Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

Huo ni uoga usiokuwa na tija. Wanawaacha dada za watu wanabaki kuchukuliwa na ma driver taxi, fundi magari, fundi umeme, fundi ujenzi nk. Mwanaume sifa ya kwanza kujiamini.
we dada yako unamlinda vipi?
 
wakivurugwa wanakimbia huku kutoa tress zao

na wanaowapa stress ni hao hao darasa la 7........ watu kama hawa wanataka kila mtu aamini anachoamini yeye just because yamemshinda yeye........hajui watu wanaoa vyeti siku hizi.....!!!!
 
Huo ni uoga usiokuwa na tija. Wanawaacha dada za watu wanabaki kuchukuliwa na ma driver taxi, fundi magari, fundi umeme, fundi ujenzi nk. Mwanaume sifa ya kwanza kujiamini.

hawa wengi wao wanaolewa na wanaume waliouyumba kiuchumi sio mtu yupo njema pate tabu na hawa visirani
 
Poor u!!kumbe una mawazo mgando kisa hiki?Degree inahusika vipi na kuwa wife material?.Wanaume wenye mawazo km wewe basi hawajakamilika.Utaogopaje kuoa mwanamke mwenye degree ebu kuwa mwanaume jiamini.
 
point.
 
point ni kwamba hamhesimu wapenzi wenu
 
Mleta mada naomba nikuulize maswali.....mtoto wako wa kike utamsomesha mpaka la ngapi....?....elimu imekuja kuongeza maarifa.......na ujue tu hao walioishia darasa la saba ama form iv wengi wao....wakipata nafasi ya kusoma watasoma zaidi ya hapo...mana unakuta kuna sababu zilizo nje ya uwezo wao...wamejikuta wanaishia madarasa ya chini......na wazazi wengi sasa hivi wanajitahidi......mtoto wa kike apate angalau degree....unadhani kwanini wanafanya hivyo....?........
 
Poor u!!kumbe una mawazo mgando kisa hiki?Degree inahusika vipi na kuwa wife material?.Wanaume wenye mawazo km wewe basi hawajakamilika.Utaogopaje kuoa mwanamke mwenye degree ebu kuwa mwanaume jiamini.

tatizo sio kuwamiliki hawa tunawamiliki kama michepuko yetu sio kuweka ndani ni majanga hawa wajuaji sana kila kitu kushindana wanapenda haki sawa ila kodi ya meza hawahusiki anajenga kwao
 
sijui lengo nini maana wengine tumeoa hao wenye elimu kubwa zaidi na wanaheshima hamna mfanowe....sijui lakini mtazamo wako!

Huyu mtu hajielewi, atakua ameshachanganywa na alikurupuka ndio wanaanza kuongea vitu kama hivyo.
Viol kunywa maji baridi.
 
hivi kumbe ukweli unauma hivi ?
ha ha ha ha ha ha ha
wanaume wenyewe unawatukana mtakuwa michepuko yetu ya kudumu kwa kuwa sisi ndio tunaoa haina shida

shenzyyy kabisa wanawake wenye degree zao

Tatzo shule imepita kushoto sio kosa lako poleeee
 
wacha wafu wazikane...mwanaume anashinda kijiweni mwanamke anashinda kibarazani anaimba taarabu.
 
point ni kwamba hamhesimu wapenzi wenu

Elimu haiwezi kumfanya mtu kukosa heshima....malezi ndiyo kila kitu.....ukiwa na malezi mazuri heshima itakuwepo haijalishi una elimu ama hauna.....
 
wacha wafu wazikane...mwanaume anashinda kijiweni mwanamke anashinda kibarazani anaimba taarabu.
degree moja mnajiona mamtoniiii,hehehe kumbe mnalea bngo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…