Wanaoiponda na kuidharau UDOM

Wanaoiponda na kuidharau UDOM

Nimefuatilia kwenye mitandao kadhaa, kuanzia facebook, Watsap, JF nk. Inaonekana graduate wa Udom wanadharaulika sana, nini sababu?
 
Nimefuatilia kwenye mitandao kadhaa, kuanzia facebook, Watsap, JF nk. Inaonekana graduate wa Udom wanadharaulika sana, nini sababu?
labda sababu ya ile dhana ya kukiita kile ni chuo cha kata...
 
Si kweli, nimeshafanya kazi na vijana 3, wanawake wawili na mwanaume mmoja, wako vizuri mbona!!
 
Twende Mbele turudi nyuma jamani kati ya course zinazofundishwa vizuri UDOM Education ni Moja wapo, Mwl. Aliyesoma Udom yuko vizuri sana kwenye kuwa committed na kazi yake
 
Haya mambo ndio yanayotufanya tubaki hapa Nchi hii imekosa watu wanaoamini kwenye "professionalism" kila kitu ni siasa na maneno mengi Uzi huu kwa namna moja au nyingine hautasaidia kuipeleka mbele Elimu ya nchi zaidi utaendeleza kelele "za Nani zaidi" tusome na tutumie Elimu yetu kwa manufaa ya Jamii zetu tutokapo sio kuanza linganisha taasisi za elimu wakati wote tunafundishwa Kukariri,kufanya mtihani na Kufaulu baada ya hapo tunarudi mtaani kuhangaika na Ajira za kuajiriwa tubadilikeni sisi tunaoitwa "wasomi" wa nchi hii Elimu yetu ni duni bado
 
Back
Top Bottom