Wanaoishabikia CCM

Wanaoishabikia CCM

Ninachocheka mbali na u empty huo ni kuwa vina vuja kwakuwa hata wajazwe mambo kesho wanasahau.
Kuna wimbo mmoja wa Mchinga Sound enzi hizo unaitwa Kichwa cha panzi.

Vitawakaa sawa tuu na hao waanze furikiria maendeleo
 
Hahahaaaa unapoteza kura yako bure kuipigia fisiemu.
Ila wew ni sister wangu hahagaa usinichambe

Ngoja ninyamaze maana akili za ukawa mnaziweza wenyewe na mihemko yenu, ila kura yangu ni kwa Maghufuli tu, mtu wa watu,mchapakazi,anayejitambua,asiyeyumbishwa,mtu makini. Tanzania niitakayo naiona ileeee inakuja na Maghufuli, huyo lofa wenu bakini naye malofa wenzie.
 
Yaaaaaahhh MALOFA KATIKA UBORA WETU.
1442833278863.jpg katoroka sijui wew unangoja nini
 
Ukitaka kujua kama mtu anajitambua angalia mgombea anayemshabikia. Uwezo wa kupima hoja za wagombea jukwaani ni msingi mkuu wa kupata kiongozi bora DUNIA NZIMA. Ajabu kwa mara ya kwanza katika historia ya vyama vingi DUNIANI, Tanzania imepata mgombea asiyeweza hata kujenga hoja kwa sekunde ishirini tu, na ajabu zaidi mashabiki wake wanajipambunua kuwa wenye hekima tele. Hata hivyo hakuna mwendawazimu anayejitambua kuwa hivyo, kwani hata wenye hekima wakimweleza ukweli kuhusu uendawazimu wake, hugeuka mbogo
 
Kwa wanaojitambua, na wanaohitaji mabadiliko ya kweli.
 
Attachments

  • 1442833865693.jpg
    1442833865693.jpg
    40.8 KB · Views: 148
  • 1442833890681.jpg
    1442833890681.jpg
    39.2 KB · Views: 144
  • 1442833919588.jpg
    1442833919588.jpg
    45.2 KB · Views: 145
  • 1442833936579.jpg
    1442833936579.jpg
    52.3 KB · Views: 144
Mwaka huu manyumbu wataishia kutanua vidole badala ya kutanua akili. Lowasa ni jangaaaa shtukeni vijana mnaangamia

Hahahaaaa! Nimeipenda hiyo, wanatanua vidole badala ya kutanua akili, huo muunganiko wao wa gest ndio wanaotaka waunde nao serikali? Serikali ya aina gani hiyo!! Wao wenyewe hawana uhakika na wanachokishabikia alafu wanataka kuendesha nchi!!
 
Ukitaka kujua kama mtu anajitambua angalia mgombea anayemshabikia. Uwezo wa kupima hoja za wagombea jukwaani ni msingi mkuu wa kupata kiongozi bora DUNIA NZIMA. Ajabu kwa mara ya kwanza katika historia ya vyama vingi DUNIANI, Tanzania imepata mgombea asiyeweza hata kujenga hoja kwa sekunde ishirini tu, na ajabu zaidi mashabiki wake wanajipambunua kuwa wenye hekima tele. Hata hivyo hakuna mwendawazimu anayejitambua kuwa hivyo, kwani hata wenye hekima wakimweleza ukweli kuhusu uendawazimu wake, hugeuka mbogo

Sasa hivi tunataka mtu anayeongea kidogo tu ila ni mtendaji zaidi.Viongozi wote waliojua kujenga hoja wameifanyia nini nchi hii cha maana hadi kufikia leo?Tatizo la mgao wa umeme duniani umebaki Tanzania tu.
 
Hata mimi nimegundua wanaomshabikia sawalo kundi kubwa ni wale walifeli maisha yaani kabavi na walalahoi kama wale waliomuingiza Adolf Hitler madarakani
 
Tuwaacheni wapumua na tuwape matumaini msije mkawaua ccm kwa presha
 
Sasa hivi tunataka mtu anayeongea kidogo tu ila ni mtendaji zaidi.Viongozi wote waliojua kujenga hoja wameifanyia nini nchi hii cha maana hadi kufikia leo?Tatizo la mgao wa umeme duniani umebaki Tanzania tu.

Huyo mnaemtaka ameshatenda lipi la maana la kumpima kwalo? Sasa mchague Maghufuli na hayo unayoyaota yatakuwa ndoto.
 
Mwaka huu manyumbu wataishia kutanua vidole badala ya kutanua akili. Lowasa ni jangaaaa shtukeni vijana mnaangamia

Anza dozi mapemaa
 
Attachments

  • 1442836888755.jpg
    1442836888755.jpg
    31.4 KB · Views: 110
Back
Top Bottom