Kumbe mkio wenye degree mnapiga mahesabu ya kuwafanya chuma ulete.....heheheee yani siku mume wangu akiuona mshahara wangu ajue nimempa sadaka...
Me baba yangu ajipinde kunisomesha halafu we uje udai mshahara kama mlisaidiana vilee...ukiuliza umenioa....
Then tukidai usawa mnakuwa wakali...mwanaume ukitaka kuwa kichwa cha familia basi uwe kichwa katika kila kitu hadi matumizi ya nyumbani....!
Tena hadi nauli ya kwenda kazini umpe mkeo na mshahara usihoji....
Mijianamke inayojikweza kwa kujidai inajua kila kitu na kutaka kujiona yana uwezo sawa na wanaume inapoteza sifa za mwanamke.mwanamke shurti uwe soft na mwenye nidhamu kwa mumeo kama unajidai kichwa ngumu......TUPA KULE akawe mchepuko wa waume za wanawake wanaojitambua
Mimi nadhani mwanamke anakuwa na tabia fulani kwa jinsi unavyoishi nae
Mwanaume una mamlaka makubwa sana ya kumtengeneza mke awe vipi
Ukiona hayuko kwenye mstari tatizo ni wewe
Ukweli ni kwamba mwanamke wa la saba au form 4 ni rahisi kusikiliza ushauri hata asipoutekeleza.
Mi kama mimi siwezi kufanya mwanamke awe mtumwa nitamsikiliza sana,ishu ni kwamba wanawake waliosoma mtazinguana sana na yeye anataka awe kichwa cha nyumba,sasa kwa mwanaume anayejielewa hiyo kitu ni ngumu,nature ya mwanaume ni mwenye msimamo,sasa wote mkikutana mna misimamo yetu tofauti lazima pavurugike
Mimi nadhani mwanamke anakuwa na tabia fulani kwa jinsi unavyoishi nae
Mwanaume una mamlaka makubwa sana ya kumtengeneza mke awe vipi
Ukiona hayuko kwenye mstari tatizo ni wewe
Mimi nadhani mwanamke anakuwa na tabia fulani kwa jinsi unavyoishi nae
Mwanaume una mamlaka makubwa sana ya kumtengeneza mke awe vipi
Ukiona hayuko kwenye mstari tatizo ni wewe
Maneno ya msingi hasa kwa madogo wanaokurupuka kuoa
Kumbe mkio wenye degree mnapiga mahesabu ya kuwafanya chuma ulete.....heheheee yani siku mume wangu akiuona mshahara wangu ajue nimempa sadaka...
Me baba yangu ajipinde kunisomesha halafu we uje udai mshahara kama mlisaidiana vilee...ukiuliza umenioa....
Then tukidai usawa mnakuwa wakali...mwanaume ukitaka kuwa kichwa cha familia basi uwe kichwa katika kila kitu hadi matumizi ya nyumbani....!
Tena hadi nauli ya kwenda kazini umpe mkeo na mshahara usihoji....
sasa we mwenyewe umeishia la pili A!wa degree utamuweza wapi???? hebu muwe mnachukua mnaofanana nao msituletee shombo hapa
Asante shosti. Sasa kama mwanaume amekaa hapo anashangaa na hataki kuongoza maisha na mie ninyooshe miguu tushangae wote? Anyways, mwana ke mwenye akili nae anatamani mwanaume mwenye akili kumzidi, sio ubabe usiokuwa na maana
Muhasibu sijaona like yako pale kwenye comment yangu no.1126, usiniambie nimeongea pumba ndo maana umepita kimya!!