DALALI MKUU
JF-Expert Member
- May 7, 2022
- 1,502
- 2,747
Sio 60 inatakiwa awe mmojaKwani hata ng'ombe 60 ndo thamani ya mke mkuu??

Jamani masahafu Ni kitabu kitakatifu lakini huwezi kwenda dukani kununulia unga ukapika ugari tujifunze kufanya reasoning, mwanamke akitaka msahafu sawa lakini yeye ndio ana haki ya kutaja nae ana mahitaji yake yanayotimizwa na pesa tukitumia masahafu nakesho tukikosa pesa ya kula tusomeane masahafu njaa iishe.....tuna manipulate dini Sana.Swali langu ni kwa hao wanawake,wao si ndo wataja kiwango cha mahari ina maana wameshindwa kutaja msahafu au wametaja kisha wanaume zao wamekosa pesa za kununulia?
Jamani masahafu Ni kitabu kitakatifu lakini huwezi kwenda dukani kununulia unga ukapika ugari tujifunze kufanya reasoning, mwanamke akitaka msahafu sawa lakini yeye ndio ana haki ya kutaja nae ana mahitaji yake yanayotimizwa na pesa tukitumia masahafu nakesho tukikosa pesa ya kula tusomeane masahafu njaa iishe.....tuna manipulate dini Sana.
Mahari za waislama kwa ndoa nyingi Ni around 300K hio ni nyingi kwani ??Hio taasisi imewaumbua wengi sana . Mkuu humu Jf tulikua tunaambiwa waislam hamshindwi kutoa mahari maana ni ndogo sana tena hata msahafu tu inatosha na harusi haina mahitaji sana. Sasa haya ya kulipiana mahari ni mageni kwa wengi wetu humu JF
Hee.....maajabu haya.Siku chache baada ya Taasisi ya Al Hikma kutangaza uamuzi wa kuwalipia mahari vijana 50 ili waoe, zaidi ya vijana 1,000 wametuma maombi wakiwamo wanawake watatu wanaowaombea wachumba zao.
Mkurugenzi wa taasisi hiyo
Shehe Nurdin Kishki amesema Dar es Salaam jana kuwa saa chache baada ya kutangazwa kwa ofa hivo taasisi hiyo ilianza kupokea maombi.
"Tulipotangaza tu siku ile ya Aprili 9 pale Uwanja wa Uhuru tulianza kupokea simu, kwenye kurasa zetu za kijami, barua pepe maombi ya vijana zaidi ya 1,000 wanaoomba kuozeshwa," alisema Shehe Kishki.
Alisema dirisha la kuchukua fomu za maombi limefunguliwa jana hadi Mei 5 mwaka huu na watakaochaguliwa baada ya kufungishwa ndoa pia watapatiwa semina ya ndoa ndipo watakabidhiwa wake zao.
"Hatutaki ndoa hizi ziishie baada ya fungate kwenye talaka. Ndio maana hatutaki vijana wa kukurupuka tu baada ya kusikia tangazo hili, tumelenga wale wenye nia na shida kweli ya mahari. Tunaamini talaka za vijana zikiongezeka ndio na mmomonyoko wa maadili unaongezeka," alisema Shehe Kishki.
Alisema baada ya taratibu zamaombi na mchujo kukamilika ndoa hizo zinatarajiwa kufanyika baada ya miezi mitatu hadi minne kuanzia sasa.
Ametangaza masharti manane kwa waombaji ili kupata sifa ya kulipiwa mahari na kuozeshwa ikiwemo waombaji kuwa tayari wa-metoa posa na kupangiwa mahari.
Alitaja masharti ya vijana wanaotaka kuingizwa kwenye programu hiyo kuwa ni lazima kijana mwombaji awe Muislamu kwa kuwa ndoa hizo zitafungwa na kusimamiwa na Shehe Mkuu wa Tanzania, Mufti Abubakar Zuberi Bin Ally.
Aidha, alisema sharti lingine ni lazima kijana mwombaji asiwe na mke, awe amejaza fomu maalumu ya maombi, lazima afanyiwe usaili, awe tayari kufunga ndoa ya pamoja Dar es Salaam, awe Mtanzania na lazima athibitishwe na imamu wa eneo lake.
"Hivi ninavyoongea tayari tumeshapokea maombi kutoka nje ya nchi wakiomba kuozeshwa akiwemo kijana Mtanzania anayeishi Misri. Lakini sisi tumewalenga vijana wa hapa nchini na lazima wakidhi vigezo hapo ili fedha isitumike kwa watu wasio na uhitaji," alisema Shehe Kishki na kuongeza:
"Tutalipa mahari, ukumbi, chakula, vifaa vidogo vidogo vya hapa nchini na lazima wakidhi vigezo hapo ili fedha isitumike kwa watu wasio na uhitaji," alisema Shehe Kishki na kuongeza:
"Tutalipa mahari, ukumbi, chakula, vifaa vidogo vidogo vya chumbani na bwana harusi atapewa kadi 20,10 kutoka upande wake na 10 upande wa mkewe kuja kushuhudia ndoa yake hiyo.
Hapana mzee mwenzangu.makaveli10 vipi nawe umetuma mzee mwenzangu?
Sio kila mkataa ndoa shoga, mm muda huu nipo na WIFI yako lakin sina mpango wa kuoa na tunaishi huu mwaka wa pili, lkn ww unaishi kwa hisani ya viuno vya dadako. Hivi shule zmefungwa kwani?Mzini shoga basha kahaba hana haja ya ndoa
Lazima🤣🤣🤣Usikute walio peleka maombi wengi wao timu ya kataa ndoa ya JamiiForums 🤣🤣
Kataa ndoa ni utapel na utumwaLazima🤣🤣🤣
Na comment yako wameiona
Tuwaombee mema, ndoa zao zitadumu inshaAllahBaada ya ndoa kufungwa, na baada ya miezi sita kupita, katika ndoa 50 zitakazo kuwa salama ni ndoa 10 pekee, nazo baada ya miaka miwili kutakuwa hakuna ndoa,
Why:
Nafsi ya muoaji ya dhati na upendo wa dhati huwa haifungwi na mahari,ukizingatia mahari huweza kulipwa kidogo kidogo au awamu kwa awamu.
Wakati huo huo unaishi na mtoto wa mtu nyumbani hadi watoto mmezaa, jeuri ya kukataa ndoa inatoka wapi?Kataa ndoa ni utapel na utumwa
Hii kitu iliishaje? Vijana walifanikiwa kuozeshwa?Siku chache baada ya Taasisi ya Al Hikma kutangaza uamuzi wa kuwalipia mahari vijana 50 ili waoe, zaidi ya vijana 1,000 wametuma maombi wakiwamo wanawake watatu wanaowaombea wachumba zao.