Wanaoishabikia CCM

Wanaoishabikia CCM

Attachments

  • 1442853481737.jpg
    1442853481737.jpg
    28.2 KB · Views: 225
CCM Oyeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!

cc dada yake cute b
 
Attachments

  • 1442854258396.jpg
    1442854258396.jpg
    30.3 KB · Views: 208
Last edited by a moderator:
Kujua kwamba huyu mwongo na huyu mkweli kuna hitaji uwe na degree?

haiitaji degree ila ina hitaji uwe unajitambua, mwelewa, unaweza chambua mambo na mfanano wa hayo. sio kuwa shabiki tu uonekane na ww umo. kuwa na sifa izo ni degree tosha
 
Sasa hivi tunataka mtu anayeongea kidogo tu ila ni mtendaji zaidi.Viongozi wote waliojua kujenga hoja wameifanyia nini nchi hii cha maana hadi kufikia leo?Tatizo la mgao wa umeme duniani umebaki Tanzania tu.

Kama unatumia kichwa chako kufikiri, basi sifa hiyo ni ya magufuli.
 
haiitaji degree ila ina hitaji uwe unajitambua, mwelewa, unaweza chambua mambo na mfanano wa hayo. sio kuwa shabiki tu uonekane na ww umo. kuwa na sifa izo ni degree tosha

1442985072712.jpg
 
cute b
Unaruhusiwa piga kura pale ulipojiandikisha tu...
Kama ni mbali basi watakiwa ukabadilishe kituo cha uchaguzi.....
 
Last edited by a moderator:
cute b
Unaruhusiwa piga kura pale ulipojiandikisha tu...
Kama ni mbali basi watakiwa ukabadilishe kituo cha uchaguzi.....

Sawa sawa Root ngoja nihimize wadau.
Mie nilipojiandikishia ndipo nipo now
 
Last edited by a moderator:
Sawa sawa Root ngoja nihimize wadau.
Mie nilipojiandikishia ndipo nipo now

Huku kwetu niliandikisha na nitawahi mapema nikimaliza huyoooo
 
Last edited by a moderator:
cute b
Nenda kule kwetu kuna kaujumbe nimekuwekea kule sema sijaku cc.... nenda uone motivation ....
Kule tulipokutania
 
Last edited by a moderator:
Peleka ujinga huko Lowasa ndo Rais wetu tushaamua ivo

Nawe kajinyee huko, ila Maghufuli ndio rais na watanzania tushaamua hivyo, jiandae tu kisaikolojia.
 
Back
Top Bottom