, kanisa lita enforce vipi hiyo amri? Unaweza kujibu hicho kitu au ulijitamkia tamkia tu?
Msome vizuri Woman of substance ...utaelewa!
Mantiki yangu ilikuwa ni ...huwezi ku enforce mambo ya kiibada kama mtu mwenyewe hataki. Wapo wakatoliki wenye kufuata sheria za kikatoliki za ndoa na wapo wasiofuata... Kama mtu hafuati hizo sheria automatically anakuwa amejitoa kwenye kanisa na Kanisa linampa adhabu inayostahili ndiyo maana hautakuja kusikia hata siku moja Kanisa likiiomba serikali ku enforce sheria zake unless labda kuwe na uvunjifu wa amani. Mambo ya kanisa tunamalizana kanisani period...!Sasa jiulize mtu mwenye uhuru wa kuabudu kitu chochote au kutoabudu kikatiba asipofuata sheria ya dini yake ndiyo chombo cha serikali kimlazimishe afuate sheria za dini yake?
Consigliere alizungumza vizuri...cha muhimu ni kuzingatia mafundisho na miongozo ya ya dini zetu. Kama mtu aki deviate na mahakama ya Kadhi(mnayoiendesha wenyewe) ikashindwa kumrudisha kwenye mstari basi hakuna jinsi ...ndiyo mwisho wa mchezo kwa sababu serikali yetu haina dini!
Acha niliseme hili japo hawatalipenda. Nafikiri huu ni mpango wa watu wachache wenye nia ya kuwaonea wenzao. Nachokiona ni kuwa huu ugawaji wa mali sio reasonable na ndio maana wanajihami. Ni mpango tu wa vidume visivyofanya kazi kuandaa mazingira ya kuwadhulumu wanawake wajane mali za waume zao wanapofariki. Nasema hivi kwa kuwa, kama mtu hataki utaratibu fulani basi imani yake ktk hilo jambo ni zero. Na cha kushangaza, FUNGA (Ramadhan) ni moja ya NGUZO KUU 5 ZA UISLAMU lkn sijaona wakiomba law inforcement kwenye hilo. Kuna nini kwenye mirathi? Kwani mtu akipungukiwa imani anamkosea Mungu au mwanadamu? Imekuwa kazi ya serikali kumsaidia Allah kuwahukumu watu wake kwa kosa la kutofuata mafundisho ya Allah?
Well, alichosema WoS ndio kituko kikubwa zaidi. Kasema enforcement ya hukumu ni kutengwa na kanisa. I mean, I can't help it but this is totally preposterous.Msome vizuri Woman of substance ...utaelewa!
na wasioridhika wamepeleka rufaa hadi Vatican - MAKAO MAKUU YA KANISA KATOLIKI....Pale mhusika anapokaidi/kukiuka, basi hutengwa na kanisa.
Mwanakijiji
a. Wakristo wenyewe watataka mahakama sasa kwa vile waislamu wameomba?? au wanataka sidhani kama itakuwa ni mahitaji yao kwakuwa kutofauta hiyo hukumu za kikristo ni dhambi kwa wakristo..kama ni dhambi then wanaogopa nini kuomba kuanzishwa siku zote?? wala hatujaona huo mfano kwa nchi nyingi za kikristo duniani mbona sijaona hiyo sheria na hukumu zikitumika? kadhi courts ambazo zipo hata kwa nchi za kikristo kwa ajili ya waislamu kwasababu ni ibada...kwa hiyo hoja yako ni uwongo au uchoyo na chuki tu kwa waislam wa Tanzania
b. Waislamu wa Tanzania wanalipa kodi kama wananchi wengine kuna kuwa na shida gani kuhudumia na pesa za serikali kwakuwa hata sasa kuna kesi za kiislamu katika mahakama za kawaida ambapo hakimu analipwa lakini anahukumu kesi ambazo hana ujuzi nayo??..kazi ya serikali ni kuhudumia wananchi wote kwahiyo hawa waislamu wanaotaka mahakama ya kadhi pesa zao zinatakuwa hizo hizo zinazoenda katika mahakama zetu ..ndio maana nikasema serikali inatakiwa kupeleka kwenye kadhi funds pesa equivalent na kesi ambazo zingeenda mahakama za sasa not otherwise..
