Wanaona gere

Wanaona gere

Huyu dada anapitia kipindi kigumu sana probably cha mahusiano. Kuliko kumtukana na kumwita taahira hana akili basi angesaidiwa hata kumfariji arudi katika hali yake.

Pia body shaming sio nzuri, hivi nyie wanaume wa JF lini mtaacha kutukana na kuwadhalilisha dada zenu?? Hayo manyonyo si ndio kilikuwa chakula chenu mlipozaliwa leo mnajifanya kutukana wanawake?? Mara kuita malaya mtu hata humjui, mara kuuchambua mwili wa mtu hata humjui grow up guys.

Sent using Jamii Forums mobile app

Waaambie waambie hao wajirekebishe unakuta hata mtu hajatomba ila anaita malaya wenzie na kwao ukute wamejaa malaya ila anaona wengine
 
Watu wazima ovyoo mnaona wivu na mtaona sana na kama matusi mnayo basi fungueni kijiwe muwe mnapeana notes ila kuachwa siachwi ng'o mtabakia kubadili ID muwe mashoga , muwe vichaa kazi kupiga ramli kujua maisha ya watu yaone tukaneni muchoke atabikia kuitwa .

Honey
Pokeeni vichamboo vyenu msiojielewa .

Eti maziwa kama ndala zako umezilaza wewe kazi umbeya .

Mwanaume unatoka utokako eti unamchamba usiye mjua na eti unang'ang'ana hadi basi.

Kaa Kwa tulia sindano ikuingie bibie au jike dume , paka shume .

Sura haieleweki which is which au what .
Mental illness is Really
 
Uspokuwa makini stress zitakuuwa
 
Huyu dada anapitia kipindi kigumu sana probably cha mahusiano. Kuliko kumtukana na kumwita taahira hana akili basi angesaidiwa hata kumfariji arudi katika hali yake.

Pia body shaming sio nzuri, hivi nyie wanaume wa JF lini mtaacha kutukana na kuwadhalilisha dada zenu?? Hayo manyonyo si ndio kilikuwa chakula chenu mlipozaliwa leo mnajifanya kutukana wanawake?? Mara kuita malaya mtu hata humjui, mara kuuchambua mwili wa mtu hata humjui grow up guys.

Sent using Jamii Forums mobile app
Guys Tena jamani .. umeharibu ulopoweka wingi

Mbona mimi nampenda Unique Flower alikuwa rafiki angu kabla sijapotea jf ningekuwa sijaoa pombe maybe [emoji4] ningejiongeza

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Nimeweka wingi sababu asilimia 60% ya wanaume wa JF hawaheshimu kabisa wanawake. Mkuu unaweza kuja na shida yako serious ukaishia kutukanwa na kudhalilishwa bila kosa. Nyuma ya keyboard watu wanajisahau sana.

Hapa tuu angalia wanaume waliomtukana mleta mada ni wangapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom