Wanaoiponda na kuidharau UDOM

Wanaoiponda na kuidharau UDOM

Kumbe nawewe ni kibaraka? twambie hapo kuna nini special zaidi ya majengo mapya? walimu wengi mmeazima toka UDSM kwa kigezo cha kuwapa uongozi wa idara nk na wakishindwa wanarudi.

Vyuo vikuu viko 3 tu UDSM, SUA na Muhimbili. Udom bado sanaaaa.

sasa ndg yang we UDOM inamiak 7 tang ianzshwe wakat UDSM ina miak 50 had sas kam ckosei, so unadhan UDOM itakuw imedhalish walimu wa kutosh mpak sas? Huoni kuw UDOM ndo inatambaa?
Iwej unalinganish babu na mjukuu? Inawezekan? Acha kujb kw ushabk we angalia uhalicia
 
Mwanafunzi wa chuo kikuu au aliyesoma chuo kikuu hawezi leta mada iliyoandikwa kama ilivyoandikwa hii (tena akiwa anajaribu kutetea elimu inayotolewa na chuo chake). Mleta mada nawasiwasi kama wewe ni mwanachuo au uliwahi kuwa mwanachuo.
Lakini kama kweli wewe ni mwanachuo au uliwahi kuwa mwanachuo, nashawishika kuamini kuwa sio wa chuo ulichotaja (UDOM), isipokuwa unajitahidi kukichafua kwa kutumia "maudhui ya mada yako" na uandishi wako ambao ni "very poor".
Mwisho, ukitaka mada yako iwe tamu, dhibitisha kuwa "wewe ni mwanafunzi au uliwahi kuwa mwanafunzi wa UDOM"

najua katk kuwaza kwako ndo kumepelekea ukaw na wasiwasi, yah mi nko UDOM naingia 3rd year na kozi nisomayo ni BED ADMAN( Bach of Ed in administration nd management).
Sema kingne nkujb.
 
Me nimesoma UDOM na nimekuwa kiongozi wa UDOSO nina ifaham fika,wanaiponda udom ni,wanafunzi waliofukuzwa chuo kwa migomo,kundi la waliokosa nafasi za kazi hapo udom,waliodisco hapo hasa collage ya informatic and virtual education,na wafuasi wa chadema ambao wanataka kukwamisha juhudi za serikari.Nakalibisha maswali kama yapo

Acha fikra mgando! CDM wanaingiaje kwenye udhaifu wa taasisi ya chuo? CDM ndio wanaomuongoza Mlacha na madudu yake? Udhaifu wa taasisi yeyote ni uongozi. Vipi competencies ya wahitimu,vipi soko la ajira? Wewe umepiga sheria yako ya udom una first class mwenzio anayo ya udsm upper second kwenye taasisi nyingi za umma wewe utabaki! UDOM uongozi wao umeingia siasa ndio taabu hiyo.
 
Hawa wat wanaopost thread nakujiita wako udom,waache kuweweseka na hili jina,kwa kufukuzwa/kudisco/au kuikosa kwao.
 
najua katk kuwaza kwako ndo kumepelekea ukaw na wasiwasi, yah mi nko UDOM naingia 3rd year na kozi nisomayo ni BED ADMAN( Bach of Ed in administration nd management).
Sema kingne nkujb.

Kwa hiyo kila anayeandika mwaka na degree programme anayosoma ni dhahiri kadhibitisha kuwa yeye ni mwanachuo wa "UDOM"? Yaan hivi ndiyo umedhibitisha??
Okay wacha tuamini wewe ni mwanafunzi wa UDOM, rudi katika posti yako. Isome vizuri utagundua kuwa wewe ni mmoja wa wanaokifanya chuo kitajwe hivyo uonavyo!!
 
UDOM ni mti wenye matunda, hauogopi kupigwa mawe, ubaya wao wengi Kayumba, elimu wameitupa sandakarawe. Mimi na mengi nayajua, Ila nyinyi watemi mtaanzisha tata, kazi yao kusifia Ud bora mi ninyamaze msinige mawe. Kalieni kuropoka kuhusu chuo bora watu tunakula good time na elimu za vyuo mnavyo viita vya kata. Ujanja ni kitaa ukiwa unakula boom utapata muda mwingi wa kuropoka, maliza chuo uje kwenye bomu la ajira, pia utafsiri ulichokisoma ili ujiajiri mwenyewe ndio utafyata mkia.
 
Kwa hiyo kila anayeandika mwaka na degree programme anayosoma ni dhahiri kadhibitisha kuwa yeye ni mwanachuo wa "UDOM"? Yaan hivi ndiyo umedhibitisha??
Okay wacha tuamini wewe ni mwanafunzi wa UDOM, rudi katika posti yako. Isome vizuri utagundua kuwa wewe ni mmoja wa wanaokifanya chuo kitajwe hivyo uonavyo!!

Unatak nithibitishe kwa vgezo gani mkuu? Au nkutumie evidence gan? bac chagua ushahd unaoutak nkupe!
 
UDOM ilidharalika kwa sababu ya kuchukua wanafunzi wenye grade za chini, komba komba

Njoo na ushahidi hapa, tafuta hata tcu guidebook uangalie udom inachukua points ngapi.

Acha ushabiki mkuu
 
Sasa Chadema ndo wamekifanya chuo.kisiwe bora na shaka na elimu.yako hyo ndo point ya kuongea umeingza siasa sana zaidi ya uhalisia na ndio.mana chuo konazidi kudharaulika mkipewa criticism mnasingizia siasa haya ndo majanga ndo mana Tanzania majority wana low IQ

Hizo criticism ziko exaggerated sana, ni kweli asemacho mdau hapo, chadema wanaiponda sana UDOM sijui kwa nini

Matatizo na changamoto ziko nyingi lakini si kama watu wanavyoandika humu

Haya ya maksi za bure, na kuchukua wanafunzi vilaza si kweli.

Kama kuna mtu ana ushahidi aweke hapa.
 
""not everyone can be a great person,bt great people can come from anywhere....u can be the best no matter where you are......""
UDOM au UDSM ni nn kama mtu mwenywe haujali, haujielewi n.k.. mleta uzi ZINDUKA
 
Well said mkuu
 
Henry clement,tulishawajua nyie,na wenzako akina sijui nn sr,niny c wanafunz wa udom,wababaishaj fulan hiv,
 
Henry clement,kama uko udom huwez andika uz hivo,bcz ungethibitisha kutokuwepo kwa hayo uliyoyaandika,ambao ndo ukwel.
 
Henry clement,ww kama uko udom unashindwa nn kupinga au kukubali mapunguf haya,et umebak neutral,ajab kwel.Heb jieshimu
 
Udom imekuwa udom mkuu
 
Huna hoja hasa unaposema hata muimbili ilitoka udsm. Kama hod wanaitwa mr. Hapo majanga matupu hapo ni sawa na teku, tumaini wamejirekebisha
 
LOVEMEMBE,ni dhamb baadh ya hod kuwa mr? mbona pia baadh ya dkrs and profs wabongo walioko hapa c hod,unadhan kwann?
 
LOVEMEMBEondoa habar za tumain hapa (?!) ,najua unasoma huko,wale ni private, wanaosoma serikalin,watakuwa wamenielewa !
 
Back
Top Bottom