johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,915
- 141,873
Hadi sasa wengi wanaoshangilia juhudi za waziri mpya wa Nishati ni wafuasi wa ACT wazalendo na Mange Kimambi na kuna wanalumumba wachache pia.
Na ukiwaangalia hawa washangiliaji wengi ni chumia tumbo na wako kimkakati.
Utakapokaribia uchaguzi mkuu ndipo mtakapoiona rangi halisi ya CCM kwa sababu kazi alizofanya hayati Magufuli ndizo zitatumika kuinadi CCM na hapo itakuwa hamna namna kwa January. Na kama akizubaa atakuwa ndiye mbuzi wa kafara.
Wapiga kura wa Tanzania siyo wajinga tena wanaijua pumba na wanaujua mchele.
Maendeleo hayana vyama!