Wanaojiita wasomi wa nchi hii

Wanaojiita wasomi wa nchi hii

noick

Member
Joined
Aug 7, 2019
Posts
29
Reaction score
21
Wameua mayai yetu bora ya kienyeji, wametuletea mayai ya kizungu hakuna kitu chochote kwa afya.

Wameleta mbegu mpya za Korosho ili kuua ile korosho ambayo inaipaisha nchi kusini mwa Tanzania.

Wameua mpunga mzuri wa Mbeya uliokuwa unanukia hadi nyumba ya saba huko.

Wameua vitunguu swaumu vya kienyeji na sasa ni vya kizungu.

Ni vitu vingi sana wanakumbatia bila kuangalia athari za watu wao katika nchi.

Hatukatazi kuiga namna wanavyoendesha vitu vyao hao tunaowaita wameendelea lakini kile ulichonacho ndo ukiboreshe kiwe bora zaidi lakini viongozi wetu wanaua vya kwao vyenye tija na kutuletea vitu vya hovyo kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga mkono hoja raisi wetu mstaafu aliwahi kusema akili ya kuambiwa changanya na ya kwako.
 
Postive side

Wameondoa kero ya wali wako wa kilo moja ya mchele kutunukishia kijiji kizima

Wameleta korosho zinazolimwa duniani kote pia zinahimili mabadiriko ya hali ya hewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini ilikuwa fresh na ni mtamu,,,kuhusu korosho zipo tangu enzi na enzi leo uniambie wanabadili kulingana na mazingira,,,mazingira ya Vietnam na bongo yako sawa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mabadiliko ya ulimwengu,yanakuja na mambo yake mabadiliko ya tabia chi,maendeleo ya technology,
Hata magari ya sasa na ya zamani ni tofauti,
Hata binadamu tunamabadiliko,wa sasa na wazamani,
Hata mvua zinavyonyesha sasa na zamani ni tofauti,n,k

Unapozungumzia mabadiliko it means unaangalia wenzio wanavyofanya then nawe unaiga,lakini katika kuiga usihalibu kile chako na kuona hakifai bali kifanyie marekebisho kwa akili yako kubwa then unakuja na kitu kipya na kumzidi uliyemuiga.....sasa sisi tunaiga vya watu na kuvikumbatia na kuhamasisha watu wavifanye masikini ya mungu bila kujua madhara na cost zake kwa watu wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wameua mayai yetu bora ya kienyeji, wametuletea mayai ya kizungu hakuna kitu chochote kwa afya.

Wameleta mbegu mpya za Korosho ili kuua ile korosho ambayo inaipaisha nchi kusini mwa Tanzania.

Wameua mpunga mzuri wa Mbeya uliokuwa unanukia hadi nyumba ya saba huko.

Wameua vitunguu swaumu vya kienyeji na sasa ni vya kizungu.

Ni vitu vingi sana wanakumbatia bila kuangalia athari za watu wao katika nchi.

Hatukatazi kuiga namna wanavyoendesha vitu vyao hao tunaowaita wameendelea lakini kile ulichonacho ndo ukiboreshe kiwe bora zaidi lakini viongozi wetu wanaua vya kwao vyenye tija na kutuletea vitu vya hovyo kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Madesa tunayosoma yameandaliwa na wazungu na tunachotekeleza katika masuala ya utaalam ni kwa matakwa yao, kuna Kitu kinaitwa Agro-economy ni balaa sana kimeleta GMOs za kutosha, DDT za kufa mtu ardhi imejaa sumu za viwatilifu, mbegu hazioti hadi ukanunue dukani
 
Kama kuku wa mayai na nyama za kisasa hamna kitu chochote kwenye suala zima la afya saizi kuku wa kienyeji na mayai yake wamekuwa dili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili kubwa iko wp!!?,,,hiyo akili kubwa inashindwa hata kutengeneza tooth pick bwashee ?,
Athari zipo sikatai,lkn faida ni kubwa kuliko athari,
Unapozungumzia mabadiliko it means unaangalia wenzio wanavyofanya then nawe unaiga,lakini katika kuiga usihalibu kile chako na kuona hakifai bali kifanyie marekebisho kwa akili yako kubwa then unakuja na kitu kipya na kumzidi uliyemuiga.....sasa sisi tunaiga vya watu na kuvikumbatia na kuhamasisha watu wavifanye masikini ya mungu bila kujua madhara na cost zake kwa watu wako

Sent using Jamii Forums mobile app
mabadiliko yatakupeleka hata usipopataka kwa lazima,
Mfano:ukitumia mbegu za asili pure local seeds heka moja utapata gunia 2 za mahindi kwa miezi 3,
Mgegu za kisasa unapata gunia10 kwa wiki 8,huo ni mfano tu,
Hivyo hivyo kwenye mifugo,kuku wa kisasa na kuku wa asili,
Ww fuga kuku wa asili kibiashara na mm nifuge kuku wa kisasa,mm ntatoboa na ntakuwacha mbali sana kimafanikio,
ww utalima nyanya za asili kwa heka moja,mm ntalima nyanya kwenye green house ya mita 10 kwa mita 6 mbegu za kisasa,ntapata mavuno mengi sehemu ndogo nguvu kazi chache kuliko ww, utakae lima heka moja kwa mbegu zako za asili,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili kubwa iko wp!!?,,,hiyo akili kubwa inashindwa hata kutengeneza tooth pick bwashee ?,
Athari zipo sikatai,lkn faida ni kubwa kuliko athari,mabadiliko yatakupeleka hata usipopataka kwa lazima,
Mfano:ukitumia mbegu za asili pure local seeds heka moja utapata gunia 2 za mahindi kwa miezi 3,
Mgegu za kisasa unapata gunia10 kwa wiki 8,huo ni mfano tu,
Hivyo hivyo kwenye mifugo,kuku wa kisasa na kuku wa asili,
Ww fuga kuku wa asili kibiashara na mm nifuge kuku wa kisasa,mm ntatoboa na ntakuwacha mbali sana kimafanikio,
ww utalima nyanya za asili kwa heka moja,mm ntalima nyanya kwenye green house ya mita 10 kwa mita 6 mbegu za kisasa,ntapata mavuno mengi sehemu ndogo nguvu kazi chache kuliko ww, utakae lima heka moja kwa mbegu zako za asili,

Sent using Jamii Forums mobile app

Kipaumbele chako ni quantity rather than quality! Unayajua madhara yaliyosababishwa na hicho kipaumbele?
 
Kwani kuna mtu anakatazwa kubaki na quality ?,jibu ni hakuna mtu anaekatazwa.ila mtu ndo anaamua afate quality ama quantity,
Mfugaji anaenda kuchagua aina gani ya mifugo afuge ya kisasa ama ya kienyeji,pia mkulima anaamua mbegu gani anunue za kisasa ama za kienyeji,

Hata hizo bidhaa ukizipeleka sokoni mlaji pia anaamua kununua kipi,nyanya za kisasa kubwa nene zimejaa vizuri na zinavutia,kuliko za asili
Hata mayai ya kisasa makubwa kuliko ya kienyeji,
Kama ni madhara ya kiafya hiyo ni hoja nyingine sasa,
Ninachozungumzia mm ni mabadiliko yanakulazimisha kwenda hata tusipopataka,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom