Wanaopenda teknolojia kama mimi karibuni msome hapa

Wanaopenda teknolojia kama mimi karibuni msome hapa

utengenezi kitu sababu mwenzako ametengeneza
WW jamaa kweli ni mtu wa IT?, korea kaskazini wana OS yao halafu ww unatoa jipu jepesi kiasi hiki.
Haya ndio mawazo ya wataalam wa IT wa tanzania!! Sasa wakuu pamoja na kwamba mmeenda chuo na mnafaham hiyo programming kwanini mpaka leo mnatumia vlc au windows OS ya wazungu?? Kwanini msitengeze zenu ili tujue mmenda chuo na kweli mmejifunza programming??
 
Hongera mkuu kwa hatua uliyofikia,ningependa kukushauri ujikite zaidi kwenye server side language coz hzo ndo main ktk system kwan ukishajua hzo ww utatafuta templates tu na kuedit hutakuwa tena na mda wa kuhangaika na hzo html na css.Na ningekushauri kuhusu makeup language ujikite na library km boostrap
 
acha kumpotosha atapasuka ubongo,aende shule
 
kusema ukweri jamaa bado beginner. Hiyo javascript yenyew sizani kama anaijua anakimbilia react.js, pia kua experienced developer sio matamshi nikazi unayoifanya kwa mimi nimeona bado sana hatakama unajifunza online unatakiwa utumie muda mwingi sana kwenye kitu kimoja coz nnavoona hata html na css bado ujaitambua vizuri. kwakukupa msaada juu ya hayo mambo tembelea hii site W3Schools Online Web Tutorials. kajifunze upya coz html na css haikuishia hapo kuna html5 na css3 kwaiyo jifunze vyote alafu uje useme wew ni front-end developer tutakuelewa. pia bigup sana kwa njia ulioichagua
 
Habari wapendwa mimi napenda sana teknolojia (Geek wa hali ya juu) sana na nina ndoto kubwa sana kuhusu teknolojia na lengo la kufungua thread hii ni kuwahamasisha wenzangu wanao penda teknolojia watumie mitandao kwa faida moja wapo ama nyingine,

Kwa sasa ninajifunza ku code na nimefanikiwa kusoma HTML na CSS kwa kiwangu kizuri na hivi sasa najifunza javascript matarajio yangu mimi binafsi ni kuja kutengeneza App ambayo nimekua nina idea tangu miaka kadhaa iliyopita ningewashauri wenzangu mnaopenda teknolojia kujifunza ku code kwasababu ku code kupo kila sehemu na kama kweli unapenda kusoma lugha inayozungumza kompyuta basi ni vyema ukajifunza,

Mimi sijawai soma chuo wala kusomea kompyuta wala idea yeyote ile kuhusu kompyuta lakini zimekuwa ni juhudi zangu binafsi kutafuta na kuwa na shauku ya kujifunza ku CREATE na sio ku USE kama wengi wetu tulivyo, kwa sasa bado najifunza javascript katika website ambayo inaitwa freecodecamp.com uki google utaona, unaweza kujiunga na maelezo mengineyo yaka fuata mpaka sasa nimefanikiwa kuwa na blog yangu binafsi iitwayo TEEN TEK ambayo ninafanya reviews za simu kwa lughaa ya kiswahili na kiundani zaidi tofauti na wengine pamoja na mambo mbalimbali ya kuhusu teknolojia ikiwemo jinsi ya kuagiza vitu online kama Ebay etc (nina uzoefu wa hali yajuu mwaka wa 5 sas tangu nianze kuagiza,

Na kuhusu uagizaji wa vitu online unaweza kuniuliza nikakujibu) tofauti na blog nyingi wanapenda kuongelea habari za udaku etc mi nikaona ni wakat mzuri wa kuanza kufanya kitu ambacho ninia kipenda pitia link hii TEEN TEK au unaweza kuingia google uki search Teen Tek utaiona blog yangu juu kabisa, ukajionee na ujifunze baadhi ya vitu kwa mfano maana ya mega pixels wengi tunafahamu lakini je ina umuhimu gan katika simu yako na sio kwamba ukubwa wa megapixels basi ndio uzuri wa picha, kiujumla ni elimu ndogondogo ambazo wengi huwa tunapuuza lakini ni muhimu sana kufahamu specs kiundani katika simu yako.

