Wanaolilia lockdown: Je, wanajua mwelekeo wa sasa duniani?

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
14,205
Reaction score
19,142
Nchi zote kwa sasa mwelekeo ni kuachana na lockdown, hata kama maambukizi yako juu. Urusi leo imesema lockdown inaishia leo kesho ni kazi kama kawaida japo maambukizi bado yanaongezeka! Marekani tayari walishaanza kuachana na lockdown, Uingereza hali kadhalika, Hispania, Italia, Ufaransa, Ujerumani, Ghana, Afrika ya Kusini, nk.

Ushahidi kwa Urusi kuachana na lockdown pamoja na maabukizi bado yanaongezeka huu hapa; Putin eases Russian lockdown as cases rise

Ukiona nchi za ulimwengu wa kwanza (zilizoendelea) zimeshindwa kuendelea na lockdown, wewe wa nchi ya ulimwengu wa tatu utakuwa juha kupindukia ukijitosa kwenye lockdown!! Magufuli anapewa heshima kubwa kwa kuliona hili toka mwanzo. Historia itamkumbuka hata kama leo watu hawataki kukiri ukweli huo.

Njia aliyotumia Dr Magufuli kudhibiti Covid 19 ninaiita kitaalam : Magufuli's Model for Covid 19 Control in Tanzania. This model can be summarised as: No lock down, practice social distancing, wash hands regularly, put on masks, stop unnecessary movements, but work very hard!
 
Infection rate imepugua kwa nchi zilizoweka lockdown, kwa kutumia indicators zao. They are easing restrictions... USA, Germany wali ease restrictions sasa infection rate imeanza kupanda tena. hapa hatukufanya any restriction seriously and therefore infection itakuwa juu sana, it is a matter of time!
 
To easy lockdown is not to stop it, ina maana kuna baadhi ya shughuli zinarudishwa lakini kwa tahadhari kuu, social distance ipo pale pale ila watu wanaruhusiwa kwenda nje zaidi ya mara moja kwa siku, lakini ukiwa nje una keep distance from others. Sio biashara zote zinazofunguliwa ingawaje nyingi zimefunguliwa kwa masharti ya kuweka distance baina ya watu.

Uingereza nilipo maduka yasiyo uza chakula, baa, gyms, bookshops, museums bado zimefungwa,na mikusanyiko yote bado inazuiliwa, ni nchi chache tu zilizofungua baadhi ya bookshops na maduka ya vitu mbalimbali. Kwenye usafiri lazima kuvaa barakoa hata kwenye baadhi ya maduka.
 
Nchi zote kwa sasa mwelekeo ni kuachana na lockdown, hata kama maambukizi yako juu. Urusi leo imesema lockdown inaishia leo kesho ni kazi kama kawaida japo maambukizi bado yanaongezeka! Marekani tayari walishaanza kuachana na lockdown, Uingereza hali kadhalika, Hispania, Italia, Ufaransa, Ujerumani, Ghana, Afrika ya Kusini, nk.

Ushahidi kwa Urusi kuachana na lockdown pamoja na maabukizi bado yanaongezeka huu hapa; Putin eases Russian lockdown as cases rise

Ukiona nchi za ulimwengu wa kwanza (zilizoendelea) zimeshindwa kuendelea na lockdown, wewe wa nchi ya ulimwengu wa tatu utakuwa juha kupindukia ukijitosa kwenye lockdown!! Magufuli anapewa heshima kubwa kwa kuliona hili toka mwanzo. Historia itamkumbuka hata kama leo watu hawataki kukiri ukweli huo.

Njia aliyotumia Dr Magufuli kudhibiti Covid 19 ninaiita kitaalam : Magufuli's Model for Covid 19 Control in Tanzania. This model can be summarised as: No lock down, practice social distancing, wash hands regularly, put on masks, stop unnecessary movements, but work very hard!!
Hakuna anayelilia total lockdown, hakuna. Lakini hatua za kuhamasisha misongamano wakati wa pasaka na baadaye kutofautiana na maabara yetu wenyewe, sidhani kama ni njia ya kupambana na Covid 19. Na uhalisia umeonekana. Karibu madereva wengi wanaotokea Tz kwenda nje wana Corona. Pili visa vingi vimeongezeka vinavyoitwa changamoto ya kupumua sijui huu nao ni ugonjwa gani ?!. Subiri uje uguswe kama utakuja na sifa hizi tena. Waulize walioguswa

Odhis *
 
Lockdown kwa Tanzania haiwezekani!

