Wanaoisema vibaya serikali mitandaoni kukiona

Waziri usituletee police state, respect you earn sio kulazimisha

Wametengeneza vikundi fake vya kuwasifia kila mahali wakipita kwenye mikutano na hafla zao ili waonekane wanakubalika, lakini kila wakiingia mitandaoni kwenye maoni huru hawaoni wakisifiwa. Hali hii inawaachia na msongo wa mawazo, hivyo inabidi watumie vitisho vya dola kutengeneza upendo wa hofu.
 
Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi Mh Hamad Masauni , amewaonya wale wote wanaoisema vibaya serikali ya awamu ya 6 Mitandaoni , ambapo ameliomba jeshi la Polisi kuimarisha mifumo yake (ya utambuzii) kwa kushirikiana mamlaka zingine ili kukomesha jambo hilo .

Mh Masauni amesema wanazo Taarifa kwamba kuna watu wameandaana makundi ya vijana waliopewa kazi ya kutukana serikali mitandaoni .

Mh Waziri ameyasema hayo wakati wa kumkaribisha Mh Rais Samia Suluhu Hassan ili kufungua Kikao cha viongozi wa Polisi Mkoani Kilimanjaro .

Kazi Iendeleeee .
Hamad masauni sini mmojawapo ya WAISIHARAMU sasa muisiharamu anataka kutufundisha nidhamu na haki mod futeni huu uzi wa kifedhuri haraka sana wahuni wa chama na serikali wanataka kutunyea hadi midomoni
 
Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi Mh Hamad Masauni , amewaonya wale wote wanaoisema vibaya serikali ya awamu ya 6 Mitandaoni , ambapo ameliomba jeshi la Polisi kuimarisha mifumo yake (ya utambuzii) kwa kushirikiana mamlaka zingine ili kukomesha jambo hilo .

Mh Masauni amesema wanazo Taarifa kwamba kuna watu wameandaana makundi ya vijana waliopewa kazi ya kutukana serikali mitandaoni .

Mh Waziri ameyasema hayo wakati wa kumkaribisha Mh Rais Samia Suluhu Hassan ili kufungua Kikao cha viongozi wa Polisi Mkoani Kilimanjaro .

Kazi Iendeleeee .
Mkuu, utapona kweli? Maana ndio shughuli yako hapa jf
 
Watu wakishavimbiwa mihogo ndo wanakuwa hivi.
Kwa kawaida mtu hawezi kuisema vibaya Serikali kama Serikali yenyewe haijaanza kuwatendea Wananchi wake Mambo yanayowaumiza kama vile Tozo.
Mimi namshauri, badala kubaki kukimbizana na vijitu vidogo vidogo mitaani, aiambie Serikali irekebishe yale yanayolalamikiwa na Wananchi.
 
Masauni , wambie hao Polisi waache kifukuza pikipiki.

Leo hii Kangi hakumbukwi kwa kutembea na ilani Wala hakumbukwi kwa kuvaa kininja Bungeni, anakumbukwa kwa Tamko lake la kukemea uporaji wapikipiki za wa nyonge, ulio kua ukifanywa na jeshi la Polisi .
Huo uhuni emlejea Tena na Masauni Yuko kimya , Huku akuhangaika na mitandao.

Namshauli Masauni aunde kitengo maalum Cha kukanusha na kuonesha kile kilicho sahihi.
 
Hii serikali inayosemwa ni ipi hasa, maana shutuma au tuhuma nyingi humu huwa zinaelekezwa kwa walengwa moja kwa moja. Sasa kama kuna watu ambao wao wanajipambanua kama serikali badala ya watu binafsi basi sawa.....
 
Masauni , wambie hao Polisi waache kifukuza pikipiki.

Leo hii Kangi hakumbukwi kwa kutembea na ilani Wala hakumbukwi kwa kuvaa kininja Bungeni, anakumbukwa kwa Tamko lake la kukemea uporaji wapikipiki za wa nyonge, ulio kua ukifanywa na jeshi la Polisi .
Huo uhuni emlejea Tena na Masauni Yuko kimya , Huku akuhangaika na mitandao.

Namshauli Masauni aunde kitengo maalum Cha kukanusha na kuonesha kile kilicho sahihi.
Hivi ile ilani ya Kangi Lugora bado ipo ?
 
Back
Top Bottom