Nel Nelson
Senior Member
- Jan 2, 2014
- 154
- 43
nikwa sababu katokea kwenye shida ukiwa uliishi standard life huwezi kuwa na majivuno au roho mbaya
kweli mkuu
nikwa sababu katokea kwenye shida ukiwa uliishi standard life huwezi kuwa na majivuno au roho mbaya
Unakuta mtu anaishi na kuwa mahusiano na watu kama kawaida lakini baada ya kupata nafuu ya ugumu wa maisha kwa kupata fedha kutokana na ajira au biashara basi ghafla anaanza majidai na kunata.
Wengine anadiriki eti kakusahau au anakununia na hata kukuonyesha roho mbaya,hivi hii hali inatokana na nini?
king mwenye hela bwana c mwenzako. Huoni walivyokudhulum viwanja kigambon hao mafisad. Ukaamua kusepa minjingu kwenda kuchoma mkaa~Tafuta hela kijana acha kulalamika,mwenye pesa sio mwenzio kama ulitaka yeye ndio aanze kukusalimia imekula kwako,kama kakuzidi pesa mpe heshima yake ndio maisha yanavyoenda,mtumikie kafiri upate mtaji wako usepe ukishindana nae utaumia,watu wenye pesa wengi wao wanapenda kunyenyekewa,ukiwa kiburi utakula jeuri yako.
Hakuna mbongo yeyote atkupenda uwe na hela ama ucwe. Chuki za kulazimisha zinazid bila sababu ukifanikiwa kifedha. Wivu unawajaa watu na hapo wanajishtukizia et unaringa.
Kweli mkuu wabongo noma sana.....wakati una taabika wanakuona kama mavi tu.....Mambo yakikaa sawa utawaona wanajisogeza na kujifanya wanakujua na kukuzoea kwa sana........kumbe SNITCH~Tafuta hela kijana acha kulalamika,mwenye pesa sio mwenzio kama ulitaka yeye ndio aanze kukusalimia imekula kwako,kama kakuzidi pesa mpe heshima yake ndio maisha yanavyoenda,mtumikie kafiri upate mtaji wako usepe ukishindana nae utaumia,watu wenye pesa wengi wao wanapenda kunyenyekewa,ukiwa kiburi utakula jeuri yako.
nimeipenda hii. Yan cc wabongo kwa mizinga tuTatizo lenu wabongo mnapiga sana mizinga ndio maana mabillionea tunawachuniaga tu........ tukiwa kwenye magari yetu tunafunga vioo mpaka juu.....na tukiwa kitaa ni miwani ya tinted......
Ni kujihami self defence. Binadam ni hatar sana hasa wabongo ukupiga hatua maishani ghafla. Sema ni sheria tu lasivyo unachinjwa kweupe. Hakuna ambaye atakupenda kwa dhati ni unafiki tu. Kuwa mkali na leta hofu kwa watu wasikuzoee. Hata ukifa ama ukifiwa wasuse kuja kwenye msiba wako wapotezee. Eti bongo kuuzuria msiba na kugawa Hela na ofa et kipimo una roho nzur. Ni bora umchekee nyani kuliko mbongo mwenzako utavuna hasara na aibu. Chezea muafrika mweus wewe. Nyambaff zetu!!!
Kweli mkuu wabongo noma sana.....wakati una taabika wanakuona kama mavi tu.....Mambo yakikaa sawa utawaona wanajisogeza na kujifanya wanakujua na kukuzoea kwa sana........kumbe SNITCH
king mwenye hela bwana c mwenzako. Huoni walivyokudhulum viwanja kigambon hao mafisad. Ukaamua kusepa minjingu kwenda kuchoma mkaa
Kweli mkuu wabongo noma sana.....wakati una taabika wanakuona kama mavi tu.....Mambo yakikaa sawa utawaona wanajisogeza na kujifanya wanakujua na kukuzoea kwa sana........kumbe SNITCH
Kuna jamaa alishinda bahati nasibu uingereza paundi milion 16 mwaka wa 2004. Akawa anagawa hela hovyo kwa marafiki ili awafurahishe. Wengine hadi aliwanunulia ferari nåkuwapeleka vacation visiwa vya Maldives. Sasa iv hoi anapumulia tigo. Hana hata centi anaishi kwenye nyumba ya council. Marafik aliyewafurahisha wamemkana na kibaya wanamcheka. Alipohojiwa nå gazet la daily mail ikitokea ashinde Tena bahati nasibu akajibu ataenda mbali Australia nå kujichimbia huko nå kamwe hatamuamin mtu kwenye hela nå atakuwa katil.