Malengo yangu mengine ni kumaliza programming language zote kama nitajaliwa uzima najua inawezekana sababu ninapenda sana, na niwape moyo kama mtu utaenda kuanza kujifunza ku code ni inachanganya sana sometimes lakini kufanya practice mara kwa mara ndio uwezaji wenyewe, nimeweza kufanya project mbalimbali ni kwasasa nimeweza kutengeneza game la "paper " rock and scissors kwa kutumia javascript, nimefanya project mbalimbali unaweza kuona kupitia linki hii bBGdVb project nyingine ni hii DARHOOD SITE na nyingine ambayo bado ndio najifunza zaidi ReactJS Clock with different formats

Lengo kuu wapenda teknolojia wenzangu ni kuwaamasisha tujifunze hivi vitu kwasababu ndio kilakitu, na pia IMO naona ninavo jifunza online ni rahisi na vizuri zaidi kwasababu kuna forums ambazo zipo zimewekwa kama ukikwamba ataelekezwa na sio kupewa jibu so inahitaji uwe unatilia maanani nenda kajifunze sasa Website ni Learn to code and help nonprofits na ni bure website nyingine wanatoza pesa kama ukimwama usisite kuniomba ushauri

Asanteni sana natumaini nimewasaidia wengi maswali yanakaribishwa
Hongera sn kwa hatua uliyofikia mi nilianzaga nikaacha ni kwasabu ya muda lakini ni kitu kizur na mimi piaa napenda sana kucheza na mitandao sna (Nerd) kama sasa hv najifunza ku hack simu na utundu mwingine.
Shukrani kwa Kushare
 
kusema ukweri jamaa bado beginner. Hiyo javascript yenyew sizani kama anaijua anakimbilia react.js, pia kua experienced developer sio matamshi nikazi unayoifanya kwa mimi nimeona bado sana hatakama unajifunza online unatakiwa utumie muda mwingi sana kwenye kitu kimoja coz nnavoona hata html na css bado ujaitambua vizuri. kwakukupa msaada juu ya hayo mambo tembelea hii site W3Schools Online Web Tutorials. kajifunze upya coz html na css haikuishia hapo kuna html5 na css3 kwaiyo jifunze vyote alafu uje useme wew ni front-end developer tutakuelewa. pia bigup sana kwa njia ulioichagua
Sasa mkuu akijua basic na msingi hivyo vingine vinaenda kwa urahisi tu, mfano hiyo Html5 kama amemaster basic yake hiyo 5 ni uji wa mgonjwa.
Huwa tunaanza basic halafu unaimplement as you go on.
Tena kama anaweza ni vizuri hata kujifunza language mbili at a ago mfano anaweza piga hiyo javascript na upande mwingine CSS.
 
