Wanaoisema vibaya serikali mitandaoni kukiona

Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi Mh Hamad Masauni, amewaonya wale wote wanaoisema vibaya serikali ya awamu ya 6 Mitandaoni, ambapo ameliomba jeshi la polisi kuimarisha mifumo yake (ya utambuzii) kwa kushirikiana mamlaka zingine ili kukomesha jambo hilo.

Mh. Masauni amesema wanazo Taarifa kwamba kuna watu wameandaana makundi ya vijana waliopewa kazi ya kutukana serikali mitandaoni.

Mh. Waziri ameyasema hayo wakati wa kumkaribisha Mh. Rais Samia Suluhu Hassan ili kufungua kikao cha viongozi wa polisi mkoani Kilimanjaro.

Kazi Iendelee.
Kwanza yeye arudi kwao Zanzibar hatutaki kuongozwa na watu wa kuja
 
ok, Huyu Masauni anafahamu katiba ya Jamhuri ya muungano au anatumia katiba ya Zanzibar?

Mwambieni Masauni alikuwepo Ole Sabaya na Ally Happy wao waliapa kuwashughulikia viongozi na Raia yeyote anayemsema Rais wa wakati huo vibaya, Ally Happy alienda mbali na kusema Yeye ni mtu hatari, Sasa Leo uhatari wake akafanyie huko Ukraine au Afaghanstan

Mwambieni Masauni watu hatari na wenye vitisho wanahitajika huko na Putin wakapigane mstari wa mbele dollar 7000 na mstari wa nyuma dollar 3500, Kama hana jipya kwenye uongozi apishe watu Wengine asitake kufunga watu midomo ya kuongea na Kutengeneza Taifa linalogawanyika

Mwambieni huku bara katiba inaruhusu watu kuongea wanachotaka bali wasivunje sheria, Mwambieni Zanzibar watu wa huku bara wanatubania ardhi ya kujenga

Mwambie Masauni kuna mambo ya msingi ya kuelimisha watu wake kama PGO, Atumie muda kuwaelekeza watu wake mambo ya PGO na kutenda haki

Mwambieni Masauni awe anasikiliza kauli za Rais kuwa Jeshi la polisi lishughulike na mambo yake ya msingi wasitoke kwenye lengo la kuanzisha Jeshi la polisi

Hivi watu bado hawakujifunza awamu ya tano ya JPM kuwa haya mambo yalitengeneza chuki mpaka kwa mara ya kwanza watanzania wakaanza kufurahia vifo vya viongozi wa kisiasa

Hapa JF tu watu walitoa kauli za kuombea Viongozi wafe kwa korona. Na viongozi waliokufa watu walishangilia

Angekuwa mkristu masauni ningesema kwanini Wagalatia mna roho ngumu na mmeweka pamba masikioni

Sasa huyu ustadh Masauni ameshaanza kupandisha mabega tena, Naona Masauni Mabega yameanza kupanda sasa

Tumkumbushe masauni alikuwepo Kangi Lugola yeye alivaa mpaka bendera ya Taifa na alitembea na ilani mitaani kama anaeneza injili

Hiyo wizara Kangi Lugola alishona suti zenye Rangi ya bendera ya Taifa

Ni muhimu viongozi wakakumbuka nchi imepita wakati gani

Hawa watu mambo yakiwa magumu wanaanza kuwalilia viongozi wa dini wawashauri wananchi

Masauni aache viongozi wa dini wapumzike, Tumechoka na makongamano ya Amani kila wakati na upatanisho wa kisiasa

Rais alishasema watu waongee, Yeye ameshajisahau anaingilia mamlaka ya Rais

Mwambieni Masauni mabega hayakuzidi kichwa

Mwambieni Masauni Ally Happy aliapa atawafundisha adabu akina Jakaya Kikwete na wastaafu kisa walitoa maoni yao kuhusu maoni hayapigwi Lungu

Mawaziri mjikite kwenye mambo ya msingi yenye kuleta mabadiliko, Mambo ya kufukuzana na watu wanaotoa maoni hasi kama Panya Buku huko Twitter, Clubhouse, Facebook sio lengo la Rais Samia

