Wanaona gere

Wanaona gere

Kuna ugonjwa wa akili unaitwa borderline personality disorder mnaujua? Mleta madaunaufahamu? Zama pm nikuelekeze kabla milembe haijufungwa
Huko pm si ndiko mnakozalisha matusi?

Muelekeze hapa hapa, penye wengi hapaharibiki neno.
 
Rusha picha tuone hakuna ambae huwa anaona ndugu zake wabaya hata kama wabaya
🤣wee ndezi kweli.nirushe picha zandugu zangu kisa ubishi wako..pole lakini Mana weusi sio ugonjwa.
 
Na wanawake humu wanalike mwenzao anatukanwa manyonyo wakati wote tuna nyonyo na huenda zimelala yoooooo ilitakiwa kuteteana mwenzetu anapotukanwa ila wakome ,humu wanaume si wana dada zao manyonyo hayajalala
Mliolike hapo mmeniskitisha
Sasa kama manyonyo yake yamegeuzwa kuwa ndala ndyo unalialia Kwa sababu yake.
 
Wape vidonge vyao haoo 😆 😆 😆
Ktk watu wanaonipa raha kwa uandishi wao humu JF kwa siku za hivi karibuni ni wewe
 
cheusi halafu una kigugumizi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]dah kazi unayo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyu dada anapitia kipindi kigumu sana probably cha mahusiano. Kuliko kumtukana na kumwita taahira hana akili basi angesaidiwa hata kumfariji arudi katika hali yake.

Pia body shaming sio nzuri, hivi nyie wanaume wa JF lini mtaacha kutukana na kuwadhalilisha dada zenu?? Hayo manyonyo si ndio kilikuwa chakula chenu mlipozaliwa leo mnajifanya kutukana wanawake?? Mara kuita malaya mtu hata humjui, mara kuuchambua mwili wa mtu hata humjui grow up guys.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wee mwenyewe bado hujakua.ukikua utatoa hicho kishundu kwenye avat🤣 unatutega shemeji.
 
Back
Top Bottom