Bro nashukuru sana kwa elimu yako, Ila ninapingana sana na wewe tena sana, kwa yeyote anae soma hii comment naomba niainishe mambo yafuatayo-: kwanza, kusoma programming sio kwamba ukienda shule ndio utaelewa really depends na kichwa cha mtu binafsi, uwezo wako wa kuona kuwa chuo ndio sehemu ambayo inawatoa wengi that is never true sio kwa ulimwengu huu na wala sisemi kuwa eti ukienda school hautaelewa nah mi mwenyewe nita washauri watu waende shule wakasome what they want lakini siku zote inategemea na akili ya mtu anawezaje kuelewa akiwa katika chuo au online etc, and thats me mimi naona ninavyo soma online naelewa zaidi kuliko vyuoni IMO... kwasababu ninaamini katika practice consistently kuliko chochote no matter wapi utakapo pata ujuzi wako, atae soma chuo alaf asiwe na any practice ni sawa na bure na kupoteza pesa na kubaki na vyeti tu, pia naweza kupata mawazo mbalimbali na na watu wa nchi mbalimbali wenye uwezo mbalimbali inanipa uwezo wa kuelewa nikiwa free na kwa kuridhia mfano chuoni mnaweza mkapewa project labda from juma 3 mpaka ijumaa iwe imekamilika sasa ile tunaita limited time, na matokeo yake kuna kusoma ili tu mwisho wa siku uweze kufuzu at the end of the day unaweza ukawa haujaelewa but watu wana songa mbele wakiwa class so inakupa nafasi ngumu ya wewe ku restudy yaliyopita at the same time ufukuzana na wenzio walio elewa which is really ugly, huku naweza nikawa nasoma maybe loops katika JS i got so much time mpaka niielewe, so i'd do anything bila kujali naachwa, no naweza kusoma loops kwa miezi hata miwili with so much practice na nikaelewa vizuri kuliko wewe ulieenda darasani na uka pata your degree, PIli ukizunguzia my blog kuwa i am a beginner (which i really am) wala hauja kosea but sio kuwa nina lengo eti lakusema nimetumia my coding experience kutengeneza blog nah man nooo, kwanza zile zipo tayari coded na google mi nafanya ku modify baadhi ya vitu tu so dhumuni la hiyo blog ni kuwaonyesha kilicho ndani na ninacho kizungumzia kwasababu imekuwa ni haba sana kwa blogs ambazo zinaongelea Tech na kuzungumzia kiundani zaidi. wengi huwa wana copy na kupaste bila hata kutoa mawazo yao binafsi, Cha tatu Bro hatuhitaji negativity hapa uko kama wazee wazamani aisee, uazungumzia wahindi kutu compare na sisi ni jinsi gani mitaala ya elimu inamuandaaje mwanafunzi mpaka anakuja kwenda chuo, siku zote mtu akiwa ana msingi mzuri tangu mwanzo sidhani kama anaweza kuteteleka juu, bro huwezi kufananisha sisi na wao cuz mazingira ya elimu ni tofauti sana na sisi haswa kwa maswala ya kiteknolojia tumia akili aisee, humu tunahamasishana hapa natumaini kuna watu wanapenda ku code so hii ni njia mojawapo ya kwenda kujifunza bure kabisa bila kuangaika kwenda vyuoni doesn't matter iwe basic au advance or customized still ukipata mawili matatu na ukaelewa ni zaidi aliye pata mia na hajaelewa, utakuwa katika hali fulani, na i guarantee anaesoma chuo akimaliza anaweza asiwe na ujuzi kama mimi nikisha maliza, You dont always need a teacher to teach you thats a slave mind bro,

pitia scrshts hapo chini za site ambayo najifunza uone utofauti pengine ulikurupukaView attachment 481271 View attachment 481268 View attachment 481271 View attachment 481272

View attachment 481268

Kazana tu bro kama wewe ni mtu was experimentation utajifunza Sana.Cheza na system hyo mpaka zije blue screen of deaths na ma kernel panick.Utajifunza sana
 
Hongera mkuu kwa hatua uliyofikia,ningependa kukushauri ujikite zaidi kwenye server side language coz hzo ndo main ktk system kwan ukishajua hzo ww utatafuta templates tu na kuedit hutakuwa tena na mda wa kuhangaika na hzo html na css.Na ningekushauri kuhusu makeup language ujikite na library km boostrap

Samahani kwa kuchelewa kujibu nashkuru kwa ushauri wako God bless you,
 
Sasa mkuu akijua basic na msingi hivyo vingine vinaenda kwa urahisi tu, mfano hiyo Html5 kama amemaster basic yake hiyo 5 ni uji wa mgonjwa.
Huwa tunaanza basic halafu unaimplement as you go on.
Tena kama anaweza ni vizuri hata kujifunza language mbili at a ago mfano anaweza piga hiyo javascript na upande mwingine CSS.

Shukrani kwa mchango wa mawazo yako wengi watajifunza sio mimi tu, more positive people round here!
 
Back
Top Bottom