Kangi Lugola alitumia miaka yote kumfukuzia Kigogo wa Twitter haya sasa kigogo huyo huyo Leo ni mwana ccm kuliko Kangi Lugola, Maoni hayapigwi Lungu( By Jakaya Kikwete)

Mwambieni Masauni tunahitaji gharama alizotumia Kangi Lugola kumtafuta Kigogo wa Twitter,

Watu Wanalalamika tozo, Masauni anaongelea kuingia gharama za kuweka mifumo ya watu wanaomtania na kumsema Rais Samia

Mwambieni Masauni asitumie tozo za wananchi kwa mambo ya utani, kejeli na masihara mtandaoni ya wananchi kwa Rais wao
Huyu Masauni hatumtaki huku bara arudi kwao Zanzibar akaongoze wazanzibari wenzake
 
Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi Mh Hamad Masauni, amewaonya wale wote wanaoisema vibaya serikali ya awamu ya 6 Mitandaoni, ambapo ameliomba jeshi la polisi kuimarisha mifumo yake (ya utambuzii) kwa kushirikiana mamlaka zingine ili kukomesha jambo hilo.

Mh. Masauni amesema wanazo Taarifa kwamba kuna watu wameandaana makundi ya vijana waliopewa kazi ya kutukana serikali mitandaoni.

Mh. Waziri ameyasema hayo wakati wa kumkaribisha Mh. Rais Samia Suluhu Hassan ili kufungua kikao cha viongozi wa polisi mkoani Kilimanjaro.

Kazi Iendelee.
Huyu bwege majununi anaelewa kwamba watu kuisema vibaya serikali ni haki ya kikatiba?

Anaelewa kwamba serikali inahitaji mrejesho kutoka kwa watu ili ijue wapi ijiongeze?

Anaelewa kwamba serikaki kuwabana watu wasiiseme vibaya serikali ni kuwashurutisha watu wawapige risasi viongozi na kuleta mapinduzi ya kumwaga damu?
 
Kuna wimbo mmoja wa Marehemu Marijan una maneno yafuatayo;
"Kila mtenda wema atakumbukwa kwa wema, na kila mtenda uovu atapata laana"
Ni unafiki mkubwa mtenda wema kumsema vibaya, hivyohivyo mtenda uovu kumsema vizuri!
 
Asante
 
Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi Mh Hamad Masauni, amewaonya wale wote wanaoisema vibaya serikali ya awamu ya 6 Mitandaoni, ambapo ameliomba jeshi la polisi kuimarisha mifumo yake (ya utambuzii) kwa kushirikiana mamlaka zingine ili kukomesha jambo hilo.

Mh. Masauni amesema wanazo Taarifa kwamba kuna watu wameandaana makundi ya vijana waliopewa kazi ya kutukana serikali mitandaoni.

Mh. Waziri ameyasema hayo wakati wa kumkaribisha Mh. Rais Samia Suluhu Hassan ili kufungua kikao cha viongozi wa polisi mkoani Kilimanjaro.

Kazi Iendelee.
Aibu kubwa kwa serikali Kama hii na viongozi wake wanatoa hoja kwa mihemko tu. Hawataki kukosolewa kwani wako ni miungu watu au viongozi wetu
 
Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi Mh Hamad Masauni, amewaonya wale wote wanaoisema vibaya serikali ya awamu ya 6 Mitandaoni, ambapo ameliomba jeshi la polisi kuimarisha mifumo yake (ya utambuzii) kwa kushirikiana mamlaka zingine ili kukomesha jambo hilo.

Mh. Masauni amesema wanazo Taarifa kwamba kuna watu wameandaana makundi ya vijana waliopewa kazi ya kutukana serikali mitandaoni.

Mh. Waziri ameyasema hayo wakati wa kumkaribisha Mh. Rais Samia Suluhu Hassan ili kufungua kikao cha viongozi wa polisi mkoani Kilimanjaro.

Kazi Iendelee.
Wanaisema vibaya serikali au wanaikosoa? Vp huyu waziri. Ndio anataka kuwafunga watu midomo wasitoe kilicho moyoni?
Asali wanalamba wao halafu wamewasahau wananchi ... hata kulia wasilie?
 
ok, Huyu Masauni anafahamu katiba ya Jamhuri ya muungano au anatumia katiba ya Zanzibar?