Kuweka lockdown [kama njia ya utatuzi wa tatizo] kutalifanya suluhisho liwe baya zaidi kuzidi hata tatizo lenyewe.

Hakuna lockdown Tanzania.
 
Lockdown siyo ya milele mkuu, ni kipindi cha mpito ambapo unatenga kati ya wagonjwa na ambao hawajaambukizwa! Ni kipindi cha kupambana na wagonjwa uliokwisha kuwapata na wakati huo huo kuzuia wengine wasiambukizwe! Baada ya lockdown wagonjwa wengi wana kuwa quarantine au kwenye vituo maalumu vya matibabu, kwa hiyo unakua umepunguza kasi ya maambukize. Ni kweli, tatizo linaweza kuendelea kuwepo lakini aliyetoka lockdown Yupo hatua ya pili ya kukabiliana na tatizo wakati Wewe hata hatua ya kwanza hujaanza!!
 
Lockdown kwa Tanzania haiwezekani!

Kuweka lockdown [kama njia ya utatuzi wa tatizo] kutalifanya suluhisho liwe baya zaidi kuzidi hata tatizo lenyewe.

Hakuna lockdown Tanzania.
Anayekuambia hakuna hicho kitu, yeye mwenyewe yuko wapi jamani ?!. Mbona unafki !

Odhis *
 
Nchi zote kwa sasa mwelekeo ni kuachana na lockdown, hata kama maambukizi yako juu. Urusi leo imesema lockdown inaishia leo kesho ni kazi kama kawaida japo maambukizi bado yanaongezeka! Marekani tayari walishaanza kuachana na lockdown, Uingereza hali kadhalika, Hispania, Italia, Ufaransa, Ujerumani, Ghana, Afrika ya Kusini, nk.

Ushahidi kwa Urusi kuachana na lockdown pamoja na maabukizi bado yanaongezeka huu hapa; Putin eases Russian lockdown as cases rise

Ukiona nchi za ulimwengu wa kwanza (zilizoendelea) zimeshindwa kuendelea na lockdown, wewe wa nchi ya ulimwengu wa tatu utakuwa juha kupindukia ukijitosa kwenye lockdown!! Magufuli anapewa heshima kubwa kwa kuliona hili toka mwanzo. Historia itamkumbuka hata kama leo watu hawataki kukiri ukweli huo.

Njia aliyotumia Dr Magufuli kudhibiti Covid 19 ninaiita kitaalam : Magufuli's Model for Covid 19 Control in Tanzania. This model can be summarised as: No lock down, practice social distancing, wash hands regularly, put on masks, stop unnecessary movements, but work very hard!!

Mkuu kuna tofautisha ya aliyeshinda vita anaondoa lockdown na asiye na lockdown kwa sababu anamtegemea Mungu, nyungu au mitishamba.

Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson aamua Lockdown sasa basi - JamiiForums

Mkuu USA, Germany, UK, Italy. Spain, Rwanda nk. Wameshashinda vita kwani maambukizi yameshadhibitiwa vilivyo.

Kuna tofauti pia ya maambukizi kudhibitiwa na kuwepo kwa maambukizi bila kujali idadi.

Kutokuelewa hayo ni kuwa na IQ ya kiwango cha chekechea.
 
Mkuu USA, Germany, UK, Italy. Spain, Rwanda nk. Wameshashinda vita kwani maambukizi yameshadhibitiwa vilivyo.
Si kweli mkuu maambukizi bado yapo. Hakuna budi kujifunza kuishi navyo hivi virusi.
Bado hakuna aliyevishinda hata china maambukizi bado yapo ili yamepungua tu. Na wanapambana navyo humo humo tu mtaani.
Maana ugonjwa unaonekana hauwezi isha mapema. Watafungia watu mpaka lini?
 
Back
Top Bottom