King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,604
- 68,502
Mkuu ivi bado una hasira nao ?
Hujaona tamko la maaskofu nini ?
Nimeliona ,sema hao jamaa wafunzwe kwanza adabu maana wanachezea sana sheria za nchi..........
Mkuu ivi bado una hasira nao ?
Hujaona tamko la maaskofu nini ?
acha matusi,yaelekea na wewe unafikiri kwa kutumia tumbo badala ya kichwa,na pengine mafuta ya nguruwe pori yamekuathiri sana.pole na kafie mbali.aibu,,,Hofu yangu ni kwamba muziki huu ni mnene, inabidi JWTZ wawe tayari kusaidia, hasa kulinda makanisa na taasisi zisizo za kiislamu maana wenzetu hawa, wengi wao akili zao zinaishia kwenye ushauri wanaoupata kutoka kwa maustaadhi wao, basi!
Ndugu zangu, hali ya Zanzibar si njema. Na huku Dar nako tunaambiwa kesho itakuwa balaa baada ya swala ya Ijumaa. Nashauri JWTZ wakae mkao wa kuoiokoa jamii isiyo na hatia katika kadhia hii.
Mnyika aliposema tuna Rais Dhaifu alifukuzwa bungeni kumbe alikuwa anasema ukweli mtupu. Yanayotokea sasa hivi ni udhibitisho kuwa tuna Rais Dhaifu
Baadhi ya aya zako mtoa mada nazo zinaonesha kuegemea upande mmoja na zinazidisha chuki. Unasema wanafanya hivyo " ..bila sababu ya msingi eti kwa vile Quran imekojolewa". Yaani unaongea kirahisi kama hili tendo ni lakawaida sana. Rekebisha kauli zako. Yapaswa tuheshimu imani za wenzetu ili tuendelee kuishi kwa amani.
Ni bora kuheshimu dini za wengine na imani za wengine!
Naomba ni kupinge kidogo kitendo kilicho fanywa na mtoto hakikubaliki na nicha kulaaniwa kwa vile ni vitabu tukufu hivyo ni muhimu kuheshimiwa na kila mtu. Lakini hii pia hailetii uhalali wa kuchoma makanisa.
Lakini lazima tujue kitendo alicho fanya mtoto ni kosa !
Kimsingi, hali ya uchomaji makanisa kama inaendelea kuwa hivi ni bora JWTZ waingilie kati, maana aidha Polisi wamezidiwa au kushindwa kupata habari beforehand.
Simaanishi kuwa JWTZ ndio suluhu ya mwisho, lakini watasaidia kufanya uchunguzi wa hujuma hizi ili angalau kuwapata watu wachache watakaosaidia kueleze mipango hii inafanyiwa wapi, na iko nyuma ya watu gani.
Kwa wakati huu, wakristo endeleeni kudumisha amani na kuwa na roho ya kutolipiza kisasi, maana mkithubutu kufanya kitu, utakuwa ndiyo mwanzo wa mwisho wa Taifa linaloitwa Tanzania.
Mwisho niwape pole sana Vigango, Usharika na Parokia zote ambao wamechomewa makanisa yao...Mungu atawapa makanisa mazuri kuliko yale.
Watanzania wachache kati yetu wamekuwa wakileta vurugu zisizo za msingi wala chanzo cha maana Zanzibar tumeona makanisa yamechomwa bila sababu ya msingi, Dar tumeona kanisa limechomwa bila sababu ya msingi eti mtoto kakojolea kitabu cha dini lakini ni mtoto na watoto hawana akili vizuri bado!