Mwambieni Masauni alikuwepo Ole Sabaya na Ally Happy wao waliapa kuwashughulikia viongozi na Raia yeyote anayemsema Rais wa wakati huo vibaya, Ally Happy alienda mbali na kusema Yeye ni mtu hatari, Sasa Leo uhatari wake akafanyie huko Ukraine au Afaghanstan

Mwambieni Masauni watu hatari na wenye vitisho wanahitajika huko na Putin wakapigane mstari wa mbele dollar 7000 na mstari wa nyuma dollar 3500, Kama hana jipya kwenye uongozi apishe watu Wengine asitake kufunga watu midomo ya kuongea na Kutengeneza Taifa linalogawanyika

Mwambieni huku bara katiba inaruhusu watu kuongea wanachotaka bali wasivunje sheria, Mwambieni Zanzibar watu wa huku bara wanatubania ardhi ya kujenga

Mwambie Masauni kuna mambo ya msingi ya kuelimisha watu wake kama PGO, Atumie muda kuwaelekeza watu wake mambo ya PGO na kutenda haki

Mwambieni Masauni awe anasikiliza kauli za Rais kuwa Jeshi la polisi lishughulike na mambo yake ya msingi wasitoke kwenye lengo la kuanzisha Jeshi la polisi

Hivi watu bado hawakujifunza awamu ya tano ya JPM kuwa haya mambo yalitengeneza chuki mpaka kwa mara ya kwanza watanzania wakaanza kufurahia vifo vya viongozi wa kisiasa

Hapa JF tu watu walitoa kauli za kuombea Viongozi wafe kwa korona. Na viongozi waliokufa watu walishangilia

Angekuwa mkristu masauni ningesema kwanini Wagalatia mna roho ngumu na mmeweka pamba masikioni

Sasa huyu ustadh Masauni ameshaanza kupandisha mabega tena, Naona Masauni Mabega yameanza kupanda sasa

Tumkumbushe masauni alikuwepo Kangi Lugola yeye alivaa mpaka bendera ya Taifa na alitembea na ilani mitaani kama anaeneza injili

Hiyo wizara Kangi Lugola alishona suti zenye Rangi ya bendera ya Taifa

Ni muhimu viongozi wakakumbuka nchi imepita wakati gani

Hawa watu mambo yakiwa magumu wanaanza kuwalilia viongozi wa dini wawashauri wananchi

Masauni aache viongozi wa dini wapumzike, Tumechoka na makongamano ya Amani kila wakati na upatanisho wa kisiasa

Rais alishasema watu waongee, Yeye ameshajisahau anaingilia mamlaka ya Rais

Mwambieni Masauni mabega hayakuzidi kichwa

Mwambieni Masauni Ally Happy aliapa atawafundisha adabu akina Jakaya Kikwete na wastaafu kisa walitoa maoni yao kuhusu maoni hayapigwi Lungu

Mawaziri mjikite kwenye mambo ya msingi yenye kuleta mabadiliko, Mambo ya kufukuzana na watu wanaotoa maoni hasi kama Panya Buku huko Twitter, Clubhouse, Facebook sio lengo la Rais Samia

Kangi Lugola alitumia miaka yote kumfukuzia Kigogo wa Twitter haya sasa kigogo huyo huyo Leo ni mwana ccm kuliko Kangi Lugola, Maoni hayapigwi Lungu( By Jakaya Kikwete)

Mwambieni Masauni tunahitaji gharama alizotumia Kangi Lugola kumtafuta Kigogo wa Twitter,

Watu Wanalalamika tozo, Masauni anaongelea kuingia gharama za kuweka mifumo ya watu wanaomtania na kumsema Rais Samia

Mwambieni Masauni asitumie tozo za wananchi kwa mambo ya utani, kejeli na masihara mtandaoni ya wananchi kwa Rais wao
Masuni ni dishi Ni ndumioakiwili mla rushwa Malaya wa kisiasa kahaba wakisiasa Hana jpya Ni changudoa wa kisisas

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom