ndechilio shoo
JF-Expert Member
- Feb 16, 2013
- 997
- 365
Mwanafunzi wa chuo kikuu au aliyesoma chuo kikuu hawezi leta mada iliyoandikwa kama ilivyoandikwa hii (tena akiwa anajaribu kutetea elimu inayotolewa na chuo chake). Mleta mada nawasiwasi kama wewe ni mwanachuo au uliwahi kuwa mwanachuo.
Lakini kama kweli wewe ni mwanachuo au uliwahi kuwa mwanachuo, nashawishika kuamini kuwa sio wa chuo ulichotaja (UDOM), isipokuwa unajitahidi kukichafua kwa kutumia "maudhui ya mada yako" na uandishi wako ambao ni "very poor".
Mwisho, ukitaka mada yako iwe tamu, dhibitisha kuwa "wewe ni mwanafunzi au uliwahi kuwa mwanafunzi wa UDOM"
Ni kweli kwamba wanaoleta mada hapa sio wanafunzi wa Udom wengi wanataka kupata umaharufu JF mfano ukitaka kuwa maalufu hapa TZ ichafue chadema,au ikosoe CCM,mfano dhahiri kwamba Wasichana wanaojiuza dodoma mjini wakiojiwa husema wanasoma udom ili kutaka kutoa taarifa ili alipwe,na kwa kuwa taharuma ya habari Tz bado ni changa na ineingiwa na siasa basi hupenda kuandika taarifa chafu,hivi inaingia akilini msomi kujiuza na kujitangaza?hata wa UDSM hujiuza na nina ushaidi kabisa na nipo karibu na chuo ila hawezi kujitangaza,nitoe wito Msomi usikubari kutumika kwa mtaji wa siasa unadharaulika sana