Wanaopenda teknolojia kama mimi karibuni msome hapa

Ndio inawezekana lakini nitakupa link ya kudownload videos na vitabu ambavyo nitakurecommend, kwa sasa hapa natumia CMU sipo na kompyuta.

Shukrani kwa ufafanuzi mzee unaweza pia kutupatia linki ili sote tukajifunze.. nita ku PM kwa msaada zaidi
 
Wakuu napenda sana teknolojia, please somebody help me to crack n7 player! Sina hela
 
Kijana bado haujaweza ku code bana tuache utani aisee kwenye masuala ya msingi maanake code is a programming language na programming inaendana na Althmetic & Logic hii ni kwa awali kabisa sasa wewe unasoma customized na sio from the scratch.

kama blog yako ni ya kawaida tu tena begginer kabisa kama unataka kujua zaidi nenda shule aisee katika elimu no shortcut mzee.
ndo maana wahindi wapo juu sana kwenye masuala ya programming kwa sababu wanasoma sana tena vyuoni na baadae ndo anaendelea kuongezea ujuzi baada ya kuwa na elimu ya shule na sio kuja na kusema umeweza kusoma through online na wakati wewe mwenyewe bado kabisa.

cha kufanya nenda shule BASHITE
wewe unaisoma darasani mwenzako is born to do it,ndio maana zuckerberg aliona maprofesa wake ni vilaza na kuamua kuacha chuo,hao wahindi unaowasema mbona hatuwasikii???kitu kama unakipenda kutoka moyoni hakuna chochote kitachokuzuia kufika juu..elimu inaongeza uwezo wa kung'amua mambo lakini haiongezi akili wala IQ.......inspiration,determination ndio vitu vitavyokuinua darasa ni etra tu...we learn anywhere anytime
 
Habari wapendwa mimi napenda sana teknolojia (Geek wa hali ya juu) sana na nina ndoto kubwa sana kuhusu teknolojia na lengo la kufungua thread hii ni kuwahamasisha wenzangu wanao penda teknolojia watumie mitandao kwa faida moja wapo ama nyingine,

Kwa sasa ninajifunza ku code na nimefanikiwa kusoma HTML na CSS kwa kiwangu kizuri na hivi sasa najifunza javascript matarajio yangu mimi binafsi ni kuja kutengeneza App ambayo nimekua nina idea tangu miaka kadhaa iliyopita ningewashauri wenzangu mnaopenda teknolojia kujifunza ku code kwasababu ku code kupo kila sehemu na kama kweli unapenda kusoma lugha inayozungumza kompyuta basi ni vyema ukajifunza,

Mimi sijawai soma chuo wala kusomea kompyuta wala idea yeyote ile kuhusu kompyuta lakini zimekuwa ni juhudi zangu binafsi kutafuta na kuwa na shauku ya kujifunza ku CREATE na sio ku USE kama wengi wetu tulivyo, kwa sasa bado najifunza javascript katika website ambayo inaitwa freecodecamp.com uki google utaona, unaweza kujiunga na maelezo mengineyo yaka fuata mpaka sasa nimefanikiwa kuwa na blog yangu binafsi iitwayo TEEN TEK ambayo ninafanya reviews za simu kwa lughaa ya kiswahili na kiundani zaidi tofauti na wengine pamoja na mambo mbalimbali ya kuhusu teknolojia ikiwemo jinsi ya kuagiza vitu online kama Ebay etc (nina uzoefu wa hali yajuu mwaka wa 5 sas tangu nianze kuagiza,

Na kuhusu uagizaji wa vitu online unaweza kuniuliza nikakujibu) tofauti na blog nyingi wanapenda kuongelea habari za udaku etc mi nikaona ni wakat mzuri wa kuanza kufanya kitu ambacho ninia kipenda pitia link hii TEEN TEK au unaweza kuingia google uki search Teen Tek utaiona blog yangu juu kabisa, ukajionee na ujifunze baadhi ya vitu kwa mfano maana ya mega pixels wengi tunafahamu lakini je ina umuhimu gan katika simu yako na sio kwamba ukubwa wa megapixels basi ndio uzuri wa picha, kiujumla ni elimu ndogondogo ambazo wengi huwa tunapuuza lakini ni muhimu sana kufahamu specs kiundani katika simu yako.

