Wanaoiponda na kuidharau UDOM

Wanaoiponda na kuidharau UDOM

LOVEMEMBE,TUMAIN c ya kuilinganisha na UDOM kailinganishe na Akina TEKU,KAMPALA,SEKUKO,SAUT,OPEN na wengine wa saiz yak
 
Kumbe nawewe ni kibaraka? twambie hapo kuna nini special zaidi ya majengo mapya? walimu wengi mmeazima toka UDSM kwa kigezo cha kuwapa uongozi wa idara nk na wakishindwa wanarudi.

Vyuo vikuu viko 3 tu UDSM, SUA na Muhimbili. Udom bado sanaaaa.

Upo sawa kabisa mkuu
 
Niseme tu wazi mimi nimesoma UDSM, Ila sifurahishwi na jinsi ambavyo wahitimu wa udom wanavyopewa upendeleo ktk soko ajira kwasasa kuliko vyuo vingine au upendeleo?

Hivi karibuni nilikuwa nchini Botswana na Korea, nilibahatika kukutana na vijana wa Kitanzia wanaofanya kwenye mashirika ya USAID na UN respectively, kwenye maongezi yetu nikawahoji mmesoma vyuo gani wakasema Udom.

Nilishtuka sana maana sikutegemea chuo kipya kama hiki kinaweza kutoa graduates makini, wakaniambia tatizo Tz tumekariri kwamba kusoma chuo fulani basi wewe ndio unajua kumbe waajiri wanaangalia competency.

Pia juzi kulikuwa na interview ya kazi kwenye ofisi zetu katika vijana 24 waliokuwa shortlisted kwa ajiri ya Oral 9 walikuwa UDOM, 5 udsm, 5 SAUT, 3 IFM, MZUMBE 1, MUCCOBS 1, na waliofanikiwa kupata ajira na wanaripoti kazini jumatatu ni watano, udom 3, saut 1 na Muccobs 1.

Wale wazungu waliokuwa wakifanya interview walisifu sana uwezo wa vijana wa udom.

Pia nimesikia watu wakilalamika kuwa si kweli udom wapo vizuri bali wanapendelewa tuu ili kuuza jina la chuo, je haya madai ni ya kweli wadau?

Source: Mujumba, 2014
 
ubora wa chuo hupimwa pia kwa kuangalia teaching staff yake...for udom PhD staff ni less than 20% unategemea ni product gani itakayotoka hapo? mostly ni masters na tutorial assistants uzoefu watautolea wapi hata kama wana miundo mbinu bora zaidi! Tuwe wakweli udom ina safari ndefu sana ya kujiimarisha labda after 10yrs! 2007 nilipata nafasi ya kusoma information system science, sikwenda kwa kutambua ukweli huo..zaidi siasa nyingi kuliko taaluma........ mwanafunzi wa chuo anasimama dirishani kusikiliza lecture yet hamuoni tatizo........?

ungejitahidi kuongea ukwel ningekuunga mkono ila ni mnafiki na mlopokaji ulipata wap taarifa hivo za kuwa PHD udom ni less than 20 usitafute umaarufu kwa kuongea uwongo sema ww n kati ya waliotimuliwa ktk deprt hiyo mm deprt niliyosoma prof, dr ndo zimejaa labda pia ungekuwa specific n deprts gan? Pia ulifapata wap data hizo maana ni uwongo wenye wivu kabisa ktk maandishi yako
 
Mkuu, naamini wewe ni msomi, kwenye hiyo comment yako unasema wanoponda UDOM either wame FUKUZWA CHUO, DISCO,au WAMEOMBA WAKAKOSA. Hiv mkuu labda wewe unalichukuliaje suala la mtu kufukuzwa chuo akiwa katika level ya chuo kikuu, Ninasoma UDOM na ki ukweli sio kwamba ninawasaport wanaoiponda UDOM ila pia nakubali kwamba chuo chetu kuna wakati wanafanya maamuzi locally without deep reasoning.
 
Mimi nipo UDOM ,nasoma BED (in arts), niliingia na division II ya pts10, advance nimesoma Ilboru (2011/2013) ....reference ACSEE 2013 S0110/0508

sasa kwanini uliomba kusomea chuo cha kata..?!
 
Yaani mtu badala ya kutafakari maisha yake na familia, yeye anakaa kuponda chuo!!!!!!!

Ni ujinga tu ndo watanzania tunaendekeza, badala ya kujadili mambo ya msingi mijitu inajadili chuo!!!!!

Kama wewe una akili sana si uanzishe chuo chako????

Bado tuna safari ndefu sana kwa mawazo ya hii mijitu ya tanzania.
 
