Wanaooa mademu wakali tena harakaharaka, mtakuja kujuta

Duh haya mambo ni magumu sana
Kabxa mkuu,yaan c wanaume wala wanawke,yote n vurugu mechi,ila kwa wanawake kwao ni too worse kwan wao wanahtaj kuolewa na wapo ambao ni wife materials,ila kutokana na tabia ya wengi wao kutoeleweka imefanya wanaume turudishe mpira kwa goalkeeper kwanza
 
Yaani sielewi kabisa mtu ambaye ana hela alafu anajisumbua kuoa...just dont make sense to me. Raha ya kuwa na hela ni ile kuwa unatongozwa na mademu wakali alafu wee unakula mbususu tuu na kusepa. Trust me if u are loaded demu ukimwambia ukweli kuwa i just wana f.uck atakubali tuu wala huna shida ya kuoa.

Vijana tukiwaambia kuwa mwanamke hapendi anaangalia maisha wanatuona sie wajinga. Ndio matokeo yake sasa hayo.
 
Wakuu Pasaka ndio hiyo nipo zangu ndani hapa nna flu siielewi elewi basi inanikera kwel kwel. Sisikii hata hamu ya kilaji na mvua hii dah sie watoto wa daslam hatupendagi baridi na mi mvua. Sisi tumezoea joto

Enewei ni hivi, nna mwanangu mmoja yaani k-adate na mdada miezi mi4 kapeleka posa kwao na ndoa haraka sana.

Demu ni mzuri aisee na jamaa ana hela

Sasa wana mwaka hivi kwenye ndoa ila jamaa yangu amepungua sana imebidi nimuulize kiongozi tatizo nini!

Jamaa anasema kama ni kosa ambalo amefanya maishani ni kumuoa huyo demu., yaani anasema kaoa shetani

Demu ana visa vya hapa na pale viingi mno. Mara lugha chafu mara kulalama, mara hapiki, mara hafui ana mcontrol jamaa mbele za watu mambo meng saana.

Jamaa amenihadithia hadi nimeshtuka. Dem anachat na ma x wake etc. Yaani jamaa alivyo mpole ni wale ma bookworm yani sasa kwa usongo wake ule shuleni alikuaga si mtu wa mademu sasa mademu walikuwa wanamuendesha sana. Ndio hadi kuja mpata huyu mkewe.

Jamaa yuko vizuri kiuchumi narudia tena ila sasa jamaa analia now wana mtoto mmoja

Ananitamani maisha nayoishi mimi sana jamaa, anasema am the happiest man alive na ubachela wangu. Sasa natafakari nasema dah..kweliii

Mimi kwa uchambuzi wangu nikasema huyu demu hakumpenda jamaa ila alipenda maisha ya jamaa na pesa ndio maana demu kashindwa kabisa pretend na imekuwa kila mtu na lake

Nikasema dah..kuoa demu ambae ametoka achana na x wake ambae walipendana sana ni risk kubwa sana.

Ndugu zangu msiingie kwenye mitego hiyo mtalia na kusaga meno

USIOE HARAKA MPAKA UMEMJUA MTU KIUNDANI

Uzi tayari
Tafauti sikuoa tu sema hawa viumbe inaitaji mda sana kuwajua kama ni sahihi au sio mpaka leo naona ilikuwa kama movie flani hivi, lucky enough nilitoka kwa maumivu makali sana.

MAPENZI YA LEO NI TIMING.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Ndoa za kanisani ukichunguza vizuri sheria ya mke mmoja inawapa wanawake viburi juu ya wame zao na ukifuatilia vizuri Katika biblia .wanaume waliokua na mwanamke mmoja walikuwa na pressure kwa sababu wake zao walikuwa wanaleta upingamizi fulani hivi.mfano,isaka na rebeka,adam na hawa,samson na derila.halafu wanaume siku hizi tumekua dhaifu kwa sababu ya kusikiliza hii misemo ya propaganda za kike.yani unakuta dume mwenzetu kabisa linasema eti ogopa sana mwanamke na umtii maana yeye kabeba hatima ya maisha yako Kisa mifano michache ya wanaume dhaifu wasiokuwa na misimamo .tena binafsi naamini wanawake wengi hawana ushawishi huo zaidi ya kukimbilia kwa waganga .mwisho wa kunukuu ,umezaliwa na mwanamke lakini jeneza lako litabebwa na wanaume .respect men
Hivi kuna wanaume bado wana maneno ya kike hivyo?
 
Madem wazuri ni shida. nilikuwa na chepuko mzuri kinyama. Wakati mwingine nikimuudhi ananiomyesha sms za watu wanaomtaka. Kwa vile nilishamtia nikaona sina cha kupoteza
 
Daah!kuna mpngaji mwenzangu hapa ameoa mtoto pini,juzi nipo ndan hapo nmepumzika naskia kukuru kakara nyingi,ile nmetoka mlangon kuchek nini kinaendelea ...kumbe mme kambananisha ukutani anampa vitasa vya kutosha...mwsho wa cku wakaachanishwa ila yale matusi nliyosikia ilibidi nirid ndan nijifungie nizime na taa kabxaaa,watu wamejaa njee hapo mkee anaanza mtolea maneno ya shiiiit kuwa"we mme gani,mme suruali na suruali yenyew umeficha kibamia chako"aysee kumbe mwamba alikuwa hapewi mzigo ikabid ampigie mama yake demi ili waongee,dem baada ya kuongea na mama ake hakurudisha cm kwa mmewe ila aliamua kuipasulia chini na ndo ugomvi ulipoanzia
Khaaa! Yaani mambo ya chumbani anayatoa nje? Anamdhalilisha mumewe mbele ya kadamnasi kuwa ana 'kibamia'? Sipati picha hiyo aibu aliyoipata huyo 'jamaa'. Ni fedheha kuu, large enough anadiriki kuvunja simu ya mumewe?
 
Back
Top Bottom