Wanaomchukia Rais Samia kwasababu ya dini yake, uzanzibari, na kwa kuwa ni mwanamke muache mara moja

Tatzo tunasahau kwamba teuzi pia anachukua zenji kama pia alivyofanya mtangulizi wake naye alichukua chato

Sasa Zanzibar wengi ni waislam 98% au 99% sasa unatarajia teuzi za kutoka visiwani ziwe za dini gani?

Mbona mwendazake alivyochukua chato ambapo 80% ni Christians maana yake wengi lazima wawe wakristo kuna tatizo hapo?
Nilipoona umeandika hivi nikagundua kitu.

Ndugu yangu kama unapenda kuwa mjenga hoja strong zinazojisimamia jaribu kusoma kanuni kadhaa za mantiki.

Soma pia makosa ya kimantiki wanaita logical fallacies itasaidia sana. Ushauri tu as a brother napenda taifa liwe na vijana wenye hoja nzitonztio at least
 
Nilichogundua kuna watu baadhi wanamchukia Rais Samia kwasababu ya dini yake na uzanzibari wake

Huyu mama uungwana wake na roho yake nzuri vitamponza sana maskini,sisi wabara tupo wengine tuna roho mbaya sana

Kuna watu wanamchukia Samia kisa ni mwislam, wengine wanamchukia kisa ni mzanzibary wengine wanamchukia kisa ni mwanamke kapewa madaraka makubwa hawakutaka yawe ila kwa uwezo wa mungu yamekua

Wengine wakaenda mbali wanasema Samia ni mdini, hadi sasa sijaona justification ya kumwiita SSH mdini, sijaona chochote kile kafanya cha kuprove ni mdini, nipo tayari kutoa dau la pesa hata ikibidi kwa atakayenionyesha kwamba mama ni mdini

Tatzo tunasahau kwamba teuzi pia anachukua zenji kama pia alivyofanya mtangulizi wake naye alichukua chato

Sasa Zanzibar wengi ni waislam 98% au 99% sasa unatarajia teuzi za kutoka visiwani ziwe za dini gani?

Mbona mwendazake alivyochukua chato ambapo 80% ni Christians maana yake wengi lazima wawe wakristo kuna tatizo hapo?

Mimi hadi sasa ukiniuliza viongozi walowahi kuwa na udini sana hapa tz ni mmoja tu, sio mwingine ni Mkapa, Mwendazake kwa hili tutamsingizia bure japo baraza lake la mawaziri ni kawaida kukuta waislam watatu tu, lakini hatuwezi kusema eti alikua mdini kwasababu teuzi zake zilikua za kwao ambapo wengi ni wakristo

Samia ana mapungufu mengi tu kwenye awamu yake, tumseme,tumkosoe sana na hakuna kumuogopa huyu bi mkubwa, lakini masuala ya udini na uzanzibar wake tafadhali tusiyaingize huko.

Awamu ya Samia mengi ya hovyo yamejitokeza mambo mabaya mabaya na utendaji mbovu ulozidi kiwango, lakini hili la udini, uzanzibar au umama tuyaache kabisa

Kingine tuwe makini sana, na tunavyoyajaji mambo, isije ikawa tunacheza ngoma ya genge lile la kikabila,maana nao hawalali wakikesha kumchafua mheshimiwa ili wao warudi kwenye ukuu, tusisahau miaka 6 ya yule mtu ilivyojaa mateso na dhiki, kwenye kuchagua namna ya kudeal na awamu ya 6 tuwe makini tusije tukawa tunawapa nguvu lile genge maana wale sio watu wazuri, kitendo cha ssh kuwa rais kimewauma sana.

Na hawampendi SSH na wanatamani lolote litokee, hawa sasa hivi nao wameanza kujifanya kutetea demokrasia na haki za binadam wakati miaka 6 ya yule jamaa hawa jamaa (gang) walituambia demokrasia haitakiwi na haki za binadam ni mikakati ya mabeberu

Tuweni makini tukihesabu hatua zetu
Watu wenye kiwango Cha chini ktk kufikiria pekee ndo wanaweza kuongea Kwa code uongeayo.

