darhood
Senior Member
- Dec 29, 2013
- 116
- 184
Habari wapendwa mimi napenda sana teknolojia (Geek wa hali ya juu) sana na nina ndoto kubwa sana kuhusu teknolojia na lengo la kufungua thread hii ni kuwahamasisha wenzangu wanao penda teknolojia watumie mitandao kwa faida moja wapo ama nyingine,
Kwa sasa ninajifunza ku code na nimefanikiwa kusoma HTML na CSS kwa kiwangu kizuri na hivi sasa najifunza javascript matarajio yangu mimi binafsi ni kuja kutengeneza App ambayo nimekua nina idea tangu miaka kadhaa iliyopita ningewashauri wenzangu mnaopenda teknolojia kujifunza ku code kwasababu ku code kupo kila sehemu na kama kweli unapenda kusoma lugha inayozungumza kompyuta basi ni vyema ukajifunza,
Mimi sijawai soma chuo wala kusomea kompyuta wala idea yeyote ile kuhusu kompyuta lakini zimekuwa ni juhudi zangu binafsi kutafuta na kuwa na shauku ya kujifunza ku CREATE na sio ku USE kama wengi wetu tulivyo, kwa sasa bado najifunza javascript katika website ambayo inaitwa freecodecamp.com uki google utaona, unaweza kujiunga na maelezo mengineyo yaka fuata mpaka sasa nimefanikiwa kuwa na Website yangu binafsi iitwayo Teen Tek ambayo ninafanya reviews za simu kwa lughaa ya kiswahili na kiundani zaidi tofauti na wengine pamoja na mambo mbalimbali ya kuhusu teknolojia ikiwemo jinsi ya kuagiza vitu online kama Ebay etc (nina uzoefu wa hali yajuu mwaka wa 5 sas tangu nianze kuagiza, (Unaweza soma Post kuhusu kuagiza vitu kupitia link hii hapa ) FAHAMU JINSI YA KUAGIZA SIMU EBAY AU AMAZON? NI RAHISI SANA SOMA HAPA (OFF TOPIC) | TeenTek
Na kuhusu uagizaji wa vitu online unaweza kuniuliza nikakujibu) tofauti na blog nyingi wanapenda kuongelea habari za udaku etc mi nikaona ni wakat mzuri wa kuanza kufanya kitu ambacho ninia kipenda pitia link hii www.teentekhq.com au unaweza kuingia google uki search Teen Tek utaiona blog yangu juu kabisa, ukajionee na ujifunze baadhi ya vitu kwa mfano maana ya mega pixels wengi tunafahamu lakini je ina umuhimu gan katika simu yako na sio kwamba ukubwa wa megapixels basi ndio uzuri wa picha, kiujumla ni elimu ndogondogo ambazo wengi huwa tunapuuza lakini ni muhimu sana kufahamu specs kiundani katika simu yako.
Malengo yangu mengine ni kumaliza programming language zote kama nitajaliwa uzima najua inawezekana sababu ninapenda sana, na niwape moyo kama mtu utaenda kuanza kujifunza ku code ni inachanganya sana sometimes lakini kufanya practice mara kwa mara ndio uwezaji wenyewe, nimeweza kufanya project mbalimbali ni kwasasa nimeweza kutengeneza game la "paper " rock and scissors kwa kutumia javascript, nimefanya project mbalimbali unaweza kuona kupitia linki hii bBGdVb project nyingine ni hii DARHOOD SITE na nyingine ambayo bado ndio najifunza zaidi ReactJS Clock with different formats
Lengo kuu wapenda teknolojia wenzangu ni kuwaamasisha tujifunze hivi vitu kwasababu ndio kilakitu, na pia IMO naona ninavo jifunza online ni rahisi na vizuri zaidi kwasababu kuna forums ambazo zipo zimewekwa kama ukikwamba ataelekezwa na sio kupewa jibu so inahitaji uwe unatilia maanani nenda kajifunze sasa Website ni Learn to code and help nonprofits na ni bure website nyingine wanatoza pesa kama ukimwama usisite kuniomba ushauri
Asanteni sana natumaini nimewasaidia wengi maswali yanakaribishwa