Wanaoishabikia CCM

Wanaoishabikia CCM

Ukitaka kujua kama mtu anajitambua angalia mgombea anayemshabikia. Uwezo wa kupima hoja za wagombea jukwaani ni msingi mkuu wa kupata kiongozi bora DUNIA NZIMA. Ajabu kwa mara ya kwanza katika historia ya vyama vingi DUNIANI, Tanzania imepata mgombea asiyeweza hata kujenga hoja kwa sekunde ishirini tu, na ajabu zaidi mashabiki wake wanajipambunua kuwa wenye hekima tele. Hata hivyo hakuna mwendawazimu anayejitambua kuwa hivyo, kwani hata wenye hekima wakimweleza ukweli kuhusu uendawazimu wake, hugeuka mbogo

1442837197088.jpg
 
Hata mimi nimegundua wanaomshabikia sawalo kundi kubwa ni wale walifeli maisha yaani kabavi na walalahoi kama wale waliomuingiza Adolf Hitler madarakani

Magufuli mwisho mlangoniiii...
Lowasaaaaaaa vunja kofuli ng'oa kitasa ingia ndani mwaga pombee.
Tukutane oct25
 
Sasa hivi tunataka mtu anayeongea kidogo tu ila ni mtendaji zaidi.Viongozi wote waliojua kujenga hoja wameifanyia nini nchi hii cha maana hadi kufikia leo?Tatizo la mgao wa umeme duniani umebaki Tanzania tu.

Wamezoea sera za uongo
 
Hahahaaaa! Nimeipenda hiyo, wanatanua vidole badala ya kutanua akili, huo muunganiko wao wa gest ndio wanaotaka waunde nao serikali? Serikali ya aina gani hiyo!! Wao wenyewe hawana uhakika na wanachokishabikia alafu wanataka kuendesha nchi!!

1442837555587.jpg
 

Umasikini hupunguzwa tu hauishi! Hata america imeshindwa kuondoa umasikini pamoja na kuchota rasilimali za wenzao seuse tz, so tulieni umasikini unazidi kupunguzwa, haraka haraka haina baraka, huko kukurupuka kwenu mkauzwe wenyewe sisi hatuuziki wala kununulika.
 
umasikini hupunguzwa tu hauishi! Hata america imeshindwa kuondoa umasikini pamoja na kuchota rasilimali za wenzao seuse tz, so tulieni umasikini unazidi kupunguzwa, haraka haraka haina baraka, huko kukurupuka kwenu mkauzwe wenyewe sisi hatuuziki wala kununulika.

ccm out...
Ukawa in.
Oct 25
 
Sijui wanatumia kegezo gani kujua wanaakili kuliko wengine siasa zimeingiliwa
 
Back
Top Bottom