Watu wanaongelea masuala ya nchi, wanaohoji juu ya mikopo wanayokopa isiyo na tija Kwa Taifa,

Watu wanaohoji mzigo wa Kodi anaobebeshwa maskini Wakt huo huo Kuna ubadhirifu ktk kdogo kinachokusanywa.

Watu wanaohoji mawaziri na baadhi wa wabunge kuhujumu Bei za mafuta Kwa kumiliki vituo vya mafuta na kufanya biashara wakiwa viongozi.

Watu wanaohoji raslimali za Nchi kuuzwa Kwa Wageni kinyume Cha Sheria.

Wewe unaongelea PERSONALITY, Eti dini, jinsia, kabila, chama, ubara au uzenj nk😠😠😠😠

Je UOVU una dini?

Je WALA RUSHWA tuwatafute Kwa kutumia dini au ukanda?
 
Tatzo tunasahau kwamba teuzi pia anachukua zenji kama pia alivyofanya mtangulizi wake naye alichukua chato
Mada yako inakosa nguvu za hoja, unapoweka mambo kama haya.

Kwa ujumla, hujaweka au kueleza chochote kinachohusiana na kichwa cha mada ulichoamua kukitumia kuwasilisha ulichodhamiria kukiwasilisha.
 
Utafiti wako ulioufanya na kupata hitimisho hili uliufanya lini?
Haihitaji hata utafiti wa maprofesa..Jamii inayoamini kwenye ushirikina haiwezi kupima kiongozi Kwa matokeo chanya ndio maana inaamini maji ya upako,uzushi,miujiza na upuuzi kama huo..

Jamii isiyo na elimu huwa inaendeshwa Kwa lazima.Chini ya 2% ya watu hawana degree,chini ya 5% hawana Diploma then unategemea nini?
 
nakubaliana na wewe kuwa Samia hana suala la udini ukilinganisha na watangulizi wenzake.
angalia katika nafasi za uteuzi mbalimbali dini gani ndio wamejaa ktk idara mbalimbali za serikali utakuta ni sisi wakristu waislamu ni wachache sana ktk nafasi mbalimbali za serikali na idara zake.lkn waislamu wapo kimya miaka nenda miaka rudi na nchi inasonga mbele.

Nashauri wanao leta chokochoko hizo waache ushamba.
nchi yetu itaendeshwa kwa nguvu ya pamoja na uwiano wa pande zote ili kuimarisha umoja wetu na uzalendo.

tuache kuwahadaa watu, kila kitu kinajulikana, hizi sio zama za miaka ya 65!! hii ni krne nyinhingine kabisaa.

, hakuna aliye bora zaidi ya mwengine, sote ni watanzania tuijenga nchi yetu kwa mshikamano na upendo.

Mungu azidi kumbariki Rais wetu Mama samia, kamwe asiyumbishwe na maneno ya wapuuzi wachache.
Wewe hunaga M-bora hata Lipumba Akiwa Rais utamsifia as long as unapata chochote.
 
Ndio unagundua Leo?

Hao wenye chuki wanamchukia Kwa sababu zifuatazo.

1.Jinsia yake,utasikia mwanamke hawezi kitu wakati wanaona ameweza hadi kuwashinda wanaume..

2.Uzanzibari wake-Saizi wanazusha mara tunapigwa mnada mara anapendelea Zenji mara anatupandishai Kodi zinaenda Zenj na upuuzi mwingine kama huo ilhali wanajua ni uongo..

3.Dini yake-Nimefuatili Marais wa Tanzania toka Zama za Mwalimu nimegundua malipongoza Waislamu Wakristo huwa wanaleta chokochoko na uzushi mwingi Sana..