Malengo yangu mengine ni kumaliza programming language zote kama nitajaliwa uzima najua inawezekana sababu ninapenda sana, na niwape moyo kama mtu utaenda kuanza kujifunza ku code ni inachanganya sana sometimes lakini kufanya practice mara kwa mara ndio uwezaji wenyewe, nimeweza kufanya project mbalimbali ni kwasasa nimeweza kutengeneza game la "paper " rock and scissors kwa kutumia javascript, nimefanya project mbalimbali unaweza kuona kupitia linki hii bBGdVb project nyingine ni hii DARHOOD SITE na nyingine ambayo bado ndio najifunza zaidi ReactJS Clock with different formats

Lengo kuu wapenda teknolojia wenzangu ni kuwaamasisha tujifunze hivi vitu kwasababu ndio kilakitu, na pia IMO naona ninavo jifunza online ni rahisi na vizuri zaidi kwasababu kuna forums ambazo zipo zimewekwa kama ukikwamba ataelekezwa na sio kupewa jibu so inahitaji uwe unatilia maanani nenda kajifunze sasa Website ni Learn to code and help nonprofits na ni bure website nyingine wanatoza pesa kama ukimwama usisite kuniomba ushauri

Asanteni sana natumaini nimewasaidia wengi maswali yanakaribishwa
Tafadhari naweza pata mawasiliano binafsi plz mengi nataka kujifunza kuhusu program hiyo
 
Namimi napenda IT naayo mambo yote, huu uzi umini influence sana lakini apa nilipo ni mweupe kabisa katika ivyo vitu sijui PHP, JAVA nk sielewi ata moja lakini nataka kuvijua, mpaka sasaivi sina computer ila ninataka kununua nikipata boom mda simrefu PC kama ya 300, 000/= used sasa swali langu itakuwa na uwezo wa kufanya ivyo vitu kama JAVA, PHP nk
 
Kabla ya kuwaza haya yote jiulize unapenda nini?? Kutengeneza websites au kutengeneza softwares kama za simu au pc!! Ukipata jibu la hayo maswali itakua rahisi kwako!!
 
nataka kutengeneza website, brogs na kufanya vitu kama graphic design na cover design
 
Namimi napenda IT naayo mambo yote, huu uzi umini influence sana lakini apa nilipo ni mweupe kabisa katika ivyo vitu sijui PHP, JAVA nk sielewi ata moja lakini nataka kuvijua, mpaka sasaivi sina computer ila ninataka kununua nikipata boom mda simrefu PC kama ya 300, 000/= used sasa swali langu itakuwa na uwezo wa kufanya ivyo vitu kama JAVA, PHP nk

Ukisema Pc ya 300,000 hapo utakuwa umetuacha, kwasababu nyingi zinatofautiana, ila unaweza kutoa specifications itakua poa. Unaweza kusoma hapa TEEN TEK: JIFUNZE VITU HIVI MUHIMU KUHUSU LAPTOP KABLA HUJANUNUA (WINDOWS PEKEE). Upate ushauri mzuri wa kupata laptop nzuri kwa matumizi yako (kama unataka laptop)
 
Wakuu napenda sana teknolojia, please somebody help me to crack n7 player! Sina hela

Hapo sijakuelewa, yani unapenda Tech au unaomba maelezo jinsi ya ku crack hiyo N7 player? Alaf kama ndio unataka ku crack useme ni version ipi na ya Os gani (kama ni app au software) au kama ni device sema model yake na specs kama kuna anae fahamu atakupa muongozo mimi nina ujuzi mdogo kwenye Apps za android kazi kwako
 
