dodoma nzima ila nahisi wengi wananijibu maeneo ya mjini.
Kama ni Dodoma Nzima-Okey fuatilia hii
Kama unahitaji na bado sema nikuongoze.
- Kibaigwa ni sehemu nzuri sana kuna nyama ya kuchoma ya mbuzi. Kibaigwa iko kati ya Gairo na Hifadhi ya Mifugo"Narco-Kongwa"
- Matui mi sehemu nzuri pia kupata mbuzi, kuna warangi na wafanya biashara wengi wa ng'ombe na mahindi. Iko kati ya Mnada wa kuuza mahindi(Strategic Grain Reserve-SGR) Engusero na Kijiji ha jirani Chekanao na Machiga.
- Ukiingilia pale Chalinze ya Dodoma kushoto kama unakuja Dodoma Toka Moro kuna pita hadi njiapanda ya kwenda Mpwapwa. Kongwa mjini Karibu na NMB kuna sehemu kali imefunguliwa juzi juzi. Fika hapo chakula ni kiwango au nenda sokoni kwa supu za kiswazi.
- Kondoa mjini nenda Washington Lodge karibu na Stendi mpya ilikohamishiwa hapo panafaa pia kwa kulala na kupata msosi.
- Ofcoz nimesahau na Bereko ni katika wilaya Kondoa ukitokea Dodoma pia baada ya Makutupora kuna Pori Balaa hadi uvushwe kwa Escort wapo Polisi wanasindikiza magari, Nenda hadi Chenene na Aneti kuna nyama choma humo njiani.
- N'way pale Bahi baado hapajachangamka labda ukamoune Betty Mkwasa mkuu wa wilaya atakusaidia ila uwe makini Uranium pale iko nje nje,itakurarua upofuke.
Karibi Nkuhungu-eep:Karibu Dodoma.
maelezo mazuri. Ahsante sana.
kama mpenzi wa mbuzi katoliki tukutane jacana, carebean miyeyusho.kama bia tukutane Revola, bar flani iko mitaa ya nkuhungu, full utulivu, kama nyama ya kuku mambo chako ni chako ingawa jioni ndio mzuka zaidi na kama nyama ya mbuzi au ng'ombe then mambo mnadani
Yap! Cku hizi kuna sehemu 3 za mnada. Kuna Veyula, Mnada mpya upo Singida road na Nanenane. Kazi kwako.hivi mnadani bado kupo?
Kama ni Dodoma Nzima-Okey fuatilia hii
Kama unahitaji na bado sema nikuongoze.
- Kibaigwa ni sehemu nzuri sana kuna nyama ya kuchoma ya mbuzi. Kibaigwa iko kati ya Gairo na Hifadhi ya Mifugo"Narco-Kongwa"
- Matui mi sehemu nzuri pia kupata mbuzi, kuna warangi na wafanya biashara wengi wa ng'ombe na mahindi. Iko kati ya Mnada wa kuuza mahindi(Strategic Grain Reserve-SGR) Engusero na Kijiji ha jirani Chekanao na Machiga.
- Ukiingilia pale Chalinze ya Dodoma kushoto kama unakuja Dodoma Toka Moro kuna pita hadi njiapanda ya kwenda Mpwapwa. Kongwa mjini Karibu na NMB kuna sehemu kali imefunguliwa juzi juzi. Fika hapo chakula ni kiwango au nenda sokoni kwa supu za kiswazi.
- Kondoa mjini nenda Washington Lodge karibu na Stendi mpya ilikohamishiwa hapo panafaa pia kwa kulala na kupata msosi.
- Ofcoz nimesahau na Bereko ni katika wilaya Kondoa ukitokea Dodoma pia baada ya Makutupora kuna Pori Balaa hadi uvushwe kwa Escort wapo Polisi wanasindikiza magari, Nenda hadi Chenene na Aneti kuna nyama choma humo njiani.
- N'way pale Bahi baado hapajachangamka labda ukamoune Betty Mkwasa mkuu wa wilaya atakusaidia ila uwe makini Uranium pale iko nje nje,itakurarua upofuke.
Karibi Nkuhungu-eep:Karibu Dodoma.
Wapenzi naombeni kujua maeneo ya kujidai/mtoko katika mkoa wa dodoma. Napenda sehemu tulivu ambazo hazina makelele. Nataka niwe najipa mtoko angalau weekend katika kipindi chote nitakachokuwa huku. Thanx.
Kwenye red nimekumbuka mbaaaali sana, enzi hizo nilkuwa nakunywa Plisner Ice bardiiiii.Aah we zunguka zunguka hapo mjini, ila nje ya mji kidogo kuna MoteL moja nzuri barabara kuu kelekea Mzani mpya,Nyerere square nyuma jengo la chama cha kijani kuna sehemu utapata maakuli na mishkaki.
Sijajua uwezo wako kifedha ila Lodge/Hotel zipo nyingi kuanzia 12000/= hadi 40000/=
Karibu Nkuhungu,Karibu Dodoma.
Kama kanisani au? Maana kwa weekend panafaa.Wapenzi naombeni kujua maeneo ya kujidai/mtoko katika mkoa wa dodoma. Napenda sehemu tulivu ambazo hazina makelele. Nataka niwe najipa mtoko angalau weekend katika kipindi chote nitakachokuwa huku. Thanx.
mwenzangu! Mimi mwenyewe toto. Ha ha ha!
Duh huko mbona mbali sasa kwani anaenda Kondoa? Aisee hivyo vindege ni mifupa mitupu na ukila vinasimama tumboni ile mbaya.Umesahau sehemu nyeti sana; akifika pale Kelema Balai asisahau kuweka kituo na kuagiza ndege ili aburudike. Ninaposema ndege simaanishi eropleni bali ni kweleakwelea wa kukaanga (aka ndee Sese na Ntoki) ni watamu kwelikweli, unatupia mmojammoja kinywani.