Haya mambo aliwahi kuandika Pascal Mayala mapema Sana kwamba Rais Samia atafanya mengi mazuri na makubwa ambayo hakuna Rais wa kabla aliyafanya ila watamchukia kwa sababu hizo hapo Juu..

Sababu ya mwisho mtambuka ni ile ya wajinga ambao wanasema eti mbona anaenda kinyume na Mwendazake,Hawa ni wale wapumbavu ambao waliaminishwa kwamba Mwendazake ndio aliweka standards ya Kuongoza wakati in fact alikuwa ni moja ya ma Rais wa Hovyo kuwahi tokea hapa Tanzania..
Ukishakuwa chawa huwezi kuwa na upeo wa kuchambua mambo.

Kila jambo la msingi analopingwa nalo nyie mnakimbilia kusema anapingwa kwasababu ya dini, kanda, au jinsia yake, huu ni ujinga wenu tu, hamuwezi kuwafunga watu midomo kwa sababu hii.

Na huu ujinga nimeshaona mnautumia kama defensive mechanism, pale ambapo anashutumiwa kwa mambo mbalimbali kuhusu uongozi wake, mnakimbilia kuzitoa hizo sababu ili kuwafunga werevu midomo, nyie ni dhaifu sana.

Suala la jinsia, Samia mwenyewe ndie alilianzisha pale alipojitambulisha kuwa yeye ni Rais mwenye jinsia ya kike, kwani hakuulizwa na yeyote kuhusu jinsia yake, aliropoka mwenyewe kwa ujinga wake.

Ukanda, Samia sio Rais wa kwanza toka Zanzibar, hivyo hii hoja yenu nayo ni dhaifu.

Dini, Samia sio muislam wa kwanza kuongoza hili taifa, hii nayo ni dhaifu tu.

Unaposema kila akija Rais muislam wakristu huanzisha chokochoko nao ni ujinga mwingine tu, hutaki watu wahoji kwa sababu aliyeko ikulu ni muislam? kama mnajiona dhaifu sana msikimbilie ikulu.
 
Ukishakuwa chawa huwezi kuwa na upeo wa kuchambua mambo.

Kila jambo la msingi analopingwa nalo nyie mnakimbilia kusema anapingwa kwasababu ya dini, kanda, au jinsia yake, huu ni ujinga wenu tu, hamuwezi kuwafunga watu midomo kwa sababu hii.

Na huu ujinga nimeshaona mnautumia kam defensive mechanism, pale ambapo anashutumiwa kwa mambo mbalimbali kuhusu upngozi wake, mnakimbilia kuzitoa hizo sababu ili kuwafunga werevu midomo, nyie ni dhaifu sana.

Suala la jinsia, Samia mwenyewe ndie alilianzisha pale alipojitambulisha kuwa yeye ni Rais mwenye jinsia ya kike, hakuulizwa na yeyote kuhusu jinsia yake.

Ukanda, Samia sio Rais wa kwanza toka Zanzibar, hivyo hii hoja yenu nayo ni dhaifu.

Dini, Samia sio mwislam wa kwanza kuongoza hili taifa, hii nayo ni dhaifu tu.
Hakuja cha chawa wala nini ila hoja zenu nyingi ni hizo hizo za zinazohusiana na dini,utaifa na jinsia..

Hoja gani yenye mashiko ambayo wewe unampinga Rais Samia?

Kwa mfano mimi sina unasaba na dini ya Rais,kabila lake na Wala anakotokea mimi natokea Njombe na ni mkristo..

Kwa hiyo nachosema namaanisha wengi wenu mumekalia maujinga yenu tuu.
 
Wewe jamaa uchawa wako Kwa Samia umekutoa ufahamu kabisa,hata huko shule walimu walipata tabu sana kukufukisha
 
Watu wenye kiwango Cha chini ktk kufikiria pekee ndo wanaweza kuongea Kwa code uongeayo.

