Wanaoiponda na kuidharau UDOM

Wanaoiponda na kuidharau UDOM

Ryio

Member
Joined
Dec 5, 2013
Posts
80
Reaction score
11
Jaman wakuu nmekuw nkiwaza san hili suala la wa2 kuiponda UDOM kw mda mref, coz utackia ooh mara hamna cjui;
1. Maji hakuna
2. Walimu vilaza
3. Wanafeli sana
4. Chuo cha CCM
5. Vilaza
6. Wanafunzi wanapewa alama bure
7. Wanajiuza
8. Chuo cha kata

Huwa sielewi kabisa japo nipo hapa UDOM , naomb mwenye mawazo ya hekima na uelewa wa " KWANINi MAWE YOTE HAYA NI KWA UDOM TU?
 
Henry,hilo lakujiuza cna uhakika,ila hayo mengine,ni uzush mi nipo udom,cjawah kuyaona,atakaye ponda aweke data hapa.
 
Wanaoponda,wamefukuzwa chuo/wamedisco/wameomba wakakosa.Mtu timam hawez ponda UDOM hii ya sasa,chuo boraaaa!
 
Me nimesoma UDOM na nimekuwa kiongozi wa UDOSO nina ifaham fika,wanaiponda udom ni,wanafunzi waliofukuzwa chuo kwa migomo,kundi la waliokosa nafasi za kazi hapo udom,waliodisco hapo hasa collage ya informatic and virtual education,na wafuasi wa chadema ambao wanataka kukwamisha juhudi za serikari.Nakalibisha maswali kama yapo
 
MARANGU,huo ndio ukwel,kitab kiko tait hiv,sap,carryover,disco njenje,af mtu anasema wanapewa alama!Inaleta hasira sana
 
Jaman wakuu nmekuw nkiwaza san hili suala la wa2 kuiponda UDOM kw mda mref, coz utackia ooh mara hamna cjui;
1.maji hakuna
2.walimu vilaza
3.wanafeli san
4.chuo cha CCM
5.vilaza
6.wanafunz wanapewa alama bure
7.wanajiuza
8.chuo cha kata
eban mi huw cielew kbs japo npo hapa UDOM , naomb mweny mawazo ya hekim na uelew wa " KWA NIN MAWE YOTE HAYA NI KWA UDOM TU?"?
Pliiiiz ! Naomb japo mitazamo ya kisomi na so malumbano!

Hata akija wa Kampala International University naye atakuwa hivyo hivyo. Lazima atasifia cha kwake, wewe labda kama uko UDOM tuambie unasomea nini, uliingia na div gani na ulisomea wapi shule ya secondari?
 
Me nimesoma UDOM na nimekuwa kiongozi wa UDOSO nina ifaham fika,wanaiponda udom ni,wanafunzi waliofukuzwa chuo kwa migomo,kundi la waliokosa nafasi za kazi hapo udom,waliodisco hapo hasa collage ya informatic and virtual education,na wafuasi wa chadema ambao wanataka kukwamisha juhudi za serikari.Nakalibisha maswali kama yapo

Kumbe nawewe ni kibaraka? twambie hapo kuna nini special zaidi ya majengo mapya? walimu wengi mmeazima toka UDSM kwa kigezo cha kuwapa uongozi wa idara nk na wakishindwa wanarudi.

Vyuo vikuu viko 3 tu UDSM, SUA na Muhimbili. Udom bado sanaaaa.
 
Me nimesoma UDOM na nimekuwa kiongozi wa UDOSO nina ifaham fika,wanaiponda udom ni,wanafunzi waliofukuzwa chuo kwa migomo,kundi la waliokosa nafasi za kazi hapo udom,waliodisco hapo hasa collage ya informatic and virtual education,na wafuasi wa chadema ambao wanataka kukwamisha juhudi za serikari.Nakalibisha maswali kama yapo

Sasa Chadema ndo wamekifanya chuo.kisiwe bora na shaka na elimu.yako hyo ndo point ya kuongea umeingza siasa sana zaidi ya uhalisia na ndio.mana chuo konazidi kudharaulika mkipewa criticism mnasingizia siasa haya ndo majanga ndo mana Tanzania majority wana low IQ
 
walimu wenyewe wanasomea china kuna kitu kweli hapo?
 
