Wanaoomuamini Mungu, wana nini cha kujivunia?

Wanaoomuamini Mungu, wana nini cha kujivunia?

VERITE-NUE

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,481
Reaction score
1,450
Hivi, kwa nini watu wanaomuamini Mungu wakisoma posts za wasioamini katika uwepo wake, wanaumia na kuona kama kuna viumbe hawana akili.

Wakati huo huo, wasiomuamini huyo Mungu, wanawaona wenzao kama kawaida, wenye haki ya kuamini wanachokitaka, bila kejeri na matusi kama ya wana wa Mungu?

Mungu wa wanaomuamini yawezekana hana heshima na yeye ndo wanajifunza huko!!!!

Wakati huo huo, wasioamini wengine wana maisha mazuri kuliko wanaoamini na kuabudu, wenzetu wanaoamini, Mungu wao kama mbaguzi na anawajali wasiomuamini, iweje waandame wasioamini? Si hiari yao?
 
So alietia sukari kwenye miwa na maembe ni baba yako
 
So alietia sukari kwenye miwa na maembe ni baba yako
Kwa akili zako unaona alifanya kazi ya maaana! Huo mua unaouona mtamu, kuna mwingine kwake ni mchungu. Kuna na mwingine haujui. Vinginevyo tungeuliza aliekupa mkongoto wengine wakapewa mashimo; au aliekupa akili finyu, wengine wakajaziwa. Nilichouliza mimi, nani ana haki ya kumdhihaki mwenzie kisa imani! We kama unaamini, ni juu yako, una sababu zako, na wasioamini, wana sababu zao.
 
Wanajiona wana monopoly of truth.

Ukiamini Mungu wako ni wa kweli ni lazima uamini uko kwenye upande wenye monopoly hii.
Ndo hapo, sasa, nguvu ya kuwashambulia wenzao na kuwaona hawana akili, ndo najiuliza inatoka wapi! Mungu muweza wa yote, mbona anawajalia wasiomuamini, wanaomuamini wanashindia majonzi na kuamini ipo siku!
 
Unauliza swali la kutumia logic.

Ila wao wengi wame suspend logic.

Hawatumi logic wanatumia imani, ni vigumu kukuelewa.
 
Unauliza swali la kutumia logic.

Ila wao wengi wame suspend logic.

Hawatumi logic wanatumia imani, ni vigumu kukuelewa.
Hakika. Sasa,kama hapa, mtu hajaelewa swali, hajaomba hata aeleweshwe ndo ajibu, ila msitari wa kwanza kuleta wazazi. Kisa tu anaamini, basi anaona amemaliza kila kitu.
 
Me nawashangaa mtu humuamini Mungu lakini asubuhi hadi jioni miaka nenda miaka rudi hadi unakufa wewe ni kuongelea Mungu tu! !

Can you imagine spending all your life, your time, your energy on something that doesn't exist? ?

Who does this?

We umeona wapi?

#JESUS IS LORD

#JESUSISCOMING
 
Kuna rafiki yangu mpendwa,jana alinipigia simu anahitaji kijana kuna ofisi anahitaji kufungua,hakika hiyo sio ofisi yake ya kwanza ni almost kama ya 5 kwa biashara tofauti

Aliniambia anahitaji kijana,lakini sharti la kwanza ni kuwa muislam
Hakika nilimjibu mbona unaleta udini ndugu???

Alijibu kwakweli siwezi pangua hilo,nilimuacha aende zake maana nilitambua ata mimi ni vile anapenda mawazo yangu na michango yangu kwenye maswala tofauti lakini si rafiki kama ninavyomchukulia hakika, na anajua kuhusu mimi na maswala ya imani

Hakika yule sio rafiki tena bali mimi ndiye nilidhani ni rafiki,ni mengi kanisaidia lakini nahisi nilikuwa nikidanganya akili yangu
 
We beleivers know that this is a spiritual war, they claim not to beleive but the truth is they are rejecting him.

Sio kuwa hawamuamini, wanamkataa. Yaani hawamtaki. Hawampendi. Ndomaana kutwa na mabango kumuongelea.

It's a heart problem.

Ndomana YESU alikataza majadiliano na watu aina hii. Because its not a debate that they need, its God's Grace.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom