Ukitaka kujua vizuri kwamba Nyerere alikuwa kiongozi wa aina gani, inabidi uangalie vitu kama Honesty, Integrity, Emotional Intelligence, na Visionary. Ktk hizo qualifications za leaderships Nyerere KAFELI zote hizo qualifications.
Honesty- Nyerere anasifiwa kwa propaganda zake kwa WTZ.
Integrity- Nyerere alikuwa anatumia madaraka yake vibaya. Alikuwa afuati sheria za nchi, kwa sababu alikuwa Dictator.
Emotional Intelligence-Groups EI- Ktk hili ndio kafeli kabisa. Alikuwa hataki kuheshimu mawazo ya wengine. Alikuwa mkali, mbabe, nk.
Visionary- Kafeli kuweka miundo mbinu ya nchi. Sera zake za Ujamaa, Chama kimoja CCM, zimeifanya TZ kuwa nyuma kimadeleo.
Ukiangalia hizo qualifications za kiongozi bora utaona jinsi Nyerere alivyofeli kabisa.
Kwanza kabisa naomba niweke wazi kuwa wengi wa wakosoaji wa viongozi wenye majina makubwa Tanzania ni watu wanaosaka umaarufu ingawaje nakubali kuwa wapo kweli wanaokosoa kwaajili ya kujenga taifa hivyo sio kila amkosoaye Nyerere ana hoja bali wengine wanataka umaarufu ingawa pia sishawishiki kuwa wakosoaji wa Nyerere wanafanya hivyo kwa maslahi ya taifa.
Kuhusu Nyerere kukosolewa hilo sina tatizo nalo ila mpaka leo hii hakuna hata kiumbe mmoja wa Tanzania hii aliyekuja na hoja mbadala ambazo zimezaa matunda nadhani wote mashahidi wa jinsi ubinafsishaji unavyoliuza taifa letu.
Mwalimu alitaja maadui watatu ujinga, maradhi na umasikini lakini miaka hamsini baada ya uhuru hakuna aliyepinga hili kwa hoja kuwa hawa ndiyo maadui wetu na mwishowe kinachonitia hofu ni jinsi wakosoaji hawa walivyoibuka kwa wingi baada ya Nyerere kufa, je walikuwa wanamwogopa? kwa maana aliacha urais tangu 1985 lakini hata 1995 wakati wa uchaguzi mkuu wa kwanza wa vyama vingi hawakumkosoa kiasi hiki ingawaje alishiriki kwenye kumpigia kampeni Benjamin Mkapa, hofu yangu ni kuwa tayari kuna fununu kuwa Nyerere anachafuliwa kwa makusudi tu.
But we have to agree JKN was far better off than the current president
Agreed,but two wrongs do not make a right.Ubabaishaji na upuuzi mwingine wa Kikwete hauwezi kuhalalisha kufunika mapungufu aliyokuwa nayo Nyerere.Na JK anaweza kujitetea (katika kuficha udhaifu wake) kuwa alirithishwa nchi iliyokwishakongoroka.With exception of madhara ya the 1978-9 Kagera war,Nyerere angeweza kutupa sababu zipi za msingi za kuliacha taifa likiwa hoi bin taaban wakati anastaafu 1985?
Ukitaka kujua vizuri kwamba Nyerere alikuwa kiongozi wa aina gani, inabidi uangalie vitu kama Honesty, Integrity, Emotional Intelligence, na Visionary. Ktk hizo qualifications za leaderships Nyerere KAFELI zote hizo qualifications.
Honesty- Nyerere anasifiwa kwa propaganda zake kwa WTZ.
Integrity- Nyerere alikuwa anatumia madaraka yake vibaya. Alikuwa afuati sheria za nchi, kwa sababu alikuwa Dictator.
Emotional Intelligence-Groups EI- Ktk hili ndio kafeli kabisa. Alikuwa hataki kuheshimu mawazo ya wengine. Alikuwa mkali, mbabe, nk.
Visionary- Kafeli kuweka miundo mbinu ya nchi. Sera zake za Ujamaa, Chama kimoja CCM, zimeifanya TZ kuwa nyuma kimadeleo.
Ukiangalia hizo qualifications za kiongozi bora utaona jinsi Nyerere alivyofeli kabisa.
Eti "Emotional Intelligence-Groups EI", "Visionary", "Integrity"??? Duuh! Hayo maelezo uliyotoa yaani hayaendani kabisa na maana halisi ya dhana hizo za kiingereza na tena za kigeni. Mswahili bana akijifanya naye kaenda shule, inakuwa taabu tupu!
Toa definition uliyokuwa nayo. Na mimi nitakupa more information zaidi, ktk kila principles za leadership skills.
Hamna anayetaka somo na "Definitions" zako za "principles za leadership skills". Kwangu binafsi machache uliyonena yanatosha. Nenda kawa challenge vilaza wenzako madrassah.
ndugu hujui historia mamwinyi hawakutaka kusoma wala watoto wao kwenda shule, suala la elimu kwao lilikuwa ni utumwa na aibu kwa familia..aliwanyima watu wa pwani elimu, na kuwekeza sana arusha na kuitwa azimio la kuijenga arusha
The Boss, please help me to understand when and why people are referred to as "Engineer...so and so".
I've heard and am aware of the titles or prefixes like Sir, Dr. Prof. Ambassador etc, but not engineer Ahamedinajad or Engineer Mark Mwandosya....What's gonna be next, Journalist Ulimwengu? Entomologist Kweka, Geologist Mbise, Sociologist Mkwasa, Hair Stylist Mwajuma, Barber Hassani or Accountant Hussein?????
jamani hakuna jipya hapa; madai yote mawili yanayotolewa dhidi ya Nyerere hana ya ukweli:
a. Upande wa Pili wa Nyerere (mapungufu) yameandikwa kwa kirefu kuanzia miaka ya sitini. Hakuna kiongozi wa Tanzania aliyekosolewa na kubainishwa mapungufu yake ya kisera na kiuongozi kama Nyerere. None.
b. Nyerere hakufanya makosa; hakuna mtetezi yeyote wa Nyerere mwenye akili timamu ambaye amewahi kudai kuwa Nyerere hakufanya makosa. Hata yeye mwenyewe hakuwahi kudai kuwa hajakosea (ushahidi umewekwa hapa wa kutosha) na siyo leo tu, ndiye kiongozi pekee wa TAnzania aliyeandika kitu kinachoitwa "Tujisahihishe" wakati mwingine natamani niiweke hapa ili watu wajue kuwa Nyerere hakuwa na mashaka na kukosolewa wala kujikosoa as a leader!
So.. hizi myths za kuwa Nyerere hakupenda kukosolewa au Nyerere alitukuzwa sana hazina msingi katika historia.
Hapa mkuu you are dead wrong!!
Mimini mwalimu wa chipukizi, nikiwa iringa mwaka 1969-1976, kwa kifupi ninamfahamu Nyerere kwa kumuona, kumgusa, kukaa naye..Nyerere was something else, alikuwa anatisha yet alikuwa anapendwa
issue za ukimsema vibaya unaishia kubaya was not a myth was real........mkuu unapenda mno!!!!
Siku za hivi karibuni kumekuwa na kundi kubwa la watu waliojipambanua kuwa wao ni wakosoaji wa Nyerere na hata baadhi yao wamethubutu kumwita dikteta ingawaje kwa miaka mingi Nyerere amekuwa akiheshimiwa sana miongoni mwa wananchi wa kawaida wa Tanzania.
Mara nyingi ukosoaji huwa umekuwa ukifanywa na vyombo vya habari ikiwa ni pamoja na magazeti, blogs na wakati mwingine wanasiasa na watu binafsi mpaka sasa sitakosea nikisema ukosoaji dhidi ya Nyerere umekithiri kwa siku za karibuni.
Kwa bahati mbaya mimi nimezaliwa miaka ambayo Nyerere ameshastaafu ingawaje nilifanikiwa kusoma vitabu vyake na hata kumwona. Kupitia maandiko yake sijaona jambo baya lakini bado sishawishiki kuwa alikuwa anapatia kila kitu.
Hivyo ndugu wadau naomba kufahamu juu ya Nyerere, sihitaji sifa zake tu abadani sihitaji udhaifu wake pekee bali nahitaji kumfahamu Nyerere zaidi ya yale yaliyoandikwa vitabuni, nataka kumjua kiundani ili mwisho wa siku nifahamu je wanaompinga Nyerere wana hoja za msingi au wanatafuta umaarufu ama kutoka?
NAWASILISHA
sasa si tuna rahisi anayependwa na anayesikiliza sana tena ana sura nzuri kweli dr. so and so?; hatishi? are we happy?
nafikiri bado assumptions zako ziko wrong! -unarudia rudia sana kosa hili soma post yangu ya juu!!
Haina maana nikomkosa nyerere basi nampenda kikwete!!!!!!!!!!!!!! Is not like that,
niki-diclare sehemu kuwa simpendi a kwa sababu nampenda b, ningesema nayo si dhambi-ila siyo akili!
Kwa hiyo wewe ukokwenye group zuri sana la mpenzi wa nyerere , sina tatizo unampenda nyerere kwa ule upendo wa dhati kabisa, ..ila usitupe wengine tuwapende wengine kwa sababu ya kuwa tunamsema vibaya nyerere..naweza kuwa nampenda ila kivingine sana!!!
Review your assumptions au hypotheses!
Nafikiri bado assumptions zako ziko wrong! -unarudia rudia sana kosa hili soma post yangu ya juu!!
Haina maana nikimkosoa Nyerere basi nampenda Kikwete!!!!!!!!!!!!!! is not like that,
Niki-declare sehemu kuwa simpendi A kwa sababu nampenda B, ningesema hivyo nayo si dhambi-ila siyo akili!
Kwa hiyo wewe uko kwenye group zuri sana la mpenzi wa Nyerere , sina tatizo unampenda Nyerere kwa ule upendo wa dhati kabisa, ..ila usitupe au kutulazimisha wengine tuwapende wengine kwa sababu ya kuwa tunamsema vibaya Nyerere..naweza kuwa nampenda ila kivingine sana!!!
Said this I dont like Kikwete in many ways and I dont like Nyerere in many ways...to be fair, they all have weakness and strengths...Nyerere's quality of leadership ziko juu sana ya Kikwete (mawazo yangu)..happy now??? lakini hainizuii kumkosoa Nyerere...what??? sad now?
Review your assumptions au hypotheses!
ooh noo inabidi unisome vizuri; sijasema unampenda kikwete; nimesema kikwete si anapendwa na hatishi kama nyerere (ambacho ni kipimo chako wewe kuwa alikuwa anatisha!). Sasa nimesema kama nyerere kwa maelezo yako alikuwa anatisha na kupendwa kwa wakati mmoja alikuwa mbaya kwa sababu hiyo basi kikwete lazima awe bora kwa sababu hatishi na anapendwa. Kikwete ana tabasamu zuri, haogopwi kama alivyokuwa anaogopwa nyerere. Ndio swali, je tumefurahi na kikwete asiyetisha na anayependwa?
nafikiri wamasema two wrongs do not make it right lol