Huoni hata uandishi wako umekaa ki udom udom
 
Me nimesoma UDOM na nimekuwa kiongozi wa UDOSO nina ifaham fika,wanaiponda udom ni,wanafunzi waliofukuzwa chuo kwa migomo,kundi la waliokosa nafasi za kazi hapo udom,waliodisco hapo hasa collage ya informatic and virtual education,na wafuasi wa chadema ambao wanataka kukwamisha juhudi za serikari.Nakalibisha maswali kama yapo

Umeandika kwa jazba na unaonyesha ni jinsi gani uelewa wako ni mdogo sielewi ulikuwa kiongozi wa namna gani wew chadema inahusiana nini na umbulula wenu
 
Ivi inakuaje mwanafunzi wa ifm,cbe,mzumbe,tia,iaa,tumaini,kampala,muccobs,saut et al nae anakua na kiburi cha kuiponda udom?bora kidogo hata waongee wa udsm na sua.
 
Udom ll continue to shine as opponents keep discussing nosense.nadhani mngekuwa na busara mngejadili zaidi namna ya kuifanya elimu ya vyuo vyeti vikuu kuwa ya vitendo zaid kuliko notes.hii itasaidia zaidi kutanua soko la ajira.pia ukitaka kuwa mdadisi mzuri usijae upepo na kukosoa mwenzako bali jenga hoja yako ishinde na si kumpinga.
 
Niseme tu wazi mimi nimesoma UDSM, Ila sifurahishwi na jinsi ambavyo wahitimu wa udom wanavyopewa upendeleo ktk soko ajira kwasasa kuliko vyuo vingine au upendeleo?

Hivi karibuni nilikuwa nchini Botswana na Korea, nilibahatika kukutana na vijana wa Kitanzia wanaofanya kwenye mashirika ya USAID na UN respectively, kwenye maongezi yetu nikawahoji mmesoma vyuo gani wakasema Udom.

Nilishtuka sana maana sikutegemea chuo kipya kama hiki kinaweza kutoa graduates makini, wakaniambia tatizo Tz tumekariri kwamba kusoma chuo fulani basi wewe ndio unajua kumbe waajiri wanaangalia competency.

Pia juzi kulikuwa na interview ya kazi kwenye ofisi zetu katika vijana 24 waliokuwa shortlisted kwa ajiri ya Oral 9 walikuwa UDOM, 5 udsm, 5 SAUT, 3 IFM, MZUMBE 1, MUCCOBS 1, na waliofanikiwa kupata ajira na wanaripoti kazini jumatatu ni watano, udom 3, saut 1 na Muccobs 1.

Wale wazungu waliokuwa wakifanya interview walisifu sana uwezo wa vijana wa udom.

Pia nimesikia watu wakilalamika kuwa si kweli udom wapo vizuri bali wanapendelewa tuu ili kuuza jina la chuo, je haya madai ni ya kweli wadau?

Source: Mujumba, 2014

miak michache ijayo UDOM wataifaham hat wasoijua
 
Kwa hiyo kila anayeandika mwaka na degree programme anayosoma ni dhahiri kadhibitisha kuwa yeye ni mwanachuo wa "UDOM"? Yaan hivi ndiyo umedhibitisha??
Okay wacha tuamini wewe ni mwanafunzi wa UDOM, rudi katika posti yako. Isome vizuri utagundua kuwa wewe ni mmoja wa wanaokifanya chuo kitajwe hivyo uonavyo!!

nahisi ulitamn kuwepo udom mkuu ila ndo hvyo ten
 
MARANGU,huo ndio ukwel,kitab kiko tait hiv,sap,carryover,disco njenje,af mtu anasema wanapewa alama!Inaleta hasira sana

Kitabu simple kiko UDSM we toka UDOM huko acha kujitesa mkuu nenda UDSM pale CoICT,CoNAS na CoET nakwambia ni mteremko kinomaaaaaaaa
 
Waache wapayuke wee mi nakula msuli nipo collage of earth science tukutane kwenye interview !!!!!!!
 
Waache wapayuke wee mi nakula msuli nipo collage of earth science tukutane kwenye interview !!!!!!!

cku ya cku tukitembea udom wataona moto wake,
maan sahv ni introduction kuonyesh ndo tumezaliwa juzi. but cku tukimbea na kukimbia itakuw zaid ya hapa.
 
Udom iligubikwa na kashfa hizo ilipoanza kupokea wanafunz mwaka 2007/2008,2008/2009,2009/2010,..Mm bnafs nmesoma hapo kwny miaka hyo,hzo shda zilikuwepo bt zilikua zikienda znapungua mwaka had mwaka...khs la walimu vilaza na wanafunz kupewa maks ni Upotoshaji wa hali ya JUU
 
Back
Top Bottom