Wanaooa mademu wakali tena harakaharaka, mtakuja kujuta

Wakuu Pasaka ndio hiyo nipo zangu ndani hapa nna flu siielewi elewi basi inanikera kwel kwel. Sisikii hata hamu ya kilaji na mvua hii dah sie watoto wa daslam hatupendagi baridi na mi mvua. Sisi tumezoea joto

Enewei ni hivi, nna mwanangu mmoja yaani k-adate na mdada miezi mi4 kapeleka posa kwao na ndoa haraka sana.

Demu ni mzuri aisee na jamaa ana hela

Sasa wana mwaka hivi kwenye ndoa ila jamaa yangu amepungua sana imebidi nimuulize kiongozi tatizo nini!

Jamaa anasema kama ni kosa ambalo amefanya maishani ni kumuoa huyo demu., yaani anasema kaoa shetani

Demu ana visa vya hapa na pale viingi mno. Mara lugha chafu mara kulalama, mara hapiki, mara hafui ana mcontrol jamaa mbele za watu mambo meng saana.

Jamaa amenihadithia hadi nimeshtuka. Dem anachat na ma x wake etc. Yaani jamaa alivyo mpole ni wale ma bookworm yani sasa kwa usongo wake ule shuleni alikuaga si mtu wa mademu sasa mademu walikuwa wanamuendesha sana. Ndio hadi kuja mpata huyu mkewe.

Jamaa yuko vizuri kiuchumi narudia tena ila sasa jamaa analia now wana mtoto mmoja

Ananitamani maisha nayoishi mimi sana jamaa, anasema am the happiest man alive na ubachela wangu. Sasa natafakari nasema dah..kweliii

Mimi kwa uchambuzi wangu nikasema huyu demu hakumpenda jamaa ila alipenda maisha ya jamaa na pesa ndio maana demu kashindwa kabisa pretend na imekuwa kila mtu na lake

Nikasema dah..kuoa demu ambae ametoka achana na x wake ambae walipendana sana ni risk kubwa sana.

Ndugu zangu msiingie kwenye mitego hiyo mtalia na kusaga meno

USIOE HARAKA MPAKA UMEMJUA MTU KIUNDANI

Uzi tayari
Uko sahihi...
 
Kwa ufupi hapo shida ni mwanaume, mwanamke hana shida yeyote! Yan mke wangu, nimelipa mahari mimi, anaishi kwangu na zaidi nina pesa za kutosha, halafu awe na nafasi ya kuniendesha eti kwa sababu ya uzuri wake, hapana! Una hela mbona wazuri kibao kila mkoa, nafikiri mwamba hana hela huyo....achana na pesa! Kimsingi mwanaume hapendwi bali anaheshimiwa, na moja ya jambo linalomfanya aheshimiwe ni uwezo wake wa "kuprovide".....eti anachat na ma ex zake, duh, mwamba ndio ana shida, mwanamke anaishi maisha yake! Kwa ufupi, hapo hamna mwanaume
Chamcngi amtie Mimba nadhani itakua mwisho wa nyodo
 
Kula mbususu is a need....kuwa na familia its a want. Mie sina ahida na familia. Mie furaha yangu maishani ni kula mbususu. Mambo ya kulea watoto sijataki kabisaaa. Hiyo hela ya ada ndio mie natumia kula mbususu
Acha ulofa watoto wamuhimu
 
Usitake kuniambia kwa miaka hiyo 30 huna mtoto
Mie sina mtoto wala sitarajii maishani mwangu kuwa na mtoto.
Lyfstyle yangu nikileta mtoto atateseka tuu hapa duniani. Sasa kwa nini starehe yangu ike kuleta mateso kwa binadamu mwengine.
Nilipofikia mie kwa uraibu wa mbususu ni kama teja, unajua kabisa kuwa maisha yako sii marefu hapa duniani na mbususu ndio itakuondoa. Hilo i have made peace with it.
 
Mkuu huenda umerogwa siyo bureee
 
Mkuu huenda umerogwa siyo bureee
Hamna cha kirogwa wala nini...hizi ni life choices zetu wenyewe.
Kwani wataka kuniambis dmx alirogwa? Addiction ni kitu kibaya sana asikwambie mtu. Kama vile teja anavyo tapatala kupata dose yake basi na mie mshahar ukiingia tuu nawaza jambo moja tuu...mbususu. so ndugu yangu ondoa kabisa hizo imani sijui za kurogwa. Addiction is real na inaangamiza
 
Mpango mzima nikutumikia dini zote mbili. Ijumaa unaenda msikitini, jpili kanisani. Mikataba yako ya ndoa unaiweka kiislam kwa kufunga ndoa msikitini na hata ukitaka kuongeza mke unaongeza tu.
 
Daah!kuna mpngaji mwenzangu hapa ameoa mtoto pini,juzi nipo ndan hapo nmepumzika naskia kukuru kakara nyingi,ile nmetoka mlangon kuchek nini kinaendelea ...kumbe mme kambananisha ukutani anampa vitasa vya kutosha...mwsho wa cku wakaachanishwa ila yale matusi nliyosikia ilibidi nirid ndan nijifungie nizime na taa kabxaaa,watu wamejaa njee hapo mkee anaanza mtolea maneno ya shiiiit kuwa"we mme gani,mme suruali na suruali yenyew umeficha kibamia chako"aysee kumbe mwamba alikuwa hapewi mzigo ikabid ampigie mama yake demi ili waongee,dem baada ya kuongea na mama ake hakurudisha cm kwa mmewe ila aliamua kuipasulia chini na ndo ugomvi ulipoanzia
 
Duh haya mambo ni magumu sana
 
Back
Top Bottom