Watu wanaongelea masuala ya nchi, wanaohoji juu ya mikopo wanayokopa isiyo na tija Kwa Taifa,

Watu wanaohoji mzigo wa Kodi anaobebeshwa maskini Wakt huo huo Kuna ubadhirifu ktk kdogo kinachokusanywa.

Watu wanaohoji mawaziri na baadhi wa wabunge kuhujumu Bei za mafuta Kwa kumiliki vituo vya mafuta na kufanya biashara wakiwa viongozi.

Watu wanaohoji raslimali za Nchi kuuzwa Kwa Wageni kinyume Cha Sheria.

Wewe unaongelea PERSONALITY, Eti dini, jinsia, kabila, chama, ubara au uzenj nk😠😠😠😠

Je UOVU una dini?

Je WALA RUSHWA tuwatafute Kwa kutumia dini au ukanda?
Jamaa/mleta mada ana akili ndogo sana watu wanahoji mambo ya msingi yy anakimbilia udini!?
 
Utawala wa mwendazake wasukuma walineemeka, akina ngusa,shirinde na wengineo walipata ajira kutokana na majina yao ya kikabila...........mama anaupiga mwingi wacheni na wengine waneemeke kama walivyoneemeka akina shiringe na ngusa.....kuna jamaa alikuwa anaitwa daudi mayeji huyu alifikia mpaka kuwapanda watu kichwani kisa tu msukuma mwenzie wa kwao anaongoza nchi...
 
Ndio unagundua Leo?

Hao wenye chuki wanamchukia Kwa sababu zifuatazo.

1.Jinsia yake,utasikia mwanamke hawezi kitu wakati wanaona ameweza hadi kuwashinda wanaume..

2.Uzanzibari wake-Saizi wanazusha mara tunapigwa mnada mara anapendelea Zenji mara anatupandishai Kodi zinaenda Zenj na upuuzi mwingine kama huo ilhali wanajua ni uongo..

3.Dini yake-Nimefuatili Marais wa Tanzania toka Zama za Mwalimu nimegundua malipongoza Waislamu Wakristo huwa wanaleta chokochoko na uzushi mwingi Sana..

Haya mambo aliwahi kuandika Pascal Mayala mapema Sana kwamba Rais Samia atafanya mengi mazuri na makubwa ambayo hakuna Rais wa kabla aliyafanya ila watamchukia kwa sababu hizo hapo Juu..

Sababu ya mwisho mtambuka ni ile ya wajinga ambao wanasema eti mbona anaenda kinyume na Mwendazake,Hawa ni wale wapumbavu ambao waliaminishwa kwamba Mwendazake ndio aliweka standards ya Kuongoza wakati in fact alikuwa ni moja ya ma Rais wa Hovyo kuwahi tokea hapa Tanzania..
Wakristo wengi ni wajinga wanafuata mkumbo wanafundishwa ujinga ndo maana utasikia mara wakashfu hiki ,Mara wachome hiki yaani ujinga tupu nangoja waje hapa kucoment shenzi kabisa

Umeongea sana ila sisi watanzania ni wabaguzi kote bara na visiwani hapo mpaka kikabila maana ni mzanzibar nayo pia ni point leo zile kanda hazipo kweny power wote wanashabikia kumponda sio wale wenye neno ya kuoza wala washamba wa ziwani wote wanapiga vita
 
Utawala wa mwendazake wasukuma walineemeka, akina ngusa,shirinde na wengineo walipata ajira kutokana na majina yao ya kikabila...........mama anaupiga mwingi wacheni na wengine waneemeke kama walivyoneemeka akina shiringe na ngusa.....kuna jamaa alikuwa anaitwa daudi mayeji huyu alifikia mpaka kuwapanda watu kichwani kisa tu msukuma mwenzie wa kwao anaongoza nchi...
Mam ana balance sasa washaanza kuona gere hawajui like tangazo la kusubmit cv hazija kujaza kabila ili kuleta usawa kila kona kuna wasomi walishazoea kuangalia a meno kupachika na wasukuma sasa ngoja dawa iwaingie
 
Back
Top Bottom