Mr. Mohamed Mohamed Mjahid, Head of depart
Mr. Nixon Mtonyole head department of
[h=1]Department of Telecommunications and Computer Networ[/h]Mr. Hector Mongi, Head of department

hao ni mifano tu ya wakuu wa idara, kama wakuu wa idara wote ma-Mr unategemea walimu watakuweje huko? usanii mtumpu.
[h=1][/h]
 
Kusoma udom sio kwamba unagrade ya chini me nina One ya 8,na nimesoma seminary olevo,advance nimesoma shule za jeshi dar ndo home,Udom ni taasisi mpya ambayo imechukua wakufunzi kutoka UDSM na MZUMBE na SUA asilimia almost 60 na wengine ni Wahindi wenye level ya prof na PHD,kiendo cha udom kuchukua wanafunzi wengi kwa sababu kwamba chuo ni kikubwa sana na kuliko vyo vyote hapa TZ pili ni kwmba kina course nyingi ambazo zipo udom chuo kingine hapa Tz hakuna kwa mfano international relation,BA in korea,chinese nk,Ada ya udom ni ndogo ukilinganisha na vyuo vingine mfano ada unakuta hadi laki nane,mpaka kwa level ya mastaz ada ni nafuu ila itapanda very soon,ila kusoma udom ni kupenda tu kama watu wengine wanavyopenda udsm ila kama mnakumbuka udsm ilianzia rumumba,ardhi ilianzia udsm,mwimbili ilianzia udsm as the same udom imetokana na product za udsm mf upangagi wa Marks unit,mfumo wa ufundishaji nk, nakalibisha Maswali kama yapo
 
Yutong,ongea kama mtu timam,mtu akisoma china automatically anakuwa kilaza? Hapo ndo umejitambulisha vzr,real insane
 
Wanaoponda,wamefukuzwa chuo/wamedisco/wameomba wakakosa.Mtu timam hawez ponda inganisha na UDOM hii ya sasa,chuo boraaaa!

Chuo bora ukilinganisha na kipi???? Very sad hata wanafunz wenu wa MD wanaofanya clinical rotation kwenye baadhi ya hospiotal ni vielelezo tosha. Ni aibu mkuu. Mnaweza mkajiona mko sawa ila ss tunawaona kitu ingine kabisa ndo mana nauliza unajilinganisha na nani?
 
Marangu ! habari kaka!
UDOSO inadhambi sana, walishindwa kutetea wanafnzi waliosomeshwa na bodi, baadae WAZIR wa elimu akasema(bungeni), waliokataa kusaini mkopo/kukubali kulipiwa alipe mwenyewe , iweje mwanafunzi aombe mkopo(boad), kisha aktae kusaini kukubali kwenye yale mafaili/yenye majina mengi, nk ?

Binafsi nilipita udom nikayaona, hayo matatizo, matatizo mengine ni qya kawaida...mengine sio ya kawaida.

Pamija na kosa hilo la UDOSO NA WATAWALA WALIOSHINDWA KUSAIDIA WANAFUNZI, eti wanadai walikataa wenyewe kusaini, baadae ikapita fatwa kwamba lazima walipe , nikashuhudia wanafunzi wachache wakipa milionis, laki za ada waliyopaswa kulipiwa na bodi.

Wengi nadhani watakuwa mtaani wakisaka ada ya kukombolea vyet vyao.

LAKINI: UDOM ni chuo bora labda mwenye tabia ya fujo, siasa, udini, umalaya nk lazima atakiona chuo hakifai, one of the best university kwa Tanzania na afrika mashariki, wasojua watabeza, wanaokijua na kujua vyuo vingine watakubaliana name.
 
Yutong,udom inachukua wenye pass za juu,ndo maana siku hiz weng wanakosa,tembelea TCU,na hao ndo wanaoponda
 
Mwanafunzi wa chuo kikuu au aliyesoma chuo kikuu hawezi leta mada iliyoandikwa kama ilivyoandikwa hii (tena akiwa anajaribu kutetea elimu inayotolewa na chuo chake). Mleta mada nawasiwasi kama wewe ni mwanachuo au uliwahi kuwa mwanachuo.
Lakini kama kweli wewe ni mwanachuo au uliwahi kuwa mwanachuo, nashawishika kuamini kuwa sio wa chuo ulichotaja (UDOM), isipokuwa unajitahidi kukichafua kwa kutumia "maudhui ya mada yako" na uandishi wako ambao ni "very poor".
Mwisho, ukitaka mada yako iwe tamu, dhibitisha kuwa "wewe ni mwanafunzi au uliwahi kuwa mwanafunzi wa UDOM"
 
kuna ujanja ujanja mwingi sana hapo udom kuanzia ujenzi wake etc
 
Back
Top Bottom