cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,941
Aseeeeeeh ila msamehee.Ndo Aina za watu wanaoona wenzao wabaya wakati wao ni matatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Aseeeeeeh ila msamehee.Ndo Aina za watu wanaoona wenzao wabaya wakati wao ni matatizo
Kamuombe samahani mama ako mim unijue usinijue huna cha kunipunguzia hata.samahani dada Wala sikujui.usije ukakwazika bure.sikujui rangi Wala kabila.usiku mwema🤚😘😘
Sio zarau mengine mnajitakia wenyewe mwisho wa siku mjibiwe vibaya muanze kashfa zenu.umeona zarau hizo sasa?halafu mnataka tusiwaseme.kwahio unataka nipige nyeto nijiharibu? acha rohombaya haya Mambo nikusaidiana
HmmmmMental illness is Really
wee cheusi acha zarau☹️nitakukera humu wewe?Kamuombe samahani mama ako mim unijue usinijue huna cha kunipunguzia hata.
sema Hilo wowowo hata unijibu vibaya Wala sitakasirika🤩Sio zarau mengine mnajitakia wenyewe mwisho wa siku mjibiwe vibaya muanze kashfa zenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
imagin naweka hapa halafu anachukua huyo tulie gombana🤔
Shemela, kwami wewe umeelewa? Mi nshatoka kapa wallah..!! Embu fanya kuniexplainia basi.Watu wa humu wasikuumize kichwa cute,achana nao
Kwani waJF si ndo sisi sisi tupo mtaani!?Sitaki kabisaa mwaya humu asilimia mia Moja ni Bora mtaani
We dogo🤣🤣unateseka ukiwa wapiNakuzoom TU na miguu yako mibayaa
Single Mother mxiuu mtasarenda tu mjue kuwa kuachwa siachwiHii baridi na upweke vinamtesa singo maza Unique Flower halafu Leo ana hamu.
Hivyoo ni vimbwa🤣🤣🤣umeamua kuweka vinyau kwenye avator🤣🤣
Uta comment sana unanionea gereNlizungumza hapa nikaelezea kila kitu.
![]()
Bila JF ningekuwa nimeshajinyonga zamani au kufa kwa Stress na upweke
Naona unataja unaoona wanafaa...😂 Kausha baba kausha mwanangu🤣😋www.jamiiforums.com
Nani ataolewa na midomo yenu kama choo au jalala utabakia nao hadi uwape wapita njia🤣🤣🤣🤣🤣pole cheusi.mana hata huyo shemeji mwenyewe sina.labda insha Allah Mika ijayo wadogo zangu wakiolewa.
Unawadalalia Kisa hamna anayewataka vituko kama hivyoo wewe huwaoni maana mmefanana eti unawasubiri waolewe wewe ni mzazi wao kazae wakoo sura imekomaa kama magari ya zamani ya ngorika .👺 Iangalie pua kama matanki ya auwsadada zangu niwarembo hatari😅