abelexpeditor
Member
- Jan 27, 2017
- 67
- 30
Habari zenu wakuu.wale wote Wanaopenda kilimo cha umwagiliaji hasa cha kutumia drip line system.katika kilimo cha mazao ya Muda mfupi Karibuni Sana hapa.kama una wazo la kutuelimisha zaidi kwa tusivyo vijua, unataka tujiunge ili kufanya iyo kazi au ukitaka kikundi kilicho tayari ujiunge Karibuni Sana.