Wanaoleta vurugu za kidini wanadekezwa

PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,203
8,725
Kimsingi, hali ya uchomaji makanisa kama inaendelea kuwa hivi ni bora JWTZ waingilie kati, maana aidha Polisi wamezidiwa au kushindwa kupata habari beforehand.

Simaanishi kuwa JWTZ ndio suluhu ya mwisho, lakini watasaidia kufanya uchunguzi wa hujuma hizi ili angalau kuwapata watu wachache watakaosaidia kueleze mipango hii inafanyiwa wapi, na iko nyuma ya watu gani.

Kwa wakati huu, wakristo endeleeni kudumisha amani na kuwa na roho ya kutolipiza kisasi, maana mkithubutu kufanya kitu, utakuwa ndiyo mwanzo wa mwisho wa Taifa linaloitwa Tanzania.
Mwisho niwape pole sana Vigango, Usharika na Parokia zote ambao wamechomewa makanisa yao...Mungu atawapa makanisa mazuri kuliko yale.
 
Wote ni ndugu wa Tanzania,naombeni jamani haya mambo yaishe tuishi kwa amani na upendo.Vita ni mbaya,tumeona Rwanda,Burundi,DR Congo.

Naomba masheikh na maaskofu wakae pamoja wamalize hili sakata,polisi hawawezi kumaliza hili sakata la udini.
 
nakubaliana na ww...., sasa baada ya polisi kuuwawa znz,, nadhani utaona kamata kamata.., yani makanisa yote yaliyochomwa tangu kipindi ile,, hakuna cha maana polisi wamefanya..,

mm nadhani jwtz ifanye internal security at least miezi mitatu afu utaona difference
 
Hofu yangu ni kwamba muziki huu ni mnene, inabidi JWTZ wawe tayari kusaidia, hasa kulinda makanisa na taasisi zisizo za kiislamu maana wenzetu hawa, wengi wao akili zao zinaishia kwenye ushauri wanaoupata kutoka kwa maustaadhi wao, basi!
 
Paka Jimmy, uko sawa kabisa kuwa Police wamezidiwa wao ni mabomu ya machozi tu, tena polisi 10 waandamanaji 400.
 
Ndugu zangu, hali ya Zanzibar si njema. Na huku Dar nako tunaambiwa kesho itakuwa balaa baada ya swala ya Ijumaa. Nashauri JWTZ wakae mkao wa kuoiokoa jamii isiyo na hatia katika kadhia hii.

Kuna ka -operesheni kanaitwa "Operesheni Okoa"kakipita hako mambo yote yatakuwa shwari kabisa.
 
wote ni ndugu wa tanzania,naombeni jamani haya mambo yaishe tuishi kwa amani na upendo.vita ni mbaya,tumeona rwanda,burundi,dr congo.

Naomba masheikh na maaskofu wakae pamoja wamalize hili sakata,polisi hawawezi kumaliza hili sakata la udini.

mkuu kwanini maasikofu wakae na mashehe, mimi naona hao mashehe ndo waangalie uwezekano wakuwatuliza hao watu wao!
 
nakubaliana na ww...., sasa baada ya polisi kuuwawa znz,, nadhani utaona kamata kamata.., yani makanisa yote yaliyochomwa tangu kipindi ile,, hakuna cha maana polisi wamefanya..,

mm nadhani jwtz ifanye internal security at least miezi mitatu afu utaona difference

Paka Jimmy, uko sawa kabisa kuwa Police wamezidiwa wao ni mabomu ya machozi tu, tena polisi 10 waandamanaji 400.
Ni mpaka achomwe nani ndio washituke?
Ni mpaka auwawe nani ndio wajue hali si shwari?
Ni mpaka Ikulu ivamiwe ndio wataamka?
 
Kuna ka -operesheni kanaitwa "Operesheni Okoa"kakipita hako mambo yote yatakuwa shwari kabisa.

Mkuu Thanda, funguka zaidi, kameasisiwa na nani hako? na malengo yake ni yapi? ni ka kidini au kijamii? wengine tumeanza kuigopa sasa hii mikoa ya pwani, mikoa hii kama isingekaliwa na wageni, madrasa zingekua everywhere!
 
hakuna haja kupambana nao usalama wa taifa upate update kuwa watavamia wapi na hayo maeneo yapewe ulinzi wa kutosha wakisogea tu wapate wanachostahili,!!wakiandamana acha waandamane wakitaka hata kuhutubia uwanja wa taifa waruhusiwe ila wakisogolea kanisa au kituo cha polisi au taasisi ya serikali wapewe kile wanastahili!
 
Juzi nilisikia Kiongozi mmoja wa jeshi la polisi akisema kuwa Polisi ni wachache hali inayowapelekea kwa polisi mmoja kumiliki watu 1300. Je hii ni halali?
 
jamani hizo ni vurugu sio vita, bado hatujafika mahali ambapo JWTZ wanahitajika kuingia mtaani. hadhi ya jeshi ni kubwa sana sio kutuliza ghasia ambazo polisi wanauwezo wa kutuliza wakijipamga. na polisi wenyewe wanaweza wakawa sehemu ya tatizo kama wakiwa neutral hawatashindwa kuzuia tatizo, shida ni kuwa wenyewe wameshalikoroga kwa kutumika vibaya. hata hivyo nachelea kusema kuwa bado JWTZ hatujahitaji waingie mtaani.

hivi mwajua maana ya JWTZ kuingia mtaani?
 
Wahuni wachache hawataweza kufanya lolote... Ingekuwa Arusha ningetishika, but hakuna mtu asiyejua kuwa watu wa Dar ni waoga kuliko kunguru...
 
Back
Top Bottom