Habari wapendwa mimi napenda sana teknolojia (Geek wa hali ya juu) sana na nina ndoto kubwa sana kuhusu teknolojia na lengo la kufungua thread hii ni kuwahamasisha wenzangu wanao penda teknolojia watumie mitandao kwa faida moja wapo ama nyingine,

Kwa sasa ninajifunza ku code na nimefanikiwa kusoma HTML na CSS kwa kiwangu kizuri na hivi sasa najifunza javascript matarajio yangu mimi binafsi ni kuja kutengeneza App ambayo nimekua nina idea tangu miaka kadhaa iliyopita ningewashauri wenzangu mnaopenda teknolojia kujifunza ku code kwasababu ku code kupo kila sehemu na kama kweli unapenda kusoma lugha inayozungumza kompyuta basi ni vyema ukajifunza,

Mimi sijawai soma chuo wala kusomea kompyuta wala idea yeyote ile kuhusu kompyuta lakini zimekuwa ni juhudi zangu binafsi kutafuta na kuwa na shauku ya kujifunza ku CREATE na sio ku USE kama wengi wetu tulivyo, kwa sasa bado najifunza javascript katika website ambayo inaitwa freecodecamp.com uki google utaona, unaweza kujiunga na maelezo mengineyo yaka fuata mpaka sasa nimefanikiwa kuwa na blog yangu binafsi iitwayo TEEN TEK ambayo ninafanya reviews za simu kwa lughaa ya kiswahili na kiundani zaidi tofauti na wengine pamoja na mambo mbalimbali ya kuhusu teknolojia ikiwemo jinsi ya kuagiza vitu online kama Ebay etc (nina uzoefu wa hali yajuu mwaka wa 5 sas tangu nianze kuagiza,

Na kuhusu uagizaji wa vitu online unaweza kuniuliza nikakujibu) tofauti na blog nyingi wanapenda kuongelea habari za udaku etc mi nikaona ni wakat mzuri wa kuanza kufanya kitu ambacho ninia kipenda pitia link hii TEEN TEK au unaweza kuingia google uki search Teen Tek utaiona blog yangu juu kabisa, ukajionee na ujifunze baadhi ya vitu kwa mfano maana ya mega pixels wengi tunafahamu lakini je ina umuhimu gan katika simu yako na sio kwamba ukubwa wa megapixels basi ndio uzuri wa picha, kiujumla ni elimu ndogondogo ambazo wengi huwa tunapuuza lakini ni muhimu sana kufahamu specs kiundani katika simu yako.

Malengo yangu mengine ni kumaliza programming language zote kama nitajaliwa uzima najua inawezekana sababu ninapenda sana, na niwape moyo kama mtu utaenda kuanza kujifunza ku code ni inachanganya sana sometimes lakini kufanya practice mara kwa mara ndio uwezaji wenyewe, nimeweza kufanya project mbalimbali ni kwasasa nimeweza kutengeneza game la "paper " rock and scissors kwa kutumia javascript, nimefanya project mbalimbali unaweza kuona kupitia linki hii bBGdVb project nyingine ni hii DARHOOD SITE na nyingine ambayo bado ndio najifunza zaidi ReactJS Clock with different formats

Lengo kuu wapenda teknolojia wenzangu ni kuwaamasisha tujifunze hivi vitu kwasababu ndio kilakitu, na pia IMO naona ninavo jifunza online ni rahisi na vizuri zaidi kwasababu kuna forums ambazo zipo zimewekwa kama ukikwamba ataelekezwa na sio kupewa jibu so inahitaji uwe unatilia maanani nenda kajifunze sasa Website ni Learn to code and help nonprofits na ni bure website nyingine wanatoza pesa kama ukimwama usisite kuniomba ushauri

Asanteni sana natumaini nimewasaidia wengi maswali yanakaribishwa
Njema sana
 
Back
Top Bottom