Sijaona mantiki ya waislamu kulipia huduma ambayo serikali inatakiwa kutoa kwa wananchi wake..
Well, alichosema WoSndio kituko kikubwa zaidi.
THATSWHATSUP!
Kasema enforcement ya hukumu ni kutengwa na kanisa.
"enforcement" wewe unaielewaje maana huenda uelewa unatofautiana.'Hukumu' unamaanisha nini maana sikutumia neno hilo popote kwa sababu najua uzito wake.
Nijuavyo mimi, kanisa halibehave namna hiyo, haliendeshi mambo yake kwa kutoa maamuzi kama unavyoweka hapa! Kutengwa utatengwa maana umejitenga mwenyewe baada ya kutokufuata sheria za kanisani.WoS, tumepelekana kwenye kesi ya talaka mahakama ya kanisa, ikaamuliwa wewe upewe custody ya watoto na nikulipe mahela, nikakaidi, mnanihukumu kutengwa na kanisa!
Kwanza after all that melodrama kanisani kwenyewe I don't wanna see your face or your big belly,
Neither do they want to see you im sure kwa sababu kama una arrogance namna hiyo mbele ya viongozi wako wa kiroho hadi unadiriki kuwatukana, sidhani watakuwa na muda na wewe.Fahamu kanisa haliwafanyii waumini wake kama zifanyavyo mahakama za kawaida - ambazo the likes of you who are so full of themselves believe they can buy justice na kukanyaga kila mtu kichwani.
OH REALLY?ukinifukuza kanisani umeninyima kunde.
Kama una millions kiasi hicho na unakataa hata kuwapa walio na stahili, hufai hata kuhangaisha vichwa vya wateule wa Mungu.Kumbe ulitaka wakufunge kamba usiondoke?!Thats not how the church operates na hapa siyo mahali pake kujadili.Kumbuka hii siyo mada ya "mahakama za kikristo - katoliki bali ni mahakama za kadhiKwa hiyo wataniruhusu niondoke na custody ya watoto na however many thousands or milions nilizohukumiwa nimlipe ex-wife.
Naenda usharika mwingine huku naimba Bwana Asifiwe! I mean this is amazingly ridiculous. hahahahahaahaha.... Mahakama gani haiwezi ku enforce maamuzi yake?
Like seriously? You want an answer to this one? Nitakushauri kama una nafasi, basi nenda tembelea mahakama ziwe za mwanzo au wilaya, uone kesi nyingi zilizokwisha na uone kama hizo orders "zimekuwa enforced' ukishakamilisha utafiti huo mdogo ndio uje hapa tujadili hii hoja ya enforceability.Ridiculous is what it is!
Well, alichosema WoS ndio kituko kikubwa zaidi. Kasema enforcement ya hukumu ni kutengwa na kanisa. I mean, I can't help it but this is totally preposterous.
WoS, tumepelekana kwenye kesi ya talaka mahakama ya kanisa, ikaamuliwa wewe upewe custody ya watoto na nikulipe mahela, nikakaidi, mnanihukumu kutengwa na kanisa! Kwanza after all that melodrama kanisani kwenyewe I don't wanna see your face or your big belly, ukinifukuza kanisani umeninyima kunde. Kwa hiyo wataniruhusu niondoke na custody ya watoto na however many thousands or milions nilizohukumiwa nimlipe ex-wife. Naenda usharika mwingine huku naimba Bwana Asifiwe! I mean this is amazingly ridiculous. hahahahahaahaha.... Mahakama gani haiwezi ku enforce maamuzi yake?
Hapa ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa, hawa watu wamezoea kukariri hivyo basi hata ueleze vipi hawataelewa zaidi ya walivyokariri