johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,131
Tena ni lile libundi kubla lao🦉.Bundi ametua rasmi CCM 😆😆
Magufuli atakuwaje kete ya ushindi ya CCM wakati yeye mwenyewe alikuwa anategemea kuteka, kupora kura, kupika idadi ya wapiga kura na kura? Sema zile mbinu chafu za Magufuli ndio kete iliyobaki ya CCM kubaki madarakani.Hadi sasa wengi wanaoshangilia juhudi za waziri mpya wa Nishati ni wafuasi wa ACT wazalendo na Mange Kimambi na kuna wanalumumba wachache pia...
Ukweli wenye kuwajenga waliokuwa wasikivu.Magufuli atakuwaje kete ya ushindi ya CCM wakati yeye mwenyewe alikuwa anategemea kuteka, kupora kura, kupika idadi ya wapiga kura na kura? Sema zile mbinu chafu za Magufuli ndio kete iliyobaki ya CCM kubaki madarakani. Hakuna CCM tena ya kushinda kihalali kwenye box la kura. CCM inashupaza shingo tu, lakini haina uwezo tena wa kubaki madarakani.
Upo sahihi mkuuMagufuli atakuwaje kete ya ushindi ya CCM wakati yeye mwenyewe alikuwa anategemea kuteka, kupora kura, kupika idadi ya wapiga kura na kura? Sema zile mbinu chafu za Magufuli ndio kete iliyobaki ya CCM kubaki madarakani. Hakuna CCM tena ya kushinda kihalali kwenye box la kura. CCM inashupaza shingo tu, lakini haina uwezo tena wa kubaki madarakani.
Sasa sisi kazi yetu iwe kuchochea kuni,wao huwa wanachocheaga kuni Upinzani tusielewane sasa ni zamu yetu.Tena ni lile libundi kubla lao🦉.
Umenena vyema. Takae shinda uchaguzi ni yule atabeba karata ya Hayati.Hadi sasa wengi wanaoshangilia juhudi za waziri mpya wa Nishati ni wafuasi wa ACT wazalendo na Mange Kimambi na kuna wanalumumba wachache pia...
Umenena kweli tupu usiogope kuwaita wanafiki!Hadi sasa wengi wanaoshangilia juhudi za waziri mpya wa Nishati ni wafuasi wa ACT wazalendo na Mange Kimambi na kuna wanalumumba wachache pia...
Mange,zitto na Kipara ngoto ni ntu za dili tu.Hadi sasa wengi wanaoshangilia juhudi za waziri mpya wa Nishati ni wafuasi wa ACT wazalendo na Mange Kimambi na kuna wanalumumba wachache pia...
Hapo umekosea. Tuna wapiga kura wajinga kiasi cha a number raised to power 1000.Hadi sasa wengi wanaoshangilia juhudi za waziri mpya wa Nishati ni wafuasi wa ACT wazalendo na Mange Kimambi na kuna wanalumumba wachache pia...
Kwa sasa habari ya mjini ni Zitto Kabwe na ACT wazalendo!Leo umesahau kuitaja CHADEMA au Mbowe!
Godless Lema wa Chadema ameshausoma mchezo!Umenena vyema. Takae shinda uchaguzi ni yule atabeba karata ya Hayati.
Subiri wasio jua siasa wakutukane. Ila ukweli unabaki palepale.