Wanaokamata magari yanayoharibika barabarani ni kina nani?

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
51,989
23,500
Kuna mambo yanatokea watu wanakaa kimya inasikitishaa sana

Kuna mradii sijui wa nani yaan gari isiaribikee njian dk 😱 wako na breakdown wanavuta gariyako

Inasikitisha sana naamini manispaa mkooo mnajua hawaa watu ushauri tu waonywe waondoke kuna siku mtasikia mambo ya ajabu watanzania wakiwa kimya kwa mda wanapobadilika hamtoamini

Hujui thamaniii yagari unavuta kirahisi kabisaa

Hope mtabadikika manispaa
 
Nahis ndio hao hao wazee wa Wrong Parking..

Walifunga gari yangu na ile michuma yao wakakwangua rangi pia sikuona vzr wakat natak kutoka kumbe tyre imefungwa bumper nikalijeruhi kdg...
Haya mambo tulishasahau enzi zile yamerudi yana mwisho Watanzania sio wajinga siku zote
 
Wakiivuta bila laki tatu ukomboi gari Yako,laki ya traffic laki mbili ya breakdown,na breakdown ni za matrafick.
Ukipata nafasi ya kupiga nchi hii usimuone huruma mtu
Kweliii mkùuu. Ngoja niende dodoma nkaangalie hizi tendazinatolewaje yaan.....
 
Kuna mambo yanatokea watu wanakaa kimya inasikitishaa sana

Kuna mradii sijui wa nani yaan gari isiaribikee njian dk 😱 wako na breakdown wanavuta gariyako

Inasikitisha sana naamini manispaa mkooo mnajua hawaa watu ushauri tu waonywe waondoke kuna siku mtasikia mambo ya ajabu watanzania wakiwa kimya kwa mda wanapobadilika hamtoamini

Hujui thamaniii yagari unavuta kirahisi kabisaa

Hope mtabadikika manispaa
Nyingi zinamilikiwa na askari hao hao wa usalama barabaran.
Ndio maana gari likiharibika anawaita fasta anawapa amri "chukua hiki gari peleka kituoni"kumbe ni hela yake amejitengenezea
 
Hasa huku kweny malori aloh wanasumbua sana

Dar kila mtu amejipa ajira mwenyewe. Kuna kikundi kinajiita wakala wa TRA wanatembea na Afisa wa TRA wakikamata gari ya biashara au lori Lina deni la TRA wanalazimisha ukalipie yard kwao ili wakuchaji na hela ya hao mawakala. Hata ukisema jamani Hela ninayo naomba control number nilipe hawakuelewi mpaka ufikishe gari kwenye yard ya hao madalali(wakala wa TRA). Dar inachosha sana kila mtu ni mpigaji.
 
Wametuona mafala tu. Wanataka waone tunavumilia upumbafu kwa kiasi gani. Mwishoni watatuganyia kitu cha ajabu. Kukata umeme mara kwa mara, tozo za hivyo nk ni mifano mingine ya kupima ukondoo wetu
 
Back
Top Bottom