Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

hata akisoma kuolewa hatoolewa yeye ila ukweli haubadiliki wanawake hasa wafanyakazi ni pasua vichwa
mbona wapo wanawake.na hadi doctorates na wameolewa vizuri tu..na wapo form4 ndoa.zmewapita kushoto?
 
mbona wapo wanawake.na hadi doctorates na wameolewa vizuri tu..na wapo form4 ndoa.zmewapita kushoto?
labda waume zao mazezeta,chunguza vizuri
 

Acha kuharibu lugha wewee 'hari harisi' maana yake nini!! Eboh jua kutofautisha 'l' na 'r'...
 
wewe bora umesema ukweli hawa wengine wanaigiza hawajui kwamba tunaishi nao

Mwanaume ni mwanaume tu,haki sawa kwa wote haiwezekani.Waki weka debe la zege kubeba pamoja utasikia mdada anaomba msaada tena kwa mwanaume,haki itakujaje hapo,kama sio kuwadhulum wanaume
 
Ko unataka kusemaje hapo!
Na mtuacheeee....watu na bachelor na Ma zao na bado ni wife material
 
Form 4 au darasa la saba kama Aunt Eze....au Mrs. Tanzania aka actress aka mrs madini..? Haya mambo hayana formula,wewe omba Mungu upate Mke bora,Mtu kuwa na Elimu au kutokuwa nayo hakumfanya awe mke bora au mke mbaya, Kuna watu hawana elimu wanawasumbua waume zao ile mbaya, tena wengine wana elimu kubwa bado wanasumbluliwa na wake zao wasio soma
 
Hiki kizazi cha .com wanawake wengi n mgogoro ila huwa unazidi kwa wadada waliosoma,

Tatzo kubwa hawataki kutawaliwa, ila kuwa sawa na wanaume, wanasahau kuwa mwanaume ameumbwa kumtawala mwanamke mpaka mwisho!
 
Uko sahihi,Tatizo mtu anatafuta mke akifuata matamanio 'acha upendo uongoze' tofauti unazozihisi mtoa uzi hazipo ikiwa upendo wa kweli utakuwepo...

hawajui kuwa hakuna kitu kizuri kama kuishi kwa amani na upendo na kuheshimiana, ukiwa mbele kupigiwa goti kamwe maisha ya sasa hutayamudu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…