Emory Andrew Tate
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 492
- 630
Ha ha ha eti videgree unafikiri mchezo unafikiri yale ni makalio kila mtu akawa nayo mwenyewe ka huna katafte tatizo lenu mnapenda kunyenyekewa tena sa hivi ni degree ya pili sasa hamna cha kusoma maili ngapi pole sana na standard seven yako wa big result now
Ha ha ha eti videgree unafikiri mchezo unafikiri yale ni makalio kila mtu akawa nayo mwenyewe ka huna katafte tatizo lenu mnapenda kunyenyekewa tena sa hivi ni degree ya pili sasa hamna cha kusoma maili ngapi pole sana na standard seven yako wa big result now
Je hilo la gari kuchoma miles kadhaa mbona hujajibu? Maana mmmh vyuon huko watu wanajitafunia sana tu.
Je hilo la gari kuchoma miles kadhaa mbona hujajibu? Maana mmmh vyuon huko watu wanajitafunia sana tu.
You're missed...Hahaaaaaa uwii umenichekeshaje
Eti maisha yamekupaushaa nimevuta pozi na avatar yake
labda,au shukuru Mungusijui lengo nini maana wengine tumeoa hao wenye elimu kubwa zaidi na wanaheshima hamna mfanowe....sijui lakini mtazamo wako!
Kuna ukweli uwongo umejitenga!!Duh! Hii thread mbona inauza sana?? Kunani?
mi sikuwezi
Iringa kuna mama mmoja mika ya themanini alipata cheo serikalini akajeuka Simba alikuwa anampiga mumewe balaa na matusi na kumdhalilisha,hao ndio wanawake wasomi,Wacha tu niwe msomaji wa hii thread ni wanawake wachache sana wenye akili za Kansela wa Ujerumani Angel Makel ambaye haendi ofisini mpaka ahakikishe amemuandalia mume wake breakfast licha ya kwamba servant wapo.
Kumbe mkio wenye degree mnapiga mahesabu ya kuwafanya chuma ulete.....heheheee yani siku mume wangu akiuona mshahara wangu ajue nimempa sadaka...
Me baba yangu ajipinde kunisomesha halafu we uje udai mshahara kama mlisaidiana vilee...ukiuliza umenioa....
Then tukidai usawa mnakuwa wakali...mwanaume ukitaka kuwa kichwa cha familia basi uwe kichwa katika kila kitu hadi matumizi ya nyumbani....!
Tena hadi nauli ya kwenda kazini umpe mkeo na mshahara usihoji....
aliekuoa wewe ni boya, au kama c boya basi ana michepuko ya kutosha na hana mpango naww kwako ni kama anapunguziaga nyege cku mojamoja tu
Mmmh! Mbona hii mada imechangamkiwa sana? Inaonekana imewagusa wengi mpaka kunako? Bac kutakuwa na ukweli kwenye hizi allegations kwamba wasomi ni pasua kichwa...
tuko pamoja mkuu,michepuko wenye degree,wake zetu la saba au form 4
Yaani bora nioe form 4 nimfungulie mifugo kama kuku,ngombe najua kupitia yeye anaweza kuchangia hata misosi home.kuliko huyu degree holder baada kula Asset ya familia anakuwa long term liability
mwanaume wa ukweli haogopi kuoa